Huku kwetu tukizungumza neno 'dini' na ili mtu aonekane amedeal na mambo ya dini ni nn ref km sio vitabu hivyo?!!! Mkuu vp?Nani kasema mambo ya Biblia/Quran 😲😲
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku kwetu tukizungumza neno 'dini' na ili mtu aonekane amedeal na mambo ya dini ni nn ref km sio vitabu hivyo?!!! Mkuu vp?Nani kasema mambo ya Biblia/Quran 😲😲
Usipate tabu. Usipoelewa kitu, acha kama kilivyo.Aisee hili ni tatizo nini sasa hiki umeandika
Dunia imeanza baada ya Marekani kuwa superpower ?Usipate tabu. Usipoelewa kitu, acha kama kilivyo.
Endelea kuamini kama lipo taifa kati ya hayo uliyoyataja litakalokuja kuchukua nafasi ya Marekani. That simple.
Hujui historia ACHA uongo, Urusi iombe kujiunga na NATO iliiweje?Urusi hawezi kuigusa Poland kwa sasa. Licha ya kuwa ni mwanachama wa NATO, Poland imeboresha jeshi na ina vifaa bora kabisa vya kijeshi. Urusi ameanza kupata wasiwasi kwa nini Poland anataka kuunda biggest army in the world. Poland ameshaota pembe, hivyo Mrusi atulie.
Russia walitaka kujiunga NATO wakakataliwa, hivyo wanaamini NATO ndio inataka kuivamia Urusi.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
we kima Russia mwenyewe ashawahi kuwa superpower alidrop uwo mwishi wa dunia ulitokea?Wewe ndio huelewi dunia inaendaje. Marekani sio taifa la “kikabila”; inashikiliwa na wadau na wataalamu toka dunia nzima chini ya magenius maalum. Wako Wayahudi, Warusi, Wachina, Wahindi, Waarabu, Wajapan, Waajemi, Wajerumani, Waingereza, n.k. Hakuna anayetaka wala kuweza kuiangusha.
Sana sana watu wanagombania nafasi ya kuiiongoza Marekani kama ilivyo. Si rahisi kuisuka nchi ikaendeshwa na “MFUMO” tu kama ilivyo Marekani. Kasome mikakati ya “systems” labda ndipo utaielewa Marekani. Nchi zinazoongozwa kidikteta haziwezi kuchukua nafasi ya Marekani zikaaminika kushikilia nguzo kuu za uchumi na usalama wa dunia. Itakuwa chaos from day one.
Katika hizo nchi ulizozitaja, Iran ndiyo tofauti. Wao hawana interest na maisha ya duniani. Hivyo kuanguka kwa Marekani ndiyo kuanguka kwa dunia na mwisho wake. Wao wanawaza maisha ya peponi tu. Hao ndio kweli wanataka sana anguko la Marekani. Sio hao wengine wenye hamu kubwa ya maisha mazuri hapa duniani.
Haya mahojiano tunayapata wapi?
Mimi sio kima. Tuheshimiane.we kima Russia mwenyewe ashawahi kuwa superpower alidrop uwo mwishi wa dunia ulitokea?
View: https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19
-Putin anajua historia sana
-Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika
-Putin anaonekana kutaka ushirikiano lakini nchi za Magharibi zimeitenga Urusi
-Putin hataki kuivamia Poland au kutwaa ulimwengu
-Putin sio mpiga vita aliyechanganyikiwa na MSM inamuelezea kama
-Putin anaifahamu vyema "Deep State" na anaitambua CIA kuwa ni wachafu
Nilitamani sana kuona Putin akielezea kwa undani juu ya kuzorota kwa jamii ya Magharibi, uendawazimu wa kijinsia, nk, kwa sababu nadhani ingehusiana na Watu wa Amerika. Historia kuhusu Unazi wa Kiukreni itakuwa na ufanisi na mazungumzo yake ya "denazification" hakika yatavutia.
bila shaka nilitaka Tucker amuulize Putin kuhusu biolabs nchini Ukraine, lakini kama nilivyoeleza jana, mada hii inaweza kuwa mbali sana na kuruka shimo la sungura kwa wale wapya kwenye ulimwengu huu. mahojiano haya yalionekana kuwa utangulizi wa hisia ya kwanza ya kukata rufaa kwa raia wa Magharibi na kukanusha mtazamo ulioundwa na MSM wa Putin.
Mtu yeyote ambaye alitazama mahojiano hayo bila upendeleo atalazimika kukubaliana kwamba Putin sio yule mnyama tuliyeambiwa alikuwa, na mazungumzo yanaweza kufanywa ikiwa kuna uwezo kutoka kwa uongozi wa Amerika.
Kwa matumaini hii itabadilisha mtazamo wa Marekani kuwa wapenzi wasio na hatia katika mzozo huo, na hatimaye inaweza kusababisha ufahamu mkubwa kwamba Marekani/NATO ndio walioleta vita na silaha kwenye mlango wa Urusi kupitia ujasusi na mapinduzi ya rangi ya CIA.
Mzee Putin anaamini sana kwenye deep state.Did he say “who” exactly are CIA?
Well, he’s damn right, the POTUS CANNOT run the US. Still, he can appoint the D/CIA and other national intelligence bosses.
View: https://twitter.com/TuckerCarlson/status/1755734526678925682?t=UwfeRAPB-CHAYR0o6V6Jig&s=19
-Putin anajua historia sana
-Putin anaendesha ndege ya kiakili juu ya wanasiasa wote wa Amerika
-Putin anaonekana kutaka ushirikiano lakini nchi za Magharibi zimeitenga Urusi
-Putin hataki kuivamia Poland au kutwaa ulimwengu
-Putin sio mpiga vita aliyechanganyikiwa na MSM inamuelezea kama
-Putin anaifahamu vyema "Deep State" na anaitambua CIA kuwa ni wachafu
Nilitamani sana kuona Putin akielezea kwa undani juu ya kuzorota kwa jamii ya Magharibi, uendawazimu wa kijinsia, nk, kwa sababu nadhani ingehusiana na Watu wa Amerika. Historia kuhusu Unazi wa Kiukreni itakuwa na ufanisi na mazungumzo yake ya "denazification" hakika yatavutia.
bila shaka nilitaka Tucker amuulize Putin kuhusu biolabs nchini Ukraine, lakini kama nilivyoeleza jana, mada hii inaweza kuwa mbali sana na kuruka shimo la sungura kwa wale wapya kwenye ulimwengu huu. mahojiano haya yalionekana kuwa utangulizi wa hisia ya kwanza ya kukata rufaa kwa raia wa Magharibi na kukanusha mtazamo ulioundwa na MSM wa Putin.
Mtu yeyote ambaye alitazama mahojiano hayo bila upendeleo atalazimika kukubaliana kwamba Putin sio yule mnyama tuliyeambiwa alikuwa, na mazungumzo yanaweza kufanywa ikiwa kuna uwezo kutoka kwa uongozi wa Amerika.
Kwa matumaini hii itabadilisha mtazamo wa Marekani kuwa wapenzi wasio na hatia katika mzozo huo, na hatimaye inaweza kusababisha ufahamu mkubwa kwamba Marekani/NATO ndio walioleta vita na silaha kwenye mlango wa Urusi kupitia ujasusi na mapinduzi ya rangi ya CIA.
Watu wajiulize: huko Marekani Putin anatarajia kupambana na kiongozi gani hasa? Amekuwa Rais wa Russian Federation tangu 2000 Bill Clinton akiwa Rais wa US. Wamepita GW Bush, B Obama, D Trump na Sasa J Biden. Yeye yupo tu. Hadi leo kawa Rais kwa miaka karibia 20!Mzee Putin anaamini sana kwenye deep state.
Hata 'deep state' ya Urusi (kama kweli ipo) imeshadhibitiwa na Putin
Ndiyo huwa nawaza eti mtu anataka U.S.A ianguke halafu watu wataenda kula bata wapi eti?Tangu dunia imeanza kumekuwa na “tribal nations” na tawala za kifalme baadaye republics lakini bado za kikabila zaidi. Dola za Waajemi, Warumi, Ottoman, n.k.
Marekani sio dola ila ndio taifa pekee unaloweza kuliita “taifa la dhana mpya” (concept nation) liliowazi kwa watu wa mataifa yote waliopania kuiishi “ndoto ya Marekani” (the American Dream).
Bado hawajafanikiwa kuweka sawa misingi yote ya hiyo dhana lakini wamefikia hatua ya kuvutia mamilioni ya watu wa mataifa yote kutaka kuhamia huko, kusoma huko, kununua majengo huko, kuweka matrilioni ya dola huko na kununua hati fungani za hazina ya Marekani. China ina hatifungani za dola karibia bilioni 900.
Sasa sijui nani anaweza kuwa mbadala wa hilo concept nation. Kama sijaeleweka just ignore me.
Putin anaamini yeye pekee ndiye mwenye uwezo wa kuilinda Urusi dhidi ya ubeberu wa madola ya magharibi hasa Marekani (kosa kubwa hilo).Watu wajiulize: huko Marekani Putin anatarajia kupambana na kiongozi gani hasa? Amekuwa Rais wa Russian Federation tangu 2000 Bill Clinton akiwa Rais wa US. Wamepita GW Bush, B Obama, D Trump na Sasa J Biden. Yeye yupo tu. Hadi leo kawa Rais kwa miaka karibia 20!
Nchi inamtegemea mtu mmoja tu halafu ndio iweze kushindana na mfumo madhubuti wa US? Lazima ahangaike sana. Na jioni (uzee) ndio meanza kuingia. Wakizubaa Urusi itabakia weak sana kupita 1990s enzi za Boris Yeltsin.
Shambulizi la Bunge la January 6 linaonesha uimara wa marekani ?Putin anaamini yeye pekee ndiye mwenye uwezo wa kuilinda Urusi dhidi ya ubeberu wa madola ya magharibi hasa Marekani (kosa kubwa hilo).
Ule uasi mfupi wa Wagner ulionyesha namna Urusi isivyokuwa na udhibiti kamili wa kiutawala na kisheria. ....ni taifa kubwa tajiri wa rasilimali ila limekosa uongozi mzuri.
Putin akiondoka, Warusi wasipokuwa makini ni rahisi kuwepo Vita ya kugombea madaraka au mgawanyiko miongoni mwa Idara za Usalama, Jeshi na Oligarchs.
T14 Armata
Mgawanyiko kwenye siasa ni kawaida Sana.Shambulizi la Bunge la January 6 linaonesha uimara wa marekani ?
Hivi unafahamu marekani imegawanyika katika democrats na Republican ni rahisi sana kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa aina hizi za siasa
Dunia itafika lini mwisho?Mpaka dunia itakwisha haitotokea NATO wakaishamblia urusi, kamwe halitotokea.