MTAZAMO: Makonda kuchukua jukumu la Majaliwa, Dotto Biteko, ndani kwafuka!

Hivi mkuu kipindi kile Bashite ni mkuu wako wa Mkoa DSM ... Nakumbuka wewe ulikuwa wa kwanza kwenda kwake kwa ajili ya zoezi lake LA kuwapima Tezi dume na Bawasiri..

Nasikia zoezi lilifanikiwa kwa zaidi ya asilimia 75% na mlifurahia huduma
 
1. Nani kampa Makonda mamlaka ya kusikiliza kero za wananchi na kumwagiza Waziri atekeleze?
Hata Polepole alikuwa akifanya hayo, tena akiwapigia hao mawaziri live akiwa kwenye kipindi cha Tv.

Kwa Sasa mikutano ya hadhara ni ruksa .

. Inasemekana aliwahi kutukana mama mjamzito, kumkashifu chongolo na wengine wengi, hajawahi kuomba radhi hadharani.
' Inasemekana '....hata wewe huna uhakika na hilo, hao waliotukanwa na kukashifiwa wanaruhusiwa kwenda mahakamani kupata haki yao.
 
Mkuu,wewe si Mtanganyika?

Sisiemu nyakati kama hizi huwa tayari kumtumia yeyote bila kujali ni nani anadhalilishwa (na hapa kuna makubaliano baina yao) ilimradi tu sisiemu ijizolee sifa masikioni mwa Wadanganyika ili wakikwapua uchaguzi waseme wameshinda kihalali na ushahidi ukiwa ni mikusanyiko ya Wadanganyika ktk mikutano km hiyo.

Nikukumbushe kupigwa kwa yule Mzee Mzanaki aliyewahi kuwa Jaji na Waziri mkuu lkn pia Makamu wa Raisi,unadhani waliompiga walikurupuka au ilikuwa ni lazima hilo lifanyike ili kuinusuru sisiemu?

Hao ni waigizaji na asikudanganye mtu kuwa watafarakana,na haitotokea kwani yule kapewa vitalu vya uwindaji,mwingine kahakikishiwa kurudi Bungeni na kupewa Uwaziri,unadhani pamoja na kushikiwa bastola kuonekana kwa mtuhumiwa no1 na yeye akaambiwa shusha pumzi atatia mgomo?
 
Kwakuwa MAGU alikuwa anapora passport za wakandarasi na kuwafukuza wakiwa saiti na SAMIA afanye vivyo hivyo?
Unajua hasara iliyotokana na shujaa kufukuza wakandarasi saiti ndio yale makesi kule Canada tunalipa mabilioni?
Kwakuwa ulizalikuwa ukakuta wazazi wako wanakula vya kunyonga na wewe unataka kunyonga badala ya kuchinja?
 
Unapojifunza kuwa mnafiki kwa manufaa ya wengine lazima uwe hivi (uwe km mwendawazimu) kuwapa wengine credit wasizo stahili.

Aliwapima wangapi DNA mpaka akafanikisha hiyo no3?
Kipi bora kati kuwalipa walimu masilahi bora ili walipie nauli wenyewe na kuwadhulumu wamiliki wa magari haki yao ya kulipwa nauli ilihali wakilipa kodi?
 
Unamuuliza CHAWA maswali magumu namna hii unataka apaliwe na uji kabla ya kuanza kibarua chake?
Ana mamlka ya kupimisha watu DNA?
Ana mamlaka ya kutoa hukumu?
Hi nchi tunakuwa kama hatujapata uhuru!
Just imagine USA hata raisi anafikishwa mahakamani, hapa Mahakama inamsalimia rais.
 
Lakini nyie watu wa mahakama ni waovu na hamtendi haki kwa masikini, mnakula rushwa mno kitu inasababisha masikini wasipate haki.

Sasa wananchi wamepata Magufuli mdogo wacha wakamlilie huko.
Hii nchi ukifata protocol kuna mambo yatakwama. Ipo sababu iliyofanya Rais / Mwenyekiti akamchagua Makonda kwenye hiyo nafasi.
Wananchi wanahitaji mtu jasiri na mwenye uthubutu kimaamuzi.

Nchi inahitaji u- Magufuli na Makonda u- Magufuli anao..

Hayupo pale kwa bahati mbaya.
 
Ndugu sikanushi na wala siungi mkono.
Rushwa ipo sana, kila idara na hata hiyo uliyosema:
Kupata haki kwa kiupitia vyombo visivyo huru nako ni rushwa;
Piganieni hizi ofisi zetu za mahakama ziwe huru, Katiba mpya ilikuwa inasema Jaji mkuu namna atapatikana na majaji, sasa mmepinga na mkuu wa nchi ndiye anateua maswahiba zake, unategemea nini?
 
Alifanikiwa kwenye walimu wa dar tuu.shisha aliitwa na wenye biashara yao wakamtuliza labda umekujamjin kwa kufaulu chuo.wanaume hakuna aliotoa matunzo tena alivunja ndoa za watu maana walihamia kutaka dna wakakimbia wenyewe
 
Vitu vingine ni aibu kuviandika kwamba Mbowe anamuogopa makonda. Hata kama ni mapenzi ya chama tuwe tunaona aibu kucomment upuuzi muda mwingine.
 
Uko sahihi, lakini bora moja kenda kuliko mbili kenda rudi... wahenga walisema.
 


Wafu waachwe wazikane
 
Usimsemee Majaliwa,
Usimsemee Biteko,
Usimsemee mwamaccm yeyote

Hawajakutuma

Hatujakutuma
 
Publicity secretary siyo sawa na spokesman
Amaechukua pia majukumu ya Katibu mkuu na Rais pia. Yaani yeye sasa hivi ni kama rais
Publicity Secretaray siyo sawa na spokesman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…