Mtazamo wangu kuhusu majini (mashetani/ mapepo). Uliza swali lolote nitakujibu

Hawa majini wana asili moja tu ya Kiarabu pekee, au wapo waafrika, na Wazungu pia? Je Huko Ulaya, na amerika nako yakpo majini au ni Afrika na Middle east pekee?
MAJINI asili yao ni malaika mbinguni ila waliasi mbinguni wakaadhibiwa na kufukuzwa mbinguni.
Wakapewa na hukumu ya kuchomqa moto katika ziwa la moto waliloandaliwa linaloitwa jehanamu..sema hukumu hiyo itatekelezwa siku ya HUKUMU ikifika future.Wakalaaniwa na wakabadilishwa na majina yao ya ujumla wanaitwa majini kiongozi wao anaitwa shetani zamank akiwa mbinguni alikuwa akiitwa lucifer.
Baada ya kulaaniwa maumbo yao yalabadilika kutoka kuwa malaika mpaka viumbe wa rohoni /roho chafu zinazoitwa majini ..ambazo zinaweza kuchukua sura na maumbo mbali mbali..mnyama ,ndege,binadamu (mzungu wafrika,muasia,mwarabu,mwanamke,mzee,kijana ,mwanaume n.k

MAJINI wapo ulimwengu mzima hata angani wapo mabara yote ya dunia na hata kuzimu.
HAPANA sio kiarabu pekee .
mfano MIZIMU ni majini ya ukoo,majini yalikuwepo afrika na ulimwenguni hata kabla ya kuja kwa waarabu hata kabla waarabu hawajawafundisha watu elimu ya lugha ya kiarabu.
waafrika waliita kqa lugha yao au MIZUMU wazungu waliita demon,evil spirit,ghost
kila sehemu wanayaita kwa lugha yao hata kwa wachina..na wahindi..
Tamaduni nyingine wanayaabudu kama miungu yao.
mfano wanachonga kinyago /sanamu/au mnyama/au jiwe/au mti wanakitambikia hicho kinyago na kukichonjia kafara hicho kinyago../sanamu/jiwe n
k roho ya jini inaingia ndani ya hicho kinyago au sanamu n.k halafu kinaanza kufanya miujiza wakiomba hicho kitu hata wakiomba mvua inanyesha kwa sababu ya nguvu ya jini au mizimu lililondani ya hicho kitu au madhabahu hiyo.
 
Nani alikwambia kwamba shetani jina lake lilikuwa Lucifer?

Na nani alikwambia walifukuzwa huko Mbinguni?

Jehanamu ni wapi na yeye Mungu anaishi wapi?

Wanadamu Duniani tulifikaje hadi tukachangamana na majini hapa duniani? Au sisi binadamu ndio mashetani wenyewe?

Vitabu vinasema tulifukuzwa Eden na Shetani alifukuzwa Mbinguni akatupwa Duniani, Je Eden ndio Mbinguni na kwanini Shetani atupwe duniani, na siyo huko Mars au Jupiter?
 
Nikweli mkuu mimi nina mwaka wa 7 huu napambana kuyafukuza majini mwilini mwangu ila bado yananisumbua

Nimekesha sana kwa waganga, nimekesha sana kwa manabiii nyumba zote za ibada nimeshiriki sana lakini wapi hadi manusura nikufuru utadhani sijaumbwa na Mungu...
Kuna mambo kupata wataalamu wake si sawa na kama mtu kwenda hospitali ambapo utatibiwa tu na daktari yeyote aliyezamu wakati huo, maana yangu ni kwamba si kila mganga,nabii au sheikh ataweza kukusaidia tatizo lako.
 
