Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Hata mimi namkumbukaKuna mzee moja mashuhuri maeneo ya magomeni mikumi aliwahi kutabiri na katika tabiri zake naona imebaki moja tu na hiyo kama itatokea 2025 basi yasemwayo yapo ……
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi namkumbukaKuna mzee moja mashuhuri maeneo ya magomeni mikumi aliwahi kutabiri na katika tabiri zake naona imebaki moja tu na hiyo kama itatokea 2025 basi yasemwayo yapo ……
Heshima mkuu 'Uthman'.KALAMU,
Sipendelei kuzungumzia political game wakati watu wanapoteza maisha.Lakini kuna wenzetu michezo yao inahusisha maisha yetu na wala hawahisi chochote yanapopotea.Analysis yangu inanipelekea kuamini tuko kati kati ya game of chase.Wahusika wa mchezo wanatizama mbali.Moja ya matarajio yao ndio kupata watu wa mtazamo wako wanaohusisha matukio haya na kushindwa kazi kwa kinara.Kama akishindwa kusukuma kete yake vizuri,basi ukisemacho wewe kitabaki kuwa sahihi.Ila kinara wetu nae siku hizi ni mbobezi kwenye hizi gemu.Tuwe na subra tu maana chase yataka hesabu nyingi kabla ya kusukuma kete.
"HOUSE OF CARDS"
Na wewe ni walewale usijifanye kumtetea kiaina.Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.
Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama zote zirakuwa kwake.
Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?
Unawezaje kuteka, kupoteza na kuua watu kwa kiwango hiki tena kwa mfululizo ndani ya muda mfupi kama sio njama?
Unampiga mtu risasi halafu unaenda kumtupa kwenye mbuga ya wanyama lakini katika eneo ambalo ni rahisi watu kumuona. Je, hii sio makusudi?
Unampiga mtu mpaka kumua halafu usoni unamgwagia tindikali eti asitambulike lakini unaacha sehemu zingine za mwili zenye clue inayoweza kufanya watu(ndugu na jamaa) wamtambue marehemu. Ni kukosa umakini kweli? Hii sio hujuma?
We. endelea kuwaaminii hao watu ila kumbuka walitaka hiyo nafasi usipate sema tu yule Mkuu wa Wajeda wa wakati ule ndio alikuokoa. Hata kama umeweka watu wako hizo sehemu nyeti, usidhani ndio uko salama hasa ukizingatia umetoka upande wa pili wa hii nchi na zaid jinsia yako ni tatizo lingine.
Angalia wamekaa kimya, hata mitandaoni hawasemii chochote hawataki kujiharibia. Hao machawa wadogo wadogo hawatakusaidia lolote na matamko yao.
Jiwe alikuwa mkatili na alifanya ukatili mkubwa sana lakini wakubwa hawa walikuwa nae bega kwa bega kumtetea kila mahali kuanzia mitandaoni, kwenye vyombo vya habari, n.k.
Jiulize leo hiii ni wakubwa wangapi wanasimama na wewe kukutetea unaposhambuliwa na kulaumiwa?Hujiulizi ni kwanini?
Hivyo, kwa mtazamo wangu, inawzekana kabisa wanasubiri tu muda ufike waungane kisha wakuhujumu hata kama hawataondoka wote. Unaweza kujikuta huna wabunge wa kutosha na Bunge likatawaliwa na wapinzani wako na huo ndio ukawa mwanzo wa anguko lako kamli hapo baaadae wakishibdwa kukuondoa hiyo 2025.
Nimalizie kwa kusema, akili ya kuambiwa, .........
Jaribu kutafakari upya kuna mengi zaidi ya yaonayo macho yetu. Hakujakuwa na nguvu ya upinzani kuweza kushinda Urais wala majorty ya bunge.Tusidanganyike na mtandaoni ambako ni representation ndogo sana ya watanzania.Leo tukipiga kura Chama Tawala kinashinda kwa kishindo.Mkuu hana haja kabisa ya kupoteza watu ili ashinde uchaguzi,kwa nguvu ipi waliyonayo upinzani?Kwa nini isiwe kwa lengo la "kuogopesha raia, kuwatia woga ili yeye na kundi lake waendelee kufanya wanavyo taka bila ya kupingwa?
Toka mwanzo ni huyu huyu kahimiza matumizi ya "lugha ya staha". Hana uvumilivu wa kusikia lugha ngumu ikielekezwa kwake na kwa serikali yake.
Kwa hiyo, nadharia yako inaanza kuharibikia hapa.
Huu nao ni upotezaji lengo wa maksudi kabisa.
Huyu huyu ameteua wakuu wote wa vitengo vinavyo husika na kuhakikisha usalama wa raia upo; au wanaoweza kutumia nafasi hiyo kufanya anavyotaka yeye vyombo hivyo vifanye.
Kiongozi anaye ona usalama wa raia wake unatiwa doa na akakana mbele ya vyombo vya habari kwa kuyaita maswala hayo kuwa ni "DRAMA", kwako bado haikupi sababu ya kujuwa kwamba huyu kiongozi anao utashi wa kuamua kuzuia au kuruhusu yanayo endelea?
Hao watu/kundi hilo linalo mhujumu huko ndani ya CCM litakuwa na watu wa aina gani ambao Mwenyekiti wa Chama kamwe hawezi kulishughulikia? Tutajie hata mmoja tu kati ya watu hao ndani ya hiyo CCM anayo iongoza Samia sasa hivi.
Wajumbe wa Kammati Kuu ya chama, wote wanajulikana. Tueleze wewe, hili kundi linafanya kazi zake za kumhujumu Samia likiwa wapi?
Toa mfano, angalao mmoja tu, hata kama siyo kwa kutaja majina, uonyeshe kuunga hoja mkono wa nadharia yako hii! Mbona huyo huyo Samia mwenyewe kafanya juhudi kubwa za kuwasambaratisha hata hao ambao wangedhaniwa kuwa mahasimu wake; akina Makonda..., nani mwingine? Ally Bashiru? Atafanya nini huyu nje ya CCM inayo ongozwa na Samia mwenyewe!
Akina Lukuvi, Kalamaganda na wengineo, si ndio hao unawaona wanachezewa akili kama watoto wadogo na huyo huyo Samia?
Hakuna kundi lolote linalo fanya hujuma dhidi ya Samia kwa maksudi ya kutaka kumvurugia asiendelee kuwepo kwenye uongozi hapo 2025.
Kilicho wazi katika haya yanayo endelea sasa ni kundi ambalo linapigana juu chini kuhakikisha Samia anabaki madarakani, hata ikilazimu kuondoa roho za waTanzania; na Samia ni mhusika mkuu katika mpango huo.
Acha kueneza fikra potofu kwa maksudi mazima
Hapana. Kamwe sikubaliani na wazo hili. Hii ni sehemu ya mawazo yaliyopo huko CCM pekee.Jaribu kutafakari upya kuna mengi zaidi ya yaonayo macho yetu. Hakujakuwa na nguvu ya upinzani kuweza kushinda Urais wala majorty ya bunge.Tusidanganyike na mtandaoni ambako ni representation ndogo sana ya watanzania
AAAlaaaa!Leo tukipiga kura Chama Tawala kinashinda kwa kishindo.Mkuu hana haja kabisa ya kupoteza watu ili ashinde uchaguzi,kwa nguvu ipi waliyonayo upinzani?
Nauona mnyukano ni wa ndani kwa ndani,kwani ashindae ndani kashashinda nje.
Aisee 😯, unamaanisha aunde taasisi kwa maslahi binafsi ya kisiasa kisa wana CCM!!??UPo sahihi huyu mama anazungukwa na wana ccm wenzake yy aunde taasisi itayokuwa juu ya police na Takukuru.
🙏🙏🙏🙏 umemalizaSamia ni mjinga, hatengenezewi chochote na yeyote, simply anajichimbia shimo mwenyewe.
▪ Hivi mtu asiyetaka kuongea na anaowaongoza, kusikiliza vilio vyao mpaka anajiita chura kiziwi, huyu utasema vipi anatengenezewa mazingira na wengine?
▪ Mtu asiyetaka kuwachukulia hatua watendaji wanaoharibu kwenye serikali yake, anawaacha tu licha ya udhaifu walionao unaofikia hatua za kugharimu roho zetu, huyu utasema vipi anatengenezewa mazingira?
Simple tu; Samia ni mjinga asiyetaka kujifunza, ni mkaidi anayeona sifa kujitia uziwi akidhani ndio njia nzuri ya kiongozi kuchapa kazi, matokeo yake sasa ukimya wake umefikia hatua ya kugharimu roho zetu.
Huyu hatengenezewi mazingira na yeyote, ni mjinga anayechimba shimo kisha anatumbukia mwenyewe.
Kamtafte shekh Yahya hussein au ulizia habarizakeHatukuwa nawe na mzee wako katika tabiri zenu,uweke hapa urabiri wenu.
Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.
Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama zote zirakuwa kwake.
Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?
Unawezaje kuteka, kupoteza na kuua watu kwa kiwango hiki tena kwa mfululizo ndani ya muda mfupi kama sio njama?
Unampiga mtu risasi halafu unaenda kumtupa kwenye mbuga ya wanyama lakini katika eneo ambalo ni rahisi watu kumuona. Je, hii sio makusudi?
Unampiga mtu mpaka kumua halafu usoni unamgwagia tindikali eti asitambulike lakini unaacha sehemu zingine za mwili zenye clue inayoweza kufanya watu(ndugu na jamaa) wamtambue marehemu. Ni kukosa umakini kweli? Hii sio hujuma?
We. endelea kuwaaminii hao watu ila kumbuka walitaka hiyo nafasi usipate sema tu yule Mkuu wa Wajeda wa wakati ule ndio alikuokoa. Hata kama umeweka watu wako hizo sehemu nyeti, usidhani ndio uko salama hasa ukizingatia umetoka upande wa pili wa hii nchi na zaid jinsia yako ni tatizo lingine.
Angalia wamekaa kimya, hata mitandaoni hawasemii chochote hawataki kujiharibia. Hao machawa wadogo wadogo hawatakusaidia lolote na matamko yao.
Jiwe alikuwa mkatili na alifanya ukatili mkubwa sana lakini wakubwa hawa walikuwa nae bega kwa bega kumtetea kila mahali kuanzia mitandaoni, kwenye vyombo vya habari, n.k.
Jiulize leo hiii ni wakubwa wangapi wanasimama na wewe kukutetea unaposhambuliwa na kulaumiwa?Hujiulizi ni kwanini?
Hivyo, kwa mtazamo wangu, inawzekana kabisa wanasubiri tu muda ufike waungane kisha wakuhujumu hata kama hawataondoka wote. Unaweza kujikuta huna wabunge wa kutosha na Bunge likatawaliwa na wapinzani wako na huo ndio ukawa mwanzo wa anguko lako kamli hapo baaadae wakishibdwa kukuondoa hiyo 2025.
Nimalizie kwa kusema, akili ya kuambiwa, .........
Kwani mnachagua nini?Kwa hili tukio kura za CCM zitapungua sana hasa 2025.
Hajitambui yuko kizenji tuNikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.
Wanafanya ukatili mbaya na wa kutisha halafu wanaacha nafasi ya watu kushuhudia ukatili uliiofanywa kwenye mwili wa muathirika lengo ni kuamsha chuki na hasira na wanajua lawama zote zirakuwa kwake.
Kwa mfano , jiulize, yule mzee walishindwa kumtengeneza ajali, kumpa sumu, n.k?Kulikuwa na ulazima wa kumteka kwa style ile tena huku kelele za watu kutekwa na kupotezwa zikiwa zimepamba moto?
Unawezaje kuteka, kupoteza na kuua watu kwa kiwango hiki tena kwa mfululizo ndani ya muda mfupi kama sio njama?
Unampiga mtu risasi halafu unaenda kumtupa kwenye mbuga ya wanyama lakini katika eneo ambalo ni rahisi watu kumuona. Je, hii sio makusudi?
Unampiga mtu mpaka kumua halafu usoni unamgwagia tindikali eti asitambulike lakini unaacha sehemu zingine za mwili zenye clue inayoweza kufanya watu(ndugu na jamaa) wamtambue marehemu. Ni kukosa umakini kweli? Hii sio hujuma?
We. endelea kuwaaminii hao watu ila kumbuka walitaka hiyo nafasi usipate sema tu yule Mkuu wa Wajeda wa wakati ule ndio alikuokoa. Hata kama umeweka watu wako hizo sehemu nyeti, usidhani ndio uko salama hasa ukizingatia umetoka upande wa pili wa hii nchi na zaid jinsia yako ni tatizo lingine.
Angalia wamekaa kimya, hata mitandaoni hawasemii chochote hawataki kujiharibia. Hao machawa wadogo wadogo hawatakusaidia lolote na matamko yao.
Jiwe alikuwa mkatili na alifanya ukatili mkubwa sana lakini wakubwa hawa walikuwa nae bega kwa bega kumtetea kila mahali kuanzia mitandaoni, kwenye vyombo vya habari, n.k.
Jiulize leo hiii ni wakubwa wangapi wanasimama na wewe kukutetea unaposhambuliwa na kulaumiwa?Hujiulizi ni kwanini?
Hivyo, kwa mtazamo wangu, inawzekana kabisa wanasubiri tu muda ufike waungane kisha wakuhujumu hata kama hawataondoka wote. Unaweza kujikuta huna wabunge wa kutosha na Bunge likatawaliwa na wapinzani wako na huo ndio ukawa mwanzo wa anguko lako kamli hapo baaadae wakishibdwa kukuondoa hiyo 2025.
Nimalizie kwa kusema, akili ya kuambiwa, .........
Hakuna wa kuthubutu kujitenga.Nikitazama mwenendo wa mambo, hii ndio picha ninyoipata kutokana na haya matukio hasa kwa jinai yanavyotekelezwa.

Kwani weye ndio wa lile la mkooonoo?Hakuna wa kuthubutu kujitenga.
Hakuna wa kujitenga na maslahinya kule.Kwani weye ndio wa lile la mkooonoo?
watu hawaogopeshwi kwa style hiyo.Kilichofanyika nikujenga chuki na hasira kwenye mioyo ya watu.na kama mawazo yao ni hayo basi iko siku hawataamini kwasababu yatawageuka.Huo ni mtazamo wako ni sawa pia. Ila mimi nawewe hatujui kinachoendelea. Naomba kuuliza swali, Tanzania hii nayoijua kikundi tu cha watu kijitokeze, kuteka mtu na silaha nzito, tena barabarani jua linawaka Je inawezekana? Jaribu kufanya hivyo, utuletee mrejesho.
Upande wangu naona ni namna ya kuogopesha watu, kunyamazisha uhuru wa habari tukielekea Uchaguzi mkuu mwakani. Nina amini, baada ya uchaguzi, haya ya kuteka yatapungua kama si kuisha kabisa.