Ulimwengu una falme mbiliNi vipi basi apange mabaya na afanikiwe na ikiwa Mungu hakupanga hilo jambo baya?
Moshi wa Ruangwa ilikuwa ni tahadhari kwa nchi inavyoendeshwa na zile rafu za uchaguzi. Hawakushutuka, matokeo yake ndiyo hayo.Mshana Jr ,
Umetueleza mambo ya kiroho kwa lugha ya kueleweka kabisa na sisi wenye upungufu wa kuyaona sasa tunabaini.
Wengine tulijaribu kuelezea lakini tumeshindwa, guru ni guru tu khasa akiwa 'kilingeni' huyaona yote na kutuelezea ktk namna ambayo inaeleweka. Shukrani.
HahahaaaNI KWELI NAANZA KUPIGA JERAMBA SASA!!!
Nini tofauti ya mbingu na anga ambao kwa mujibu wako wakuu wake wana mamlaka sawa.Ulimwengu una falme mbili
Ufalme wa mbingu ambao tunaita wa Kimungu
Ufalme wa mkuu wa anga.. Ambao uko chini ya Mbingu
Kwa kila tendo hapa duniani ni lazima litoke kati ya mojawapo ya hizo falme mbili
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752]ulipotea kidogo mkuu natumai yote ni kheri ulikokuwa huko haupo hapa nasiMshana Jr ,
Umetueleza mambo ya kiroho kwa lugha ya kueleweka kabisa na sisi wenye upungufu wa kuyaona sasa tunabaini.
Wengine tulijaribu kuelezea lakini tumeshindwa, guru ni guru tu khasa akiwa 'kilingeni' huyaona yote na kutuelezea ktk namna ambayo inaeleweka. Shukrani.
HahahaMshana we bingwa wa kubadilika,mama akishika nchi tena utakuja na utetezi wako ooh nilikua hivi kakaenda hivi.unabadilikaga wewe
Mbingu haionekani ama haiwezi kuonekana kwa macho ya nyama.. Anga linaonekanaNini tofauti ya mbingu na anga ambao kwa mujibu wako wakuu wake wana mamlaka sawa.
Naona unajikanganya tu,nilikuuuliza kama kuna mamlaka nyingine ina mamlaka kama aliyonayo Mungu umekataa lakini sasa unasema ziko mbili japo mwenyewe umezipachika majina unaita ufalme.Ulimwengu una falme mbili
Ufalme wa mbingu ambao tunaita wa Kimungu
Ufalme wa mkuu wa anga.. Ambao uko chini ya Mbingu
Kwa kila tendo hapa duniani ni lazima litoke kati ya mojawapo ya hizo falme mbili
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Nimekujibu kwa mtazamo wangu jinsi vile nilivyokuelewa.. Usilazimishe nikujibu utakavyo wewe..kama umeona najikanyaga basi hakuna haja ya kuendelea na mjadala au ukiwa na weledi wa kutosha toa majibuNaona unajikanganya tu,nilikuuuliza kama kuna mamlaka nyingine ina mamlaka kama aliyonayo Mungu umekataa lakini sasa unasema ziko mbili japo mwenyewe umezipachika majina unaita ufalme.
Lengo la hoja yangu muache kujifanya ni weledi wa kueleza mambo yaliyo juu ya uwezo wenu kwani hakuna ajuaye kesho ni Mola tu ndio muweza wa hayo mambo hakuna cha roho nini wala nini hivyo Rais Samia kwa kuwa katiba inamruhusu akitaka kuendelea baada ya kipindi hiki kinachoishia 2025 na akiwa yu hai na mzima wa afya basi anaweza kugombea tena na kama mwenyezi Mungu atapenda kupitia Watanzania basi ataendelea, najua kuna watu wameumizwa sana na yaliyotokea na wamekuwa wakiombea mabaya juu yake lakini hilo lipo nje ya uwezo wao kwani hata hayo yaliyotokea yalitokea kwa matakwa yake Mungu mwenyewe na wala si shinikizo la wabaya wake.Nimekujibu kwa mtazamo wangu jinsi vile nilivyokuelewa.. Usilazimishe nikujibu utakavyo wewe..kama umeona najikanyaga basi hakuna haja ya kuendelea na mjadala au ukiwa na weledi wa kutosha toa majibu
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Lengo la hoja yangu muache kujifanya ni weledi wa kueleza mambo yaliyo juu ya uwezo wenu kwani hakuna ajuaye kesho ni Mola tu ndio muweza wa hayo mambo hakuna cha roho nini wala nini[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2815][emoji2815][emoji2815]Lengo la hoja yangu muache kujifanya ni weledi wa kueleza mambo yaliyo juu ya uwezo wenu kwani hakuna ajuaye kesho ni Mola tu ndio muweza wa hayo mambo hakuna cha roho nini wala nini hivyo Rais Samia kwa kuwa katiba inamruhusu akitaka kuendelea baada ya kipindi hiki kinachoishia 2025 na akiwa yu hai na mzima wa afya basi anaweza kugombea tena na kama mwenyezi Mungu atapenda kupitia Watanzania basi ataendelea, najua kuna watu wameumizwa sana na yaliyotokea na wamekuwa wakiombea mabaya juu yake lakini hilo lipo nje ya uwezo wao kwani hata hayo yaliyotokea yalitokea kwa matakwa yake Mungu mwenyewe na wala si shinikizo la wabaya wake.
Mungu haitwi roho,wewe ulikuwa unajaribu kueleza kishirikina kwa kujifanya umebobea katika eneo hilo acha kuzungusha maneno.kumbe hata hukuelewa kabisa muktadha wa mada... Unamtaja Mola na roho kama ni vitu viwili tofauti kabisa...duh ...
Nimeepusha mada isiye ya kidini kwa kutumia maneno NGIUVU ILIYO JUU YA UWEZO WA KAWAIDA WA KIBINADAMU... Nguvu hiyo ni nguvu ya KIROHO na huyo Mola ama Mungu ni roho na sio mwili... Je umeelewa au niendelee?
Usinilishe maneno tafadhali...Maneno ya Mungu yanasema MIMI NI ROHO NA KWELIMungu haitwi roho,wewe ulikuwa unajaribu kueleza kishirikina kwa kujifanya umebobea katika eneo hilo acha kuzungusha maneno.
Mshana Jr unahitaji ishara kutoka mbinguni!? Unataka afanye kitu gani uamini kuwa tumepigwa?Sio kosa lake kwakuwa ganzi iliyompata ina asili na nguvu ya kiroho..yupo kukamilisha awamu..Akitaka kuendelea anahitajika kufanya mengi ya giza na kwa mtazamo wangu mama hayuko hivyo..sio mtu wa makuu
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Hapa umezungumzia viapo,maagano na makafara na ukadai Magufuli ameadhibiwa kwa kukengeuka,huu ni ushirikina.Kiroho hivi tunaita ni vifo vya kimkakati. Nyumba imeondolewa msingi, imeondolewa paa, imeondolewa mifumo na imeondolewa madirisha na milango.Kwasababu zozote zile mwendazake akawa tena rais kwa awamu ya pili. Chama chake kilishaumba utaratibu wa vipindi viwili viwili. Hili ni roho. Kwahiyo kiroho huyu bado ni rais na ukomo wake 2025.
Kwasababu zilezile za kiroho akataka kukengeuka viapo, maagano na makafara yaliyowekwa! Na akaadhibiwa!
AmeenUlimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu.
Ukiachana na makafara yanayosemwa kuitaabisha sana nchi. Hapa nazungumzia yale makafara mawili makubwa la Bagamoyo na la Lindi ambayo sasa ni kama uhai wake unafikia tamati. Kuna lile la viongozi muhimu kufa wakiwa madarakani. Hapa tafsiri yake kiroho ni kwamba nyumba inabomolewa.