Mtazamo wangu kuhusu Mahojiano aliyofanyiwa Rais Putin

Uzi mzuri sana nikae kusikiliza nondo za watabe. Lakini bahati mbaya washakuja usa babies wao wanachambua kwa mazoea na mahaba tu badala ya kuangalia uhalisia,kisa usa kashikwa kende.

USA ni super power kama zilivyowahi kuwepo zingine nyingi miaka ya nyuma, lakini zilianguka na wala mwisho wa dunia hatukuwahi kuusikia na wala maisha hayakutikisika kamwe.
 
Mkuu, huyu ni wewe?
Kama si wewe nani amemuiga mwenzie?
 

Attachments

  • IMG_8125.png
    65.7 KB · Views: 5
Aisee hili ni tatizo nini sasa hiki umeandika
Usipate tabu. Usipoelewa kitu, acha kama kilivyo.

Endelea kuamini kama lipo taifa kati ya hayo uliyoyataja litakalokuja kuchukua nafasi ya Marekani. That simple.
 
Hujui historia ACHA uongo, Urusi iombe kujiunga na NATO iliiweje?
 
we kima Russia mwenyewe ashawahi kuwa superpower alidrop uwo mwishi wa dunia ulitokea?
 
Tangu dunia imeanza kumekuwa na “tribal nations” na tawala za kifalme baadaye republics lakini bado za kikabila zaidi. Dola za Waajemi, Warumi, Ottoman, n.k.

Marekani sio dola ila ndio taifa pekee unaloweza kuliita “taifa la dhana mpya” (concept nation) liliowazi kwa watu wa mataifa yote waliopania kuiishi “ndoto ya Marekani” (the American Dream).

Bado hawajafanikiwa kuweka sawa misingi yote ya hiyo dhana lakini wamefikia hatua ya kuvutia mamilioni ya watu wa mataifa yote kutaka kuhamia huko, kusoma huko, kununua majengo huko, kuweka matrilioni ya dola huko na kununua hati fungani za hazina ya Marekani. China ina hatifungani za dola karibia bilioni 900.

Sasa sijui nani anaweza kuwa mbadala wa hilo concept nation. Kama sijaeleweka just ignore me.
 
Umeshiba propaganda za Kirusi.

'Denazification' ni propaganda tu zisizo na ukweli, hao manazi wapo hata ndani ya Urusi.
 
Did he say “who” exactly are CIA?

Well, he’s damn right, the POTUS CANNOT run the US. Still, he can appoint the D/CIA and other national intelligence bosses.
Mzee Putin anaamini sana kwenye deep state.

Hata 'deep state' ya Urusi (kama kweli ipo) imeshadhibitiwa na Putin
 
Putin sio kichaa anapambana na wahuni wenzake.

Siku zote anawaita our patners, wenzetu, washirika wetu. Hana jazba, anatambua uwezo wa maadui wake, anawaheshimu.

Nafikiri anachotaka ni kuheshimiwa yeye na nchi yake kuheshimiwa kama Taifa kubwa lenye nguvu, hataki kuzungukwa na USA na washikaji wake kama USA asingevyotaka kuzungukwa na nchi kama China au Urusi.
 
Mzee Putin anaamini sana kwenye deep state.

Hata 'deep state' ya Urusi (kama kweli ipo) imeshadhibitiwa na Putin
Watu wajiulize: huko Marekani Putin anatarajia kupambana na kiongozi gani hasa? Amekuwa Rais wa Russian Federation tangu 2000 Bill Clinton akiwa Rais wa US. Wamepita GW Bush, B Obama, D Trump na Sasa J Biden. Yeye yupo tu. Hadi leo kawa Rais kwa miaka karibia 20!

Nchi inamtegemea mtu mmoja tu halafu ndio iweze kushindana na mfumo madhubuti wa US? Lazima ahangaike sana. Na jioni (uzee) ndio imeanza kuingia. Wakizubaa Urusi itabakia weak sana kupita 1990s enzi za Boris Yeltsin.
 
Ndiyo huwa nawaza eti mtu anataka U.S.A ianguke halafu watu wataenda kula bata wapi eti?
 
Putin anaamini yeye pekee ndiye mwenye uwezo wa kuilinda Urusi dhidi ya ubeberu wa madola ya magharibi hasa Marekani (kosa kubwa hilo).

Ule uasi mfupi wa Wagner ulionyesha namna Urusi isivyokuwa na udhibiti kamili wa kiutawala na kisheria. ....ni taifa kubwa tajiri wa rasilimali ila limekosa uongozi mzuri.

Putin akiondoka, Warusi wasipokuwa makini ni rahisi kuwepo Vita ya kugombea madaraka au mgawanyiko miongoni mwa Idara za Usalama, Jeshi na Oligarchs.

T14 Armata
 
Shambulizi la Bunge la January 6 linaonesha uimara wa marekani ?

Hivi unafahamu marekani imegawanyika katika democrats na Republican ni rahisi sana kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa aina hizi za siasa
 
Shambulizi la Bunge la January 6 linaonesha uimara wa marekani ?

Hivi unafahamu marekani imegawanyika katika democrats na Republican ni rahisi sana kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe kwa aina hizi za siasa
Mgawanyiko kwenye siasa ni kawaida Sana.

hapo kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe thibitisha hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…