MAJINI asili yao ni malaika mbinguni ila waliasi mbinguni wakaadhibiwa na kufukuzwa mbinguni.
Wakapewa na hukumu ya kuchomqa moto katika ziwa la moto waliloandaliwa linaloitwa jehanamu..sema hukumu hiyo itatekelezwa siku ya HUKUMU ikifika future.Wakalaaniwa na wakabadilishwa na majina yao ya ujumla wanaitwa majini kiongozi wao anaitwa shetani zamank akiwa mbinguni alikuwa akiitwa lucifer.
Baada ya kulaaniwa maumbo yao yalabadilika kutoka kuwa malaika mpaka viumbe wa rohoni /roho chafu zinazoitwa majini ..ambazo zinaweza kuchukua sura na maumbo mbali mbali..mnyama ,ndege,binadamu (mzungu wafrika,muasia,mwarabu,mwanamke,mzee,kijana ,mwanaume n.k

MAJINI wapo ulimwengu mzima hata angani wapo mabara yote ya dunia na hata kuzimu.
HAPANA sio kiarabu pekee .
mfano MIZIMU ni majini ya ukoo,majini yalikuwepo afrika na ulimwenguni hata kabla ya kuja kwa waarabu hata kabla waarabu hawajawafundisha watu elimu ya lugha ya kiarabu.
waafrika waliita kqa lugha yao au MIZUMU wazungu waliita demon,evil spirit,ghost
kila sehemu wanayaita kwa lugha yao hata kwa wachina..na wahindi..
Tamaduni nyingine wanayaabudu kama miungu yao.
mfano wanachonga kinyago /sanamu/au mnyama/au jiwe/au mti wanakitambikia hicho kinyago na kukichonjia kafara hicho kinyago../sanamu/jiwe n
k roho ya jini inaingia ndani ya hicho kinyago au sanamu n.k halafu kinaanza kufanya miujiza wakiomba hicho kitu hata wakiomba mvua inanyesha kwa sababu ya nguvu ya jini au mizimu lililondani ya hicho kitu au madhabahu hiyo.
Kwanini hao malaika waliyoasi wakaitwa majini?
 
Haya maswali yote yamejibiwa na Elimu ya FALAKI elimu ya maarifa na walimu SHEIKH OMARY MNYESHENI, Sheikh Hussein Mubarak
fuatilia you tube promover tv utaona video clips wakielezea na mwanafunzi wa sheikh omary mnyesheni..
Pia kama unaamini katika BIBLIA nayo imeeleza haya.
Kama huamini biblia basi wasikilize masheikh hao walimu wa FALAKI elimu ya maarifa
 
Nani alikwambia kwamba shetani jina lake lilikuwa Lucifer?

Na nani alikwambia walifukuzwa huko Mbinguni?

Jehanamu ni wapi na yeye Mungu anaishi wapi?

Wanadamu Duniani tulifikaje hadi tukachangamana na majini hapa duniani? Au sisi binadamu ndio mashetani wenyewe?

Vitabu vinasema tulifukuzwa Eden na Shetani alifukuzwa Mbinguni akatupwa Duniani, Je Eden ndio Mbinguni na kwanini Shetani atupwe duniani, na siyo huko Mars au Jupiter?
haya yote yamejibiwa na walimu wa FALAKI elimu ya maarifa sheikh omary mnyesheni na sheikh huseein mubaraka
na mwanafunzi wao AMIEL KATEKELA
PIA kitabu cha BIBLIA kama hiamini katika biblia basi wasikilize masheikh hao walimu wa FALAKI wanapatikana you tube promover tv
 
Haya maswali yote yamejibiwa na Elimu ya FALAKI elimu ya maarifa na walimu SHEIKH OMARY MNYESHENI, Sheikh Hussein Mubarak
fuatilia you tube promover tv utaona video clips wakielezea na mwanafunzi wa sheikh omary mnyesheni..
Pia kama unaamini katika BIBLIA nayo imeeleza haya.
Kama huamini biblia basi wasikilize masheikh hao walimu wa FALAKI elimu ya maarifa
Nimeona unatoa elimu humu na kujibu maswali kuhusu hao viumbe ndio maana na mimi nikauliza humu.
 
