Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
Mkuu naomba darasa la burePublicity secretary siyo sawa na spokesman
Publicity Secretaray siyo sawa na spokesman
Tofauti yao ni nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba darasa la burePublicity secretary siyo sawa na spokesman
Publicity Secretaray siyo sawa na spokesman
Kama ulikuwa hujuiAnayoyafanya makonda unaweza kudhani ni JPM mpya!anajipendekeza kupitiliza
Mwisho wake utakuwa mzuri sana! Anaweza kuja kuwa Rais , hofu ni kuuwawa na watoto wa kishua kama alivyouwawa bwana yuleAmekuja kwa kasi sana!
Ngoja tuone mwisho wake!
AahahaaaMmesahau masuala ya katiba na utiaji saini wa mikataba. Kweli mambo ni matamu!
AahahaaaMmesahau masuala ya katiba na utiaji saini wa mikataba. Kweli mambo ni matamu!
Leta wewe ilo jipyaBashite hana jipya.
Mhmhm kuwa rais?????!!!!!Mwisho wake utakuwa mzuri sana! Anaweza kuja kuwa Rais , hofu na kuuwawa na watoto wa kishua kama alivyouwawa bwana yule
Atawekwa kama alivyowekwa hapo, kila kitu hutokea kwa sababu, Mama Mwenyekiti ana nguvu, na ninakuapia huyu ndio favourite kuliko wana CCM wote kwa sasa. Na mama anamkubali sana, lililo kubwa anaendana na wananchi, kwa jinsi anachapa kazi hadi tufike tamati ya uongozi wa mama , Makonda atakuwa keshadidimiza mizizi kwenye mioyo ya wananchi.Mhmhm kuwa rais?????!!!!!
Labda raisi wa sukumagang!!
Akiwa na madaraka anashaukwa sana huyo kiumbe!
Sheria na majukumu yaliyoandikwa na si porojo.Kwan Kati ya Chama na Serikali ni kipi kinampa nguvu mwenzake??.
MBona unakwepa kujibu moja kwa moja?Sheria na majukumu yaliyoandikwa na si porojo.
na amekuingilia hadi wew au?Paul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa :
Baada ya kurudishwa, amenza kazi vizuri hasa kwa kufanya ziara lakini ametishia kazi za Waziri Mkuu Majaliwa , ametishia kazi ya Dotto Biteko na pia anayishia kazi ya Katibu mkuu/CEO wa CCM bwana Chongolo.
Team CCM mabadiliko vs Sukuma Gang ambayo inarudi kwa namna nyingine nayo inaonekana kutaka uwaziri mkuu 2025 lakini pia inaonekana mwaka 2025 kuna wanaotaka umakamu wa Rais na Uwaziri mkuu, kila mtu anapambana kivyake.
Makonda amekuwa akitumia gharama kubwa kwenye chama kuliko hata anazotumia mwenyekiti wake, anatumia walinzi binasi zaidi ya nane, anatumia walinzi wa chama 5 na walinzi wa serikali ambao ni kinyume na sheria japo haijafhamika vizuri.
Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani yeye na mkewe amnbapo kipindi cha SHUJAA alikuwa kila bada ya muda anakwenda kula bata New York na Manhatan lakini sasa amepigwa ban na sababu ya kuwa black listed ni tuhumu za KUKATISHA MAISHA YA WATU
Makonda amekuwa akiingilia majukumu yasiyo yake:
Wakubwa zake wanajiuliza:
1. Nani kampa Makonda mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi na kumwagiza Waziri atekeleze?
2. Nani kampa mamlaka ya kusikiliza kesi zilizopo Mahakamani na kuonyesha ku-side na upande mmoja bila kusikiliza upande wa pili lakini pia hata kusikiliza upande wa pili mamlaka hayo ni yake au ya mahakama?
3. Nani kampa mamlaka ya kufanya mikutano mida ya kazi wakati Magufuli alitumia mbinu hiyo kipindi akiwadhibiti akina Mbowe na Lissu, aliwaambia muda wa kazi kusiwe na mikutano na wao walirelax kufanya mikutano lakini kwa sasa makonda muda wa kazi ndio.
4. Mpaka leo, kuvamia clouds TV, kashfa za viwanja na magari ya GSM ama hazijajibiwa ama wamefanya watanzania ni wasahaulifu.
5. Inasemekana aliwahi kutukana mama mjamzito, kumkashifu chongolo na wengine wengi, hajawahi kuomba radhi hadharani.
Wewe unaweza kuwa umefungwa akili ili uendelee kuamini kuwa Mbowe wa 2023, ndio Mbowe wa 2008 hadi 2015.Vitu vingine ni aibu kuviandika kwamba Mbowe anamuogopa makonda. Hata kama ni mapenzi ya chama tuwe tunaona aibu kucomment upuuzi muda mwingine.
Yeah washua sidhani kama watamuacha salama!Atawekwa kama alivyowekwa hapo, kila kitu hutokea kwa sababu, Mama Mwenyekiti ana nguvu, na ninakuapia huyu ndio favourite kuliko wana CCM wote kwa sasa. Na mama anamkubali sana, lililo kubwa anaendana na wananchi, kwa jinsi anachapa kazi hadi tufike tamati ya uongozi wa mama , Makonda atakuwa keshadidimiza mizizi kwenye mioyo ya wananchi.
