MTAZAMO: Makonda kuchukua jukumu la Majaliwa, Dotto Biteko, ndani kwafuka!

Mwisho wake utakuwa mzuri sana! Anaweza kuja kuwa Rais , hofu na kuuwawa na watoto wa kishua kama alivyouwawa bwana yule
Mhmhm kuwa rais?????!!!!!


Labda raisi wa sukumagang!!

Akiwa na madaraka anashaukwa sana huyo kiumbe!
 
Mhmhm kuwa rais?????!!!!!


Labda raisi wa sukumagang!!

Akiwa na madaraka anashaukwa sana huyo kiumbe!
Atawekwa kama alivyowekwa hapo, kila kitu hutokea kwa sababu, Mama Mwenyekiti ana nguvu, na ninakuapia huyu ndio favourite kuliko wana CCM wote kwa sasa. Na mama anamkubali sana, lililo kubwa anaendana na wananchi, kwa jinsi anachapa kazi hadi tufike tamati ya uongozi wa mama , Makonda atakuwa keshadidimiza mizizi kwenye mioyo ya wananchi.

Hofu yangu ni ile team tu ya wale washua..
 
na amekuingilia hadi wew au?
 
Vitu vingine ni aibu kuviandika kwamba Mbowe anamuogopa makonda. Hata kama ni mapenzi ya chama tuwe tunaona aibu kucomment upuuzi muda mwingine.
Wewe unaweza kuwa umefungwa akili ili uendelee kuamini kuwa Mbowe wa 2023, ndio Mbowe wa 2008 hadi 2015.

Bado unaamini kuwa watanzania wa miaka 15 iliyopita ndio wale wale wenye mawazo yale yale ya miaka 15 iliyopita.

I mean na umri wako huo mpaka leo haujui kuwa zama zinabadilika na watu pia wanabadilka. Unaweza kuwa tajiri leo, ukaamka masikini kesho. Unaweza kuwa na afya leo, ukaamka na ugonjwa kesho. Unaweza kuwa maarufu miaka 15 iliyopita kama Mbowe, alafu ukaja kupoteza umaarufu wako, kama anavyopoteza Mbowe leo.

Kuanzia mwaka 2008 hadi 2015 Mbowe alikuwa na uwezo wa kujaza nusu ya uwanja wa mpira mkutanoni, alikuwa na uwezo wa kuitisha maandamano na migomo mpaka serikali ikatikisika, lkn leo hii akiandaa mkutano anajikuta yeye na chawa wake mwenyewe, akiitisha maandamano ya ukuta nk watu hawatokei alaf wewe unakuja kumtetea.

Hujajiuliza imekuaje akaachana na mikutano yake ghafla baada ya Makonda kuapishwa na kuahidi ku deal nae.

Wakati mungine uangalie na mtu wa kum defend. Mambo yako wazi kila mtu anayaona na kuyafatilia.
 
Yeah washua sidhani kama watamuacha salama!
 
Ushindwe
Tutapanda bure na tutaendelea kukumkubuka makonda.
 
Unaandika ujinga, eti aliteuliwa Kuwa Mkuu wa Wilaya Dar es Salama!

Kaarishe mama nitilie mkubwa wee! Makondo siyo level Yako we Chizi
 
Achana na MAKONDA huyo sio level yenu,hizi sio tuhuma bali ni uzushi wa kijinga sana tena wakitoto

Miaka zaidi ya mitatu mmeshindwa kuifanyia kazi hata tuhuma moja tu dhidi yake?
Alikaa benchi muda wa miaka mitatu bila ya kinga yoyote,hakuwajibu kwa kashifa mlizoporomosha dhidi yake,

Kawa mwenezi mkasema kazi hiyo haiwezi,kaamsha mmeona isiwe tabu kila siku mnahamisha magoli

Sasa mmehamia kuchonganisha,watanzania ni laana kubwa hasa wewe mleta huu uzi
 
Sasa kama hao walishindwa kutimiza majukumu yao ulitegemea MAKONDA kama mkuu wa mkoa na mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa wa Dar ,akae kimya?
Alifannya kwa sehemu yake na alifaninkiwa sana tu,
Acha wivu wa kimama dogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…