Jinn ni viumbe wanaopatikana kwenye uislamu pekee.

Hakuna mahali kwenye maandiko halisi ya bibilia(ambayo hayajatafsiriwa) kumetajwa majini(jinn)

Kusema mashetani na mapepo ni majini sio sahihi mkuu, wanajitegemea wenyewe

Uzi mzuri lakini
Majini ndio hayo hayo mapepo,yanayopatikana makanisani pia,ndio maana hata wahubiri,wachungaji,maaskofu,uyakemea kwa kusema Pepo toka kwa jina la yesu, Kwa hiyo haya mapepo (majini) yako kila mahali,, mhimu we mwamini mungu wako na umtegemee yeye tu.
 
Hakuja majini mazuri mleta mada,
😅😅😅 Na yamesilimu pia
Jinn ni viumbe wanaopatikana kwenye uislamu pekee.

Hakuna mahali kwenye maandiko halisi ya bibilia(ambayo hayajatafsiriwa) kumetajwa majini(jinn)

Kusema mashetani na mapepo ni majini sio sahihi mkuu, wanajitegemea wenyewe

Uzi mzuri lakini
 
KUNA KITU KIKUBWA UNAELEZA HAPA ILA KWA KUWA WEWE SIO MZUNGU HUTAELEWEKA.KUNA WATU WAMESOMA MAVYUO WAO HAWAKUBALI VITU VIPYA.KANA KWAMBA HAWAJUI HATA WANAVYOVIAMINI VILIANZISHWA NA WATU.MFANO RAHISI MTU ATAKWAMBIA JINI NI KITU CHA KUFIKIRIKA,ILA UKIMWAMBIA MUNGU NI KITU CHA KUFIKIRIKA ATAKUBISHIA.NDIO DUNIA YETU LAKINI.
 
Kuna mambo kupata wataalamu wake si sawa na kama mtu kwenda hospitali ambapo utatibiwa tu na daktari yeyote aliyezamu wakati huo, maana yangu ni kwamba si kila mganga,nabii au sheikh ataweza kukusaidia tatizo lako.
Inamaana unataka kusema kuna waganga wengine hawawezi kutoa majini
 
naomba nichangie kwa uzoefu wangu binafsi juu ya waganga wa kienyeji.Mganga wa kienyeji ni binadamu kama wewe na mimi hana nguvu yoyote ya ziada kukuzidi wewe.

Mganga wa kienyeji anatumia nguvu ya majini -majini ni lugha ya kiswahili iliyotoholewa kutoka lugha ya kiarabu(mana kiswahili ni mchanganyiko wa kiarabu na kibantu) kiingereza evil spirit,au demon.INFACT haya majini ndiyo yaliyowafundisha binadamu uchawi,uganga wa kienyeji,maarifa ya sayansi ma telnolojia,silaha za vitab,na maarifa mengi ...na yalizaa na wanawake wa kininadamu yakazakiwa majitu marefu MANEFELI yaliyokuwa na akili sana na makatili sana.
POint yangu-binadamu wote hatutofautiani sana binadamu waliofanya maajabu baadhi yaosaidiwa na haya majini,NA NDICHO WANACHOFANYA wagangabwa kienyeji na wachawi bila msaada wa majini hawawezi chochote ni kama wewe na mimi hapa.