Hofu yangu ni ile team tu ya wale washua..
Kuwekwa nini na wapi?FaizaFoxy na ChoiceVariable watatupa za ndani kabisa kuhusu mpango mkakati wa kuwekwa hapo
UshindweUnapojifunza kuwa mnafiki kwa manufaa ya wengine lazima uwe hivi (uwe km mwendawazimu) kuwapa wengine credit wasizo stahili.
Aliwapima wangapi DNA mpaka akafanikisha hiyo no3?
Kipi bora kati kuwalipa walimu masilahi bora ili walipie nauli wenyewe na kuwadhulumu wamiliki wa magari haki yao ya kulipwa nauli ilihali wakilipa kodi?
Achana na MAKONDA huyo sio level yenu,hizi sio tuhuma bali ni uzushi wa kijinga sana tena wakitotoPaul Albert Bashite Makonda al maarufu kama Bashite ambaye alikuwa Mkuu wa Wilaya Dar es salaam na badae kuwa mkuu wa Mkoa awamu ile ya Mkono wa Chuma na kutumbuliwa na Awamu hiyo hiyo kabla ya kupigwa kikumbo kabisa na awamu iliyofuata sasa awau hiyo hiyo imemrudishwa kwenye siasa :
Baada ya kurudishwa, amenza kazi vizuri hasa kwa kufanya ziara lakini ametishia kazi za Waziri Mkuu Majaliwa , ametishia kazi ya Dotto Biteko na pia anayishia kazi ya Katibu Mkuu/CEO wa CCM bwana Chongolo.
Team CCM mabadiliko vs Sukuma Gang ambayo inarudi kwa namna nyingine nayo inaonekana kutaka uwaziri mkuu 2025 lakini pia inaonekana mwaka 2025 kuna wanaotaka umakamu wa Rais na Uwaziri Mkuu, kila mtu anapambana kivyake.
Makonda amekuwa akitumia gharama kubwa kwenye chama kuliko hata anazotumia mwenyekiti wake, anatumia walinzi binasi zaidi ya nane, anatumia walinzi wa chama 5 na walinzi wa serikali ambao ni kinyume na sheria japo haijafhamika vizuri.
Makonda amepigwa marufuku kukanyaga Marekani yeye na mkewe amnbapo kipindi cha SHUJAA alikuwa kila bada ya muda anakwenda kula bata New York na Manhatan lakini sasa amepigwa ban na sababu ya kuwa black listed ni tuhumu za KUKATISHA MAISHA YA WATU
Makonda amekuwa akiingilia majukumu yasiyo yake:
Wakubwa zake wanajiuliza:
1. Nani kampa Makonda mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi na kumwagiza Waziri atekeleze?
2. Nani kampa mamlaka ya kusikiliza kesi zilizopo Mahakamani na kuonyesha ku-side na upande mmoja bila kusikiliza upande wa pili lakini pia hata kusikiliza upande wa pili mamlaka hayo ni yake au ya mahakama?
3. Nani kampa mamlaka ya kufanya mikutano mida ya kazi wakati Magufuli alitumia mbinu hiyo kipindi akiwadhibiti akina Mbowe na Lissu, aliwaambia muda wa kazi kusiwe na mikutano na wao walirelax kufanya mikutano lakini kwa sasa Makonda muda wa kazi ndio.
4. Mpaka leo, kuvamia clouds TV, kashfa za viwanja na magari ya GSM ama hazijajibiwa ama wamefanya watanzania ni wasahaulifu.
5. Inasemekana aliwahi kutukana mama mjamzito, kumkashifu Chongolo na wengine wengi, hajawahi kuomba radhi hadharani.
Sijakukataza kupanda,ila pia ni vyema ufundishwe namna ya kuvua samaki badala ya kupewa samaki.Ushindwe
Tutapanda bure na tutaendelea kukumkubuka makonda.
Sasa kama hao walishindwa kutimiza majukumu yao ulitegemea MAKONDA kama mkuu wa mkoa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar ,akae kimya?1. Walimu kutolipa nauli ni jukumu la WAziri wa Uchukuzi , huyu waziri anasimamia LATRA na waziri wa Elimu anayesimamia walimu [Bashite aliingilia majukumu yasiyo yake-uongozi mbovu].
2. Shisha inapigwa vita na nani, wapi imepigwa vita wakati Shoisha ni halali na inalipiwa kodi TRA, so long as mvutaji amefika miaka 18, tatizo lako dogo upo huko Namanyere ukiskia shisha unahis ni kitu marufuku.
3. Wanaume wanaotelekeza watoto alikuwa anmlenga mwanasiasa fulani na si kampeni, bahati mbaya alimkosa maana alipandikiza jimama liseme limezaa na huyo mwanasiasa, chuki chuki chuki na uzandiki: Jukumu la mtu kutelekezwa ni Ustawi wa Jamii na Mahakama za WAtoto na si Mkuu wa Mkoa, yeye anaweza kusikiliza pande mbili na kupokea ushahidi na kutoa hukumu? Mamlaka hayo amepewa na sheria ipi?
Wacha upuuzi wewe!