Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

Mimi hadi katuni naangalia na sijali.
Pambaneni na tamthilia katuni ziacheni. Hazipo ktk mada. Kwa mfano Tom and Jerry produced by Feed Quimb, Samurai Jack, kind Next door, Eddy, Edd and Eddie hizi zote hazijatajwa so mziache tu
Hahaaa
 
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Unajua series ya game of throne
Snow fall
Bmf
Breaking bad
Mzee zitazame hizo alafu uje kufuta huu uzi
 
Kwa hiyo hata wale wanaume waliocheza hizo tamthiliya nao ni wajinga tu... Au siyo Mkuu???
 
Unaweza tu kutoa maoni yako na yakaheshimiwa pasi na kutoa lugha chafu.....hapa ni jukwani tu kila mmoja ana maoni na mtazamo wake
Wewe hujaona kuwaita wanaume wanaopenda tamthiliya usizopenda wewe kuwa hawana masculinity ni lugha chafu ya kuwavunjia heshima?

Kweli nyani haoni kundule.
 
Wewe hujaona kuwaita wanaume wanaopenda tamthiliya usizopenda wewe kuwa hawana masculinity ni lugha chafu ya kuwavunjia heshima?

Kweli nyani haoni kundule.
Siku sema hawana masculinity.....
 
Wanaumeee! Eehhhhhh
 
Attachments

  • Screenshot_20241114_212942_Netflix.jpg
    Screenshot_20241114_212942_Netflix.jpg
    185.5 KB · Views: 1
Mbona una hasira sana mjomba, usoft wa mtu hauhusiani na uigwa pipe.
Tatizo lenu wengi mmekulia kwenye dhiki hivyo unaamini uanaume ni mateso uliyoona anapitia baba yako, unayopitia wewe na kizazi chenu nyote asipokuwepo wa kubadili mtazamo basi mtaishi kwa mateso.

Sio ajabu mtu kufatilia tamthilia, as long kinamfurahisha, havunji sheria na hamna kosa analofanya akifanya hivyo.
Sio lazima uangalie filamu za kuuana na mapigano ati ndo uanaume, mnajengea misingi mibovu waneno ndo hao wanakua viumbe katili, ati kwa kujitetea usiwe soft, ustrong hauigizwi kwa kukana upendavyo kwakuwaza utaonekanaje, bali ni kufanya kile unachoona ni sahihi bila kuvunja sheria hata kama watu 100 watakua against nawe.

#kwisha.
Asilimia kubwa kutokana na michango ya wadau nimegundua wakina nani wanaogopa Mende na Panya na wA wale specialist wa kuuwa Nyoka mtaani haya vita viendelee.
 
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Wale ambayo wanaigiza kwenye hizo Tamthilia sio wanaume wenzetu kwani?

Acha hisia za kitoto mkuu.Ukishikiwa akili za mitandao huta fanya mambo yako maana umekubali mitandao ikuwekee mipaka.

Binafsi Mimi naangalia Tamthilia na movie.Wakati mwingine naweka sinema zetu Azam.

Lakini Chanel yangu kubwa au kipindi changu kikubwa ni Tanzania Safari Channel.
Tena nikiangaliaga na Wife nakuwa naenjoy Sana hizo Tamthilia Mzee wangu.
 
Tatizo ni ujinga tu, hata maana ya tamthiliya hujui.

Hujui kwamba inawezekana ikawepo tamthiliya ya vita.

Na hiyo masculinity mnayoisema ukiichunguza sana ni mnajimwambafy kijinga kimfumodume tu.
Daaa Hii Comment nimelia peke yangu eti nalo ni Dume!
 
Habari za muda huu waungwana.

Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana.

Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na kimama mama hivi.

Hebu fikria Baba wa familia unagombea rimoti na watoto au mkeo kwa ajili ya tamthilia.

Mimi naona kama haijakaa sawa. Sijui nyinyi wenzangu maana kila mtu na mtazamo wake.
Acha izo
 
Back
Top Bottom