...sasa mganga atatumia majini au mizimu ..ndiyo itamsaidia utambuzi..au wanaitwa pepo wa utambuzi..
SASA yule pepo wa utambuzi/jini au mzimu aliyepo ndani ya mganga wa kienyeji...sifa yake kubwa ana uwezo wa kutambua mambo yako,hivyo atakwambia mambo yako yanayokuhusu kwa usahihi 100% mfano majina yako,kabila unapoishi,mazingira ya nyumbani familia yako kazi yako majirani zako ukoo wako ndugu zako na hata magonjwa yanayokusumbua au tatizo linalokusumbua kwa usahihi na lilianza lini..atakwambia sehemu ulizopita kutafuta msaada kabla ya kwenda kwa huyo mganga,hata kama ulipita kwa waganga wwngine kabla atakwambia sehemu zipi hata kama ulienda kuombewa kanisani au wapi atakwambia kila kitu kichokuhisu kwa usahihi bila ya wewe kumwambia utafikiri anakufahamu au huwa mnakuwa wote hata vitu unavyofanya sirini ukiwa peke yako atakwambia ata mambo uliyoyafanya miaka mingi ya nyuma atakwambia..(HIYO NDIYO SIFA ya pepo wa utambuzi)..na hapa ndipo watu wanapopigwa ...kwa sababu wanajenga imani kuamini kuwa watasaidika ETI kwa vile wameambiwa mambo yao kwa usahihi......SO SAD.!

Usichokijua ni kwamba pamoja na kwamba pepo wa utambuzi amekwambia mambo yako yote kwa usahihi...HANA UWEZO WA KUKUPONYA ,HANA UWEZO WA KUKUSAIDIA HANA UWEZO WA KUMTOA Kumfukuza pepo mwenzake .Mganga wa kienyeji yeyote hana uwezo wa kumtoa pepo kutoka kwa mtu.
Atakachofanya atamuita pepo wako aliyeko ndani yako atamopandisha aje atamuomba atulie asikusumbue watakubaliana na naye pepo litasema linataka vitu gani ili litulie ,au litadanganya litaletewa..hivyo litatulia kwa muda na baadae litabadilisha staili ya kukutesa ugonjwa kama shida ilikuwa miguu ,miguu itatulia litaibukia na shida nyingine,au mganga wa kienyeji anaweza akakuwekea akakuongezea mapepo wengine ambao wataweka maagano na mganga wa kienyeji utaona kama umepona hivi lakini kwa muda fulani utapata nafuu .AU litafanya maigizo litadanganya natoka natoka au litalia NAENDA niachie nisamehe,ila halijaindoka linaigiza bado LIPO.

kiuhalisia tatizo LIKO PALE PALE au ndio litaongezeka kwa sababu anakuongezea mengine.
Pia mganga anaweza kuiba nyota yako,ukienda pale lazima akusome nyota yako akiipenda anakuibia kwa kifupi MGANGA YEYOTE NAYE NI MCHAWI
Waganga wa kienyeji wote ni waongo na wanafanya kazi kwa siri na wanashirikiana na hayo mapepo majini mizimu na kuzimu na shetani mwenyewe na hata wachawi..Mchawi na mganga wa kienyeji wanazungumza wanakubalina .
NDIO MAAANA ukishaanza kwenda kwa waganga wa kienyeji WEWE UTAKUWA NI MTU WA KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA UTAKUWA UNAWAABUDU WAGANGA YANI NDIO TUMAINI LAKO. kwa sababu kuna wakati anakushauri uende kwa mganga mwingine magali oengine kwamba ndio mwwnye uwezo wa kukuponyab,kumbe yule mganga mwingine ni mwenzake wote wanashirikina katika kukuchezea na kukupiga hela.na wewe unaweza ukaona umepona au umepata nafuu,lakini bado una tatizo sema limebadilisha sura limekuja kivingine au limetulia kwa muda.

