Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa :
Baada ya kurudishwa, amenza kazi vizuri hasa kwa kufanya ziara lakini ametishia kazi za Waziri Mkuu Majaliwa , ametishia kazi ya Dotto Biteko na pia anayishia kazi ya Katibu mkuu/CEO wa CCM bwana Chongolo.
Team CCM mabadiliko vs Sukuma Gang ambayo inarudi kwa namna nyingine nayo inaonekana kutaka uwaziri mkuu 2025 lakini pia inaonekana mwaka 2025 kuna wanaotaka umakamu wa Rais na Uwaziri mkuu, kila mtu anapambana kivyake.
Makonda amekuwa akitumia gharama kubwa kwenye chama kuliko hata anazotumia mwenyekiti wake, anatumia walinzi binasi zaidi ya nane, anatumia walinzi wa chama 5 na walinzi wa serikali ambao ni kinyume na sheria japo haijafhamika vizuri.
Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani yeye na mkewe amnbapo kipindi cha SHUJAA alikuwa kila bada ya muda anakwenda kula bata New York na Manhatan lakini sasa amepigwa ban na sababu ya kuwa black listed ni tuhumu za KUKATISHA MAISHA YA WATU
Makonda amekuwa akiingilia majukumu yasiyo yake:
Wakubwa zake wanajiuliza:
1. Nani kampa Makonda mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi na kumwagiza Waziri atekeleze?
2. Nani kampa mamlaka ya kusikiliza kesi zilizopo Mahakamani na kuonyesha ku-side na upande mmoja bila kusikiliza upande wa pili lakini pia hata kusikiliza upande wa pili mamlaka hayo ni yake au ya mahakama?
3. Nani kampa mamlaka ya kufanya mikutano mida ya kazi wakati Magufuli alitumia mbinu hiyo kipindi akiwadhibiti akina Mbowe na Lissu, aliwaambia muda wa kazi kusiwe na mikutano na wao walirelax kufanya mikutano lakini kwa sasa makonda muda wa kazi ndio.
4. Mpaka leo, kuvamia clouds TV, kashfa za viwanja na magari ya GSM ama hazijajibiwa ama wamefanya watanzania ni wasahaulifu.
5. Inasemekana aliwahi kutukana mama mjamzito, kumkashifu chongolo na wengine wengi, hajawahi kuomba radhi hadharani.