Inamaana unataka kusema kuna waganga wengine hawawezi kutoa majini
naomba nichangie kwa uzoefu wangu binafsi juu ya waganga wa kienyeji.Mganga wa kienyeji ni binadamu kama wewe na mimi hana nguvu yoyote ya ziada kukuzidi wewe.
Mganga wa kienyeji anatumia nguvu ya majini -majini ni lugha ya kiswahili iliyotoholewa kutoka lugha ya kiarabu(mana kiswahili ni mchanganyiko wa kiarabu na kibantu) kiingereza evil spirit,au demon.INFACT haya majini ndiyo yaliyowafundisha binadamu uchawi,uganga wa kienyeji,maarifa ya sayansi ma telnolojia,silaha za vitab,na maarifa mengi ...na yalizaa na wanawake wa kininadamu yakazakiwa majitu marefu MANEFELI yaliyokuwa na akili sana na makatili sana.
POint yangu-binadamu wote hatutofautiani sana binadamu waliofanya maajabu baadhi yaosaidiwa na haya majini,NA NDICHO WANACHOFANYA wagangabwa kienyeji na wachawi bila msaada wa majini hawawezi chochote ni kama wewe na mimi hapa.
...sasa mganga atatumia majini au mizimu ..ndiyo itamsaidia utambuzi..au wanaitwa pepo wa utambuzi..
SASA yule pepo wa utambuzi/jini au mzimu aliyepo ndani ya mganga wa kienyeji...sifa yake kubwa ana uwezo wa kutambua mambo yako,hivyo atakwambia mambo yako yanayokuhusu kwa usahihi 100% mfano majina yako,kabila unapoishi,mazingira ya nyumbani familia yako kazi yako majirani zako ukoo wako ndugu zako na hata magonjwa yanayokusumbua au tatizo linalokusumbua kwa usahihi na lilianza lini..atakwambia sehemu ulizopita kutafuta msaada kabla ya kwenda kwa huyo mganga,hata kama ulipita kwa waganga wwngine kabla atakwambia sehemu zipi hata kama ulienda kuombewa kanisani au wapi atakwambia kila kitu kichokuhisu kwa usahihi bila ya wewe kumwambia utafikiri anakufahamu au huwa mnakuwa wote hata vitu unavyofanya sirini ukiwa peke yako atakwambia ata mambo uliyoyafanya miaka mingi ya nyuma atakwambia..(HIYO NDIYO SIFA ya pepo wa utambuzi)..na hapa ndipo watu wanapopigwa ...kwa sababu wanajenga imani kuamini kuwa watasaidika ETI kwa vile wameambiwa mambo yao kwa usahihi......SO SAD.!
Usichokijua ni kwamba pamoja na kwamba pepo wa utambuzi amekwambia mambo yako yote kwa usahihi...HANA UWEZO WA KUKUPONYA ,HANA UWEZO WA KUKUSAIDIA HANA UWEZO WA KUMTOA Kumfukuza pepo mwenzake .Mganga wa kienyeji yeyote hana uwezo wa kumtoa pepo kutoka kwa mtu.
Atakachofanya atamuita pepo wako aliyeko ndani yako atamopandisha aje atamuomba atulie asikusumbue watakubaliana na naye pepo litasema linataka vitu gani ili litulie ,au litadanganya litaletewa..hivyo litatulia kwa muda na baadae litabadilisha staili ya kukutesa ugonjwa kama shida ilikuwa miguu ,miguu itatulia litaibukia na shida nyingine,au mganga wa kienyeji anaweza akakuwekea akakuongezea mapepo wengine ambao wataweka maagano na mganga wa kienyeji utaona kama umepona hivi lakini kwa muda fulani utapata nafuu .AU litafanya maigizo litadanganya natoka natoka au litalia NAENDA niachie nisamehe,ila halijaindoka linaigiza bado LIPO.
kiuhalisia tatizo LIKO PALE PALE au ndio litaongezeka kwa sababu anakuongezea mengine.
Pia mganga anaweza kuiba nyota yako,ukienda pale lazima akusome nyota yako akiipenda anakuibia kwa kifupi MGANGA YEYOTE NAYE NI MCHAWI
Waganga wa kienyeji wote ni waongo na wanafanya kazi kwa siri na wanashirikiana na hayo mapepo majini mizimu na kuzimu na shetani mwenyewe na hata wachawi..Mchawi na mganga wa kienyeji wanazungumza wanakubalina .
NDIO MAAANA ukishaanza kwenda kwa waganga wa kienyeji WEWE UTAKUWA NI MTU WA KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA UTAKUWA UNAWAABUDU WAGANGA YANI NDIO TUMAINI LAKO. kwa sababu kuna wakati anakushauri uende kwa mganga mwingine magali oengine kwamba ndio mwwnye uwezo wa kukuponyab,kumbe yule mganga mwingine ni mwenzake wote wanashirikina katika kukuchezea na kukupiga hela.na wewe unaweza ukaona umepona au umepata nafuu,lakini bado una tatizo sema limebadilisha sura limekuja kivingine au limetulia kwa muda.
Mchawi,mganga wa kienyeji,mfuga majini,mizimu,mapepo,shetani ni chama kimoja madhabahu yao ni moja na inaitwa( lucifergerofokare) ambayo mchawi akienda kuwanga anatoa kafara zake hapo ili aweze kuloga kwa kutumia majini,na mganga wa kienyeji naye anatumia madhabahu hiyohiyo ukipeleka kafara alizikuagiza umpelekee au zake pia za kuchinja au sadaka zozote kama pesa inaenda madhabahu hiyohiyo wanaoabudu mizimu kwa matambiko kuchinja,pombe mila za jadi kwa kujua au kutokujua ila nao madhabahu yao ni ileile yote yanaenda katika madhabahu hiyo hiyo,na shetani naye anatumia madhabahu hiyo hiyo .Hivyo hawa wote KIROHO ni kitu kimoja na wanashirikiana lao ni moja (Shetani,majini,wachawi,waganga,mizimu ambayo ni aina ya majini ya ukoo).ILA NI WAONGO WANAMCHEZEA SHERE MWANADAMU(mtu anayeenda kwa mganga wa kienyeji anadanganyika tu,mtu anaye abudu mizimu kwa kuitambukia hata kama qnachanganya na kwenda kanisani yeye kiroho anahesabika ni malibya kuzimu)
HAKUNA UWEZEKANO wa mganga wa kienyeji ,majini,mizimu,wachawi,mapepo,shetani ,kuzimu wakasalitiana wao kwa wao na mmoja azuie kazi ya meingine,na wao hawapo ili kumsaidia mwanadamu Hawana URAFIKI wa kweli na mwanadamu.ILA WANAPENDA KUJIFANYA KUIGIZA kudanganaya kuwa ni malaika walikuwa malaika zamani,ila kwa sasa sio malaika tena ni mashetani(wabaya walaaniwa ,wafuasi wa shetani)HATA KAMA UNAONA WANAKUNUFAISHA ,WANAKUNUFAISHA Mwisho wake ni mbaya.Hivi vitu navujua kwa uzoefu kwa kupractice kabisa..mana nilikuwa na mizimu/majini ya uganga na majini mengine nikikuwa nayo,na nilishawahi kwenda kutibiwa kwa waganga wengi wa kienyeji wengi sana sana..nina uzfahamu na ninachokisema ...ndio mana nimekomaa hapa natumia muda wangu mwingi kuelezea hapa kwa sababu sitaki watu wapotee nafahamu hivi vitu kwa vitendo ,MSIDANGANYIKE...msaada pekee wa kuondoa haya majini,mapepo mashetwani kama mnavyoita,mapepo ,uchawi,mizimu na magonjwa ya kipepo n.k NI YESU PEKEE...DAWA NI YESU PEKEE...msidanganyike.