troiker
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 1,551
- 2,573
Sasa hapo ni kosa la huyo mzee au ni kosa la MAKONDA?INgelikuwa sahihi angefanya kwa ndani ya sheria.
Ukiskiliza mikutano yake, yaani inafaa kwa mikoa maskini:
Hivi mtu ana kesi mahakamani kama yule mzee wa Mwanza jana, ameshindwa kesi mpaka mahakama ya Rufaa anaenda na Makaratasi kwa makonda anataka Makonda aagize apewe ardhi, hizo akili akienda Mikoa inayojielewa hawezi fanya huo upuuzi.
Yani hukumu ya mahakama ya rufaa itenguliwe na katibu mwenezi wa Chama? Sijui wanatuonaje?
Mwananchi kaja mkutanoni na ana kero yake, muhimu kumsikiliza,na kushauri namna bora ya kusaidizwa,ulitka asimsikilize?
Hizi mahakama unazosema ameshindwa huyo mzee si ndio mnazikataa kila siku ya kwamba zinapewa maelekezo?
"Wake up gay"