Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Hakuna mgawanyiko wa kawaida kwenye siasa unaotishia mpaka usalama wa muhimili wa bunge katika mihimili inayo unda serikaliMgawanyiko kwenye siasa ni kawaida Sana.
hapo kwenye Vita vya wenyewe kwa wenyewe thibitisha hilo.
Wale wahuni wachache wa Trump hawakuwa na kitisho hicho unachoandika hapaHakuna mgawanyiko wa kawaida kwenye siasa unaotishia mpaka usalama wa muhimili wa bunge katika mihimili inayo unda serikali
Ipo mtazamo na uhalisia,wewe uchague kuukataa uhalisia na kuukubali mtazamo au vinginevyo 😁Wewe umetoa mtazamo wako kama ambavyo Putin naye ametoa mtazamo wake.
Yote ni mitazamo tu!
Wale wahuni wachache wa Trump na kwa nini wafuasi chama kikubwa cha siasa marekani uwaite mahuni ?Wale wahuni wachache wa Trump hawakuwa na kitisho hicho unachoandika hapa
Huwezi kufafanisha uhuni wa Republican vichaa wa Trump na uasi wa mamluki wa Wagner.Wale wahuni wachache wa Trump na kwa nini wafuasi chama kikubwa cha siasa marekani uwaite mahuni ?
Wagner ambao wewe uliona ni tishio zaidi kwa Russia walikuwa wanafika hata million ?
Kwani nchi kuingia katika mgogoro na mpalanganyiko ina hitajika watu wawe wangapi ?
Mgomo wa kutii amri ya Waziri wa ulinzi na kuvamia bunge ili kubatilisha matokeo ya serikali halali na kuweka serikali mnayotaka ninyi kipi ni kitendo kibaya zaidi ?Huwezi kufafanisha uhuni wa Republican vichaa wa Trump na uasi wa mamluki wa Wagner.
Hayo ni mambo tofauti kabisa hata hayana mfanano wowote ule.
Wewe unazungumzia vijitabu vinasema nini, Putin yeye anazungumza inner stuffs how do they operate off books. Sikiliza utulie hao wanaijua dunia tofau na wewe au mimiFalse narrative!
What are those "other agencies"? That should have been a follow-up question from Tucker.
Practically and constitutionally, the US federal government comprises 3 distinct branches. The US presidency is part of the executive branch of the federal government. Therefore, the president is one of the agencies that run the country or the federal government of the United States.
Putin anazungumza conspiracy theories ambazo wewe unaziita "inner stuffs". Ndio maana nimetaka kufahamu kwamba hizo "other agencies" ni zipi?Wewe unazungumzia vijitabu vinasema nini, Putin yeye anazungumza inner stuffs how do they operate off books. Sikiliza utulie hao wanaijua dunia tofau na wewe au mimi
We jamaa udini unakumaliza.Inaonekana wewe hujui ni kwa nini Nato iliundwa pamoja na madhumuni ya undwaji wake kiujumla. Wewe ni walewale wanaotumia dira ya kidini kama mwongozo wa kimtizamo.
Umeandika nadharia nyingi sana zinazokinzana na uhalisia.Tangu dunia imeanza kumekuwa na “tribal nations” na tawala za kifalme baadaye republics lakini bado za kikabila zaidi. Dola za Waajemi, Warumi, Ottoman, n.k.
Marekani sio dola ila ndio taifa pekee unaloweza kuliita “taifa la dhana mpya” (concept nation) liliowazi kwa watu wa mataifa yote waliopania kuiishi “ndoto ya Marekani” (the American Dream).
Bado hawajafanikiwa kuweka sawa misingi yote ya hiyo dhana lakini wamefikia hatua ya kuvutia mamilioni ya watu wa mataifa yote kutaka kuhamia huko, kusoma huko, kununua majengo huko, kuweka matrilioni ya dola huko na kununua hati fungani za hazina ya Marekani. China ina hatifungani za dola karibia bilioni 900.
Sasa sijui nani anaweza kuwa mbadala wa hilo concept nation. Kama sijaeleweka just ignore me.
Kuna mataifa kibao ya kula bata.Ndiyo huwa nawaza eti mtu anataka U.S.A ianguke halafu watu wataenda kula bata wapi eti?
Zitaje baadhi.Kuna mataifa kibao ya kula bata.
Acheni hizi nadharia za kusema bata linalika Imperial nations peke yake.
Hizo imperial nations zenyewe kwasasa zinataabika kwa mass unemployment na matatizo mengine ya kiuchumi.
Kwa nini Putin anawastua Marekani kwamba wanaharibu Dola yao wenyewe? Kwa nini asinyamaze kimia ife yenyewe? Putin mwenyewe hataki kuona Dolar inakufa, hana imani na Yuan ya China.US sanctions are leading to dedollarization and rise of Chinese yuan — Vladimir Putin:
🔹“The dollar is the cornerstone of US power. However, the weaponization of USD is a grave mistake. Now even US allies are getting rid of dollar in their foreign exchange reserves.
In early 2022, US dollar accounted for 50% of our transactions with other countries. Now, it’s down to 13%.
70% of our current transactions are in rubles and yuan.
Other countries are also now considering selling oil for yuan.”
Do you even realize what you’re doing? You are killing the dollar with your own hands.”
Unaweza kwenda kula bata Beijing au Moscow?Kuna mataifa kibao ya kula bata.
Acheni hizi nadharia za kusema bata linalika Imperial nations peke yake.
Hizo imperial nations zenyewe kwasasa zinataabika kwa mass unemployment na matatizo mengine ya kiuchumi.
Unafahamu Poland ilishawahi kupigwa zaidi ya mara 2 na Urusi?Urusi hawezi kuigusa Poland kwa sasa. Licha ya kuwa ni mwanachama wa NATO, Poland imeboresha jeshi na ina vifaa bora kabisa vya kijeshi. Urusi ameanza kupata wasiwasi kwa nini Poland anataka kuunda biggest army in the world. Poland ameshaota pembe, hivyo Mrusi atulie.
Wewe Nawe unatuchosha tuu Bila sababu.........ulikuwa unapigia upatu jeshi la ukraine kutuaminisha kuwa Ni Bora Sana na dubu atakalishwa ,leo unageuka kulikana Kisa tuu umeona ulichokuwa unakitegemea hakiwezi kutokea na umehamisha magoliUkraine jeshi alilokuwa nalo linaweza pigwa hata na Misri, utabisha. Poland na Finland haziwezi pigwa na Ukraine ile ya kabla ya vita. Sembuse kwa sasa Poland imekuza jeshi kwa fujo.
Ukraine hana hata meli moja ya kivita ndio unataka umlinganishe na Poland. Ukraine hana airlifters, hana aerial refueling capability, hana airtoopers, hana submarines. In fact hata jeshi la Algeria linaipiga Ukraine ile iliyovamiwa na Urusi.
USA haina uwezo wa kulazimisha nchi yeyote kufuata sera zake wala kuingilia sovereignty yake kama iko makini.Umeandika nadharia nyingi sana zinazokinzana na uhalisia.
Hiyo USA kuna nchi kibao wanatamani ianguke na sasa hivi kama kutamani maisha mazuri kuna mataifa mbadala na USA ambayo watu wanatamani kuishi kwenye maisha bora zaidi kuliko USA.
Unatakiwa utizame contemporary geopolitical conditions ikoje.
Siasa ama diplomasia ya sasa tofauti na ya zamani.
Hiyo USA sasa hivi inachukiwa kwa kulazimisha mataifa yaendane na sera zake kiasi inaingilia sovereignty ya mataifa mengine.
Pia hiyo USA watu sasa hivi hawaitamani kwa kuzidi ubaguzi na kutokuwepo na amani ya ndani.
Umeongea nadharia za miaka ya nyuma sana,dunia imebadilika sana sasa hivi hizi nadharia zako ni outdated.
Ni mataifa gani hayo, kama ni ya kiarabu sio kweli waarabu wengi wanakimbilia Marekani na nchi zingine za magharibi. Wachina wamejaa Marekani hadi wana miji inaitwa China Town.Kuna mataifa kibao ya kula bata.
Acheni hizi nadharia za kusema bata linalika Imperial nations peke yake.
Hizo imperial nations zenyewe kwasasa zinataabika kwa mass unemployment na matatizo mengine ya kiuchumi.
Dora sijui tawala ni wale wale, Kila kitu na zama zake, ilikuwepo vikings,Rumi, Persia, Ottoman, Ufaransa Uingereza Hispania Ureno na makoloni yao. Sasa hivi .ukoloni umerudi Kwa jina la washirika wa Marekani.. Sasa shida Iipo Kwa baadhi ya nchi zinapokataa neo colonialism ya Marekani. Ndo kama vile Urusi, Irani China etc zinapigwa vikwazo na majina ya ugaidi yanapewaTangu dunia imeanza kumekuwa na “tribal nations” na tawala za kifalme baadaye republics lakini bado za kikabila zaidi. Dola za Waajemi, Warumi, Ottoman, n.k.
Marekani sio dola ila ndio taifa pekee unaloweza kuliita “taifa la dhana mpya” (concept nation) liliowazi kwa watu wa mataifa yote waliopania kuiishi “ndoto ya Marekani” (the American Dream).
Bado hawajafanikiwa kuweka sawa misingi yote ya hiyo dhana lakini wamefikia hatua ya kuvutia mamilioni ya watu wa mataifa yote kutaka kuhamia huko, kusoma huko, kununua majengo huko, kuweka matrilioni ya dola huko na kununua hati fungani za hazina ya Marekani. China ina hatifungani za dola karibia bilioni 900.
Sasa sijui nani anaweza kuwa mbadala wa hilo concept nation. Kama sijaeleweka just ignore me.