Mtazamo wa kiroho: Kwanini Rais Samia hawezi kuwa Rais kwa vipindi viwili

Ni vipi basi apange mabaya na afanikiwe na ikiwa Mungu hakupanga hilo jambo baya?
Ulimwengu una falme mbili
Ufalme wa mbingu ambao tunaita wa Kimungu
Ufalme wa mkuu wa anga.. Ambao uko chini ya Mbingu
Kwa kila tendo hapa duniani ni lazima litoke kati ya mojawapo ya hizo falme mbili

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Mshana Jr ,

Umetueleza mambo ya kiroho kwa lugha ya kueleweka kabisa na sisi wenye upungufu wa kuyaona sasa tunabaini.

Wengine tulijaribu kuelezea lakini tumeshindwa, guru ni guru tu khasa akiwa 'kilingeni' huyaona yote na kutuelezea ktk namna ambayo inaeleweka. Shukrani.
Moshi wa Ruangwa ilikuwa ni tahadhari kwa nchi inavyoendeshwa na zile rafu za uchaguzi. Hawakushutuka, matokeo yake ndiyo hayo.
Kuna mtu mmoja aliwahi kutabiri juu ya serikali ya awamu ya Tano, natamani angerejea kutujuza juu ya awamu hii na kile kinachoendelea sasa
 
Ulimwengu una falme mbili
Ufalme wa mbingu ambao tunaita wa Kimungu
Ufalme wa mkuu wa anga.. Ambao uko chini ya Mbingu
Kwa kila tendo hapa duniani ni lazima litoke kati ya mojawapo ya hizo falme mbili

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Nini tofauti ya mbingu na anga ambao kwa mujibu wako wakuu wake wana mamlaka sawa.
 
Mshana Jr ,

Umetueleza mambo ya kiroho kwa lugha ya kueleweka kabisa na sisi wenye upungufu wa kuyaona sasa tunabaini.

Wengine tulijaribu kuelezea lakini tumeshindwa, guru ni guru tu khasa akiwa 'kilingeni' huyaona yote na kutuelezea ktk namna ambayo inaeleweka. Shukrani.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752][emoji1752]ulipotea kidogo mkuu natumai yote ni kheri ulikokuwa huko haupo hapa nasi

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Ulimwengu una falme mbili
Ufalme wa mbingu ambao tunaita wa Kimungu
Ufalme wa mkuu wa anga.. Ambao uko chini ya Mbingu
Kwa kila tendo hapa duniani ni lazima litoke kati ya mojawapo ya hizo falme mbili

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Naona unajikanganya tu,nilikuuuliza kama kuna mamlaka nyingine ina mamlaka kama aliyonayo Mungu umekataa lakini sasa unasema ziko mbili japo mwenyewe umezipachika majina unaita ufalme.
 
Nimekujibu kwa mtazamo wangu jinsi vile nilivyokuelewa.. Usilazimishe nikujibu utakavyo wewe..kama umeona najikanyaga basi hakuna haja ya kuendelea na mjadala au ukiwa na weledi wa kutosha toa majibu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
 
Nimekujibu kwa mtazamo wangu jinsi vile nilivyokuelewa.. Usilazimishe nikujibu utakavyo wewe..kama umeona najikanyaga basi hakuna haja ya kuendelea na mjadala au ukiwa na weledi wa kutosha toa majibu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Lengo la hoja yangu muache kujifanya ni weledi wa kueleza mambo yaliyo juu ya uwezo wenu kwani hakuna ajuaye kesho ni Mola tu ndio muweza wa hayo mambo hakuna cha roho nini wala nini hivyo Rais Samia kwa kuwa katiba inamruhusu akitaka kuendelea baada ya kipindi hiki kinachoishia 2025 na akiwa yu hai na mzima wa afya basi anaweza kugombea tena na kama mwenyezi Mungu atapenda kupitia Watanzania basi ataendelea, najua kuna watu wameumizwa sana na yaliyotokea na wamekuwa wakiombea mabaya juu yake lakini hilo lipo nje ya uwezo wao kwani hata hayo yaliyotokea yalitokea kwa matakwa yake Mungu mwenyewe na wala si shinikizo la wabaya wake.
 
Lengo la hoja yangu muache kujifanya ni weledi wa kueleza mambo yaliyo juu ya uwezo wenu kwani hakuna ajuaye kesho ni Mola tu ndio muweza wa hayo mambo hakuna cha roho nini wala nini[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji2815][emoji2815][emoji2815]
kumbe hata hukuelewa kabisa muktadha wa mada... Unamtaja Mola na roho kama ni vitu viwili tofauti kabisa...duh ...
Nimeepusha mada isiye ya kidini kwa kutumia maneno NGIUVU ILIYO JUU YA UWEZO WA KAWAIDA WA KIBINADAMU... Nguvu hiyo ni nguvu ya KIROHO na huyo Mola ama Mungu ni roho na sio mwili... Je umeelewa au niendelee?
 
Mungu haitwi roho,wewe ulikuwa unajaribu kueleza kishirikina kwa kujifanya umebobea katika eneo hilo acha kuzungusha maneno.
 
Nakubaliana na wewe, huyu bibi asrpe aje mwingine labda tunaweza kupata nafuu
 
Mungu haitwi roho,wewe ulikuwa unajaribu kueleza kishirikina kwa kujifanya umebobea katika eneo hilo acha kuzungusha maneno.
Usinilishe maneno tafadhali...Maneno ya Mungu yanasema MIMI NI ROHO NA KWELI
Wewe ulianza kusoma ukiwa tayari na conclusion ya kishirikina ndio maana ukapotea njia kiasi hiki
 
Sio kosa lake kwakuwa ganzi iliyompata ina asili na nguvu ya kiroho..yupo kukamilisha awamu..Akitaka kuendelea anahitajika kufanya mengi ya giza na kwa mtazamo wangu mama hayuko hivyo..sio mtu wa makuu

Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Mshana Jr unahitaji ishara kutoka mbinguni!? Unataka afanye kitu gani uamini kuwa tumepigwa?
 
Kiroho hivi tunaita ni vifo vya kimkakati. Nyumba imeondolewa msingi, imeondolewa paa, imeondolewa mifumo na imeondolewa madirisha na milango.Kwasababu zozote zile mwendazake akawa tena rais kwa awamu ya pili. Chama chake kilishaumba utaratibu wa vipindi viwili viwili. Hili ni roho. Kwahiyo kiroho huyu bado ni rais na ukomo wake 2025.

Kwasababu zilezile za kiroho akataka kukengeuka viapo, maagano na makafara yaliyowekwa! Na akaadhibiwa!
Hapa umezungumzia viapo,maagano na makafara na ukadai Magufuli ameadhibiwa kwa kukengeuka,huu ni ushirikina.
 
Kama mwendazake aliweza kuingia na genge lake la kihuni vile believe me on 2025 a bitch will be in tha office I'm telling.
 
Ulimwengu wa roho ni timilifu na mambo yake huenda na kufanyika juu ya uwezo na utashi wa kawaida wa binadamu.

Ukiachana na makafara yanayosemwa kuitaabisha sana nchi. Hapa nazungumzia yale makafara mawili makubwa la Bagamoyo na la Lindi ambayo sasa ni kama uhai wake unafikia tamati. Kuna lile la viongozi muhimu kufa wakiwa madarakani. Hapa tafsiri yake kiroho ni kwamba nyumba inabomolewa.
Ameen
 
Back
Top Bottom