Mchawi,mganga wa kienyeji,mfuga majini,mizimu,mapepo,shetani ni chama kimoja madhabahu yao ni moja na inaitwa( lucifergerofokare) ambayo mchawi akienda kuwanga anatoa kafara zake hapo ili aweze kuloga kwa kutumia majini,na mganga wa kienyeji naye anatumia madhabahu hiyohiyo ukipeleka kafara alizikuagiza umpelekee au zake pia za kuchinja au sadaka zozote kama pesa inaenda madhabahu hiyohiyo wanaoabudu mizimu kwa matambiko kuchinja,pombe mila za jadi kwa kujua au kutokujua ila nao madhabahu yao ni ileile yote yanaenda katika madhabahu hiyo hiyo,na shetani naye anatumia madhabahu hiyo hiyo .Hivyo hawa wote KIROHO ni kitu kimoja na wanashirikiana lao ni moja (Shetani,majini,wachawi,waganga,mizimu ambayo ni aina ya majini ya ukoo).ILA NI WAONGO WANAMCHEZEA SHERE MWANADAMU(mtu anayeenda kwa mganga wa kienyeji anadanganyika tu,mtu anaye abudu mizimu kwa kuitambukia hata kama qnachanganya na kwenda kanisani yeye kiroho anahesabika ni malibya kuzimu)
HAKUNA UWEZEKANO wa mganga wa kienyeji ,majini,mizimu,wachawi,mapepo,shetani ,kuzimu wakasalitiana wao kwa wao na mmoja azuie kazi ya meingine,na wao hawapo ili kumsaidia mwanadamu Hawana URAFIKI wa kweli na mwanadamu.ILA WANAPENDA KUJIFANYA KUIGIZA kudanganaya kuwa ni malaika walikuwa malaika zamani,ila kwa sasa sio malaika tena ni mashetani(wabaya walaaniwa ,wafuasi wa shetani)HATA KAMA UNAONA WANAKUNUFAISHA ,WANAKUNUFAISHA Mwisho wake ni mbaya.Hivi vitu navujua kwa uzoefu kwa kupractice kabisa..mana nilikuwa na mizimu/majini ya uganga na majini mengine nikikuwa nayo,na nilishawahi kwenda kutibiwa kwa waganga wengi wa kienyeji wengi sana sana..nina uzfahamu na ninachokisema ...ndio mana nimekomaa hapa natumia muda wangu mwingi kuelezea hapa kwa sababu sitaki watu wapotee nafahamu hivi vitu kwa vitendo ,MSIDANGANYIKE...msaada pekee wa kuondoa haya majini,mapepo mashetwani kama mnavyoita,mapepo ,uchawi,mizimu na magonjwa ya kipepo n.k NI YESU PEKEE...DAWA NI YESU PEKEE...msidanganyike.
 
Attachments

  • Screenshot_20241229-180830.jpg
    Screenshot_20241229-180830.jpg
    143.9 KB · Views: 2
Inamaana unataka kusema kuna waganga wengine hawawezi kutoa majini
Ujuzi unatofautiana unakuta anaweza kutoa majini na keshatoa sana watu majini ila akakutana na changamoto zengine za majini ambazo akawa hana ujuzi nayo, tatizo watu tunafikiri kwa sababu mtu ni mganga basi anaweza au anajua kila kitu.
 
naomba nichangie kwa uzoefu wangu binafsi juu ya waganga wa kienyeji.Mganga wa kienyeji ni binadamu kama wewe na mimi hana nguvu yoyote ya ziada kukuzidi wewe.

Mganga wa kienyeji anatumia nguvu ya majini -majini ni lugha ya kiswahili iliyotoholewa kutoka lugha ya kiarabu(mana kiswahili ni mchanganyiko wa kiarabu na kibantu) kiingereza evil spirit,au demon.INFACT haya majini ndiyo yaliyowafundisha binadamu uchawi,uganga wa kienyeji,maarifa ya sayansi ma telnolojia,silaha za vitab,na maarifa mengi ...na yalizaa na wanawake wa kininadamu yakazakiwa majitu marefu MANEFELI yaliyokuwa na akili sana na makatili sana.
POint yangu-binadamu wote hatutofautiani sana binadamu waliofanya maajabu baadhi yaosaidiwa na haya majini,NA NDICHO WANACHOFANYA wagangabwa kienyeji na wachawi bila msaada wa majini hawawezi chochote ni kama wewe na mimi hapa.

...sasa mganga atatumia majini au mizimu ..ndiyo itamsaidia utambuzi..au wanaitwa pepo wa utambuzi..
SASA yule pepo wa utambuzi/jini au mzimu aliyepo ndani ya mganga wa kienyeji...sifa yake kubwa ana uwezo wa kutambua mambo yako,hivyo atakwambia mambo yako yanayokuhusu kwa usahihi 100% mfano majina yako,kabila unapoishi,mazingira ya nyumbani familia yako kazi yako majirani zako ukoo wako ndugu zako na hata magonjwa yanayokusumbua au tatizo linalokusumbua kwa usahihi na lilianza lini..atakwambia sehemu ulizopita kutafuta msaada kabla ya kwenda kwa huyo mganga,hata kama ulipita kwa waganga wwngine kabla atakwambia sehemu zipi hata kama ulienda kuombewa kanisani au wapi atakwambia kila kitu kichokuhisu kwa usahihi bila ya wewe kumwambia utafikiri anakufahamu au huwa mnakuwa wote hata vitu unavyofanya sirini ukiwa peke yako atakwambia ata mambo uliyoyafanya miaka mingi ya nyuma atakwambia..(HIYO NDIYO SIFA ya pepo wa utambuzi)..na hapa ndipo watu wanapopigwa ...kwa sababu wanajenga imani kuamini kuwa watasaidika ETI kwa vile wameambiwa mambo yao kwa usahihi......SO SAD.!

Usichokijua ni kwamba pamoja na kwamba pepo wa utambuzi amekwambia mambo yako yote kwa usahihi...HANA UWEZO WA KUKUPONYA ,HANA UWEZO WA KUKUSAIDIA HANA UWEZO WA KUMTOA Kumfukuza pepo mwenzake .Mganga wa kienyeji yeyote hana uwezo wa kumtoa pepo kutoka kwa mtu.
Atakachofanya atamuita pepo wako aliyeko ndani yako atamopandisha aje atamuomba atulie asikusumbue watakubaliana na naye pepo litasema linataka vitu gani ili litulie ,au litadanganya litaletewa..hivyo litatulia kwa muda na baadae litabadilisha staili ya kukutesa ugonjwa kama shida ilikuwa miguu ,miguu itatulia litaibukia na shida nyingine,au mganga wa kienyeji anaweza akakuwekea akakuongezea mapepo wengine ambao wataweka maagano na mganga wa kienyeji utaona kama umepona hivi lakini kwa muda fulani utapata nafuu .AU litafanya maigizo litadanganya natoka natoka au litalia NAENDA niachie nisamehe,ila halijaindoka linaigiza bado LIPO.

kiuhalisia tatizo LIKO PALE PALE au ndio litaongezeka kwa sababu anakuongezea mengine.
Pia mganga anaweza kuiba nyota yako,ukienda pale lazima akusome nyota yako akiipenda anakuibia kwa kifupi MGANGA YEYOTE NAYE NI MCHAWI
Waganga wa kienyeji wote ni waongo na wanafanya kazi kwa siri na wanashirikiana na hayo mapepo majini mizimu na kuzimu na shetani mwenyewe na hata wachawi..Mchawi na mganga wa kienyeji wanazungumza wanakubalina .
NDIO MAAANA ukishaanza kwenda kwa waganga wa kienyeji WEWE UTAKUWA NI MTU WA KWENDA KWA WAGANGA WA KIENYEJI NA UTAKUWA UNAWAABUDU WAGANGA YANI NDIO TUMAINI LAKO. kwa sababu kuna wakati anakushauri uende kwa mganga mwingine magali oengine kwamba ndio mwwnye uwezo wa kukuponyab,kumbe yule mganga mwingine ni mwenzake wote wanashirikina katika kukuchezea na kukupiga hela.na wewe unaweza ukaona umepona au umepata nafuu,lakini bado una tatizo sema limebadilisha sura limