MTAZAMO: Nini tofauti ya vifaa vya upako vya manabii (maji, mafuta, chumvi) na vifaa vya baraka vya kanisa Katoliki (maji, misalaba, rosali, picha)?

Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.

Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?
Nitajie kanisa katoliki linalouza maji ya baraka. Acha kuzusha vitu usivyo na uhakika navyo. Rozali ni kama tasbih, haisaidii kukupa nguvu wala kuponya chochote ila inakuongoza wakati wa sala hasa zile sala za kujirudia mara kadhaa ili usipitilize. Maji ya baraka utayakuta kanisani, ni maji yaliyoombewa na yatatumika bure kwa kila anayeingia kanisani atachovya maji yale na kuweka ishara ya msalaba wakati akiingia kanisani. Maji hayauzwi na rozali zinauzwa kwenye maduka huko mitaani au nje ya kanisa na waumini wa kawaida.
 
Mtu akipewa maji ya baraka bure na mwingine akapewa maji ya upako kwa kulipa fedha utuekeze ni mambo sawa yenye mtazamo tofauti?Tafakari upya.
Maji ya baraka hupewi, labda uibe. Yapo pale kwa matumizi ya kanisani na ni bure kabisa kuyatumia na ni hiyari yako pia.
 
Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.

Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?
vyote ni ushirikina
 
Akili huna, wakati wa Idd kuna watu hutoa nyama bure na wengine huchagua kwenda kununua!

Ukatoliki ni utapeli systematic, unaweza upewe hayo maji bure ila kuna mahali unapigwa hasa!

Sasa Kama ulitaka kutoa credit kwa ukatolic kwa kutoa bure, usingeuliza na ku lead unavyotaka ujibiwe!
Hebu tuambie huko kwingine wanakopigwa wakatoliki ni wapi? Mbona kama una jazab baada ya kugundua hayauzwi? Rozali na misalaba siyo projects za kanisa, vinauzwa huko mitaani au nje ya kanisa na waumini wa kawaida so tuambie upigaji uko wapi?
 
rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba n
Haya ni ukumbusho tu na siyo kuwa yanaponya kama hawa akina Mwamposa matapeli....kuwa ukila biskuitit unapona, ukinywa maji ya uahi yenye upako unapona. Katoliki haiko hivyo!
 
Nikisema systematic utapeli uelewe ndani ya neno systematic kuna nini!!!!! Na maji ya Baraka sio only interaction unayokuwa nayo na wakatoliki
Elezea sasa, umekazania systematic kila wakati bila kueleza upigaji huo ukoje! Punguza chuki ndugu ustaadhi...baada ya yote hayo tuambie kazi ya udi, ubani, moto, tasbih na mishumaa kwenye ibada/dua zenu, navyo ni shirki?
 
Vyote hivyo ni visaidizi vya imani na vinauzwa kanisa linaingiza pesa kwa kuviuza
Sacramenti zenyewe ni biashara kubwa kanisa hununua huko huko ndani ya kanisa kwa sadaka za waumini kitengo cha kupika Sacramenti cha masista na kugawia waumini na hiyo biashara ya kupika na kuuza Sacramenti hailipiwi kodi TRA
Ustaadhi unajua ulichokiandika au umekurupuka kwa chuki zako!? Unajua sacrament ni nini mpaka useme ni biashara ya kanisa!?[emoji1787] naachana nawewe sababu una maarifa kidogo sana kichwani kuhusu ukatoliki. Kanunue tasbih, udi, ubani maka, marashi rose, mishumaa na kitambaa cheupe umuombe Allah[emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo ndo ushirikina kamili sasa.
 
Misalaba, rozari, picha… vinatolewa bila malipo? Unafahamu idadi na kiasi cha michango wanayochangishwa waumini wakatoliki kupitia kinachoitwa jumuiya ndogo ndogo za kikristu (JNNK)?
Kanisa haliuzi msalaba, rozali wala picha ila linabariki tu. Hivyo vinauzwa mitaani au na waumini wa kawaida nje ya kanisa au na mashirika ya kitume
 
Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.

Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?
Tofauti hakuna kabisa!!
 
Na ni moja ya biashara kubwa mno ya kanisa katoliki wanatengeneza matrilioni ya pesa kwa kuuzia waumini hivyo vitu
Kanisa haliuzi hivyo vitu. Vinauzwa nje huko na mitaani.
 
Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.

Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?
Ni Utapeli tu
 
Swali kwa Waislam wenzangu, hivi hatuwezi kumuomba Allah bila kuchoma Udi, ubani maka, marashi, na kutandika kitambaa cheupe? Hivyo vitu vinasaidia nini au ndo chakula cha allah!?
 
RC maji yanabarikiwa, unachukua kiasi kwa ajili ya matumizi ya mara moja (kuna Paroko alituambia yamalizike, usihifadhi maana utkiyahifadhi utaanza kuyaabudu) na mara nyingi wanabariki wao mapadri. Vivyo hivyo mafuta yanapakwa na wao mapadri wakati wa misa kipindi cha sakramenti za ubatizo, kipaimara na upako wa wagonjwa, hakuna muumini anayepewa akajipake nyumbani maana utayabadili kuwa unayaabudu. Rozari lazima ibarikiwe na padri ndio uitumie, kabla haijabarikiwa inakuwa ni pambo tu kama msalaba anaovaa Pdiddy na Diamond. Pia kuna matawi siku ya Jumapili ya Matawi, kumbukumbu ya Yesu alipoingia Yerusalemu kwa shangwe. Hayo ni mara moja kwa mwaka, kata tawi lako nyumbani nenda nalo likabarikiwe ila kuna baadhi ya maeneo vijana wanachangamkia fursa, wanategesha nje ya kanisa kuuza ingawa sio lazima
 
Kanisa haliuzi msalaba, rozali wala picha ila linabariki tu. Hivyo vinauzwa na mashirika ya kitume
Mashirika ya kitume ni kama tu makampuni ya kanisa yanayomiliki miradi mbalimbali ya kuingiza pesa kama Shule,vyuo,mahospitali,mashamba ,nk kwa niaba ya kanisa lakini ni mali ya kanisa katoliki wako chini ya mapadre,maaskofu na Papa..Hivyo huviuza kwa niaba ya kanisa katoliki tofauti na akina Mwamposya anayeuza mwenyewe kutokana na hiyo biashara kwa katoliki kuiona ni kubwa wakaamua kuweko makampuni kabisa ya kuzalisha na kuuza hivyo vitu kwa jumla au rejareja kwa wauzaji wadogo

Wote wafanyabiashara hakuna wa kumcheka mwenzie tofauti ni ujanja
 
Nimejaribu kuwaza na kutafakari haya yanayoendelea sasa katika madhehebu ya kisasa ya kikristo (makanisa ya manabii?) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji, mafuta, chumvi, vitambaa ili waumini wao wabarikiwe na yale yanayoendelea kwenye dhehebu kongwe zaidi la kikristo (kanisa katoliki) ya kugawa au kuuza visaidizi vya kiimani kama maji ya baraka, rosali, picha za kubuni za Yesu, Maria na Yusuph, Misalaba nk. ili waumini wake wapate kubarikiwa.

Nini tofauti yao ya kimsingi ikiwa lengo ni lile lile (waumini wapate baraka kupitia vitu hivyo) pasipo ulazima sana wa kumwamini Yesu mioyoni mwao na kumshika yeye pekee yake ili wapate baraka zake?
Vyote ni imani potofu
 
Swali kwa Waislam wenzangu, hivi hatuwezi kumuomba Allah bila kuchoma Udi, ubani maka, marashi, na kutandika kitambaa cheupe? Hivyo vitu vinasaidia nini au ndo chakula cha allah!?
Hizo nazo kwenye uislamu biashara kubwa
Visaidizi vya imani
 
Elezea sasa, umekazania systematic kila wakati bila kueleza upigaji huo ukoje! Punguza chuki ndugu ustaadhi...baada ya yote hayo tuambie kazi ya udi, ubani, moto, tasbih na mishumaa kwenye ibada/dua zenu, navyo ni shirki?

Mimi ndugu yangu ni Mkristo safi Kabisa!
 
Back
Top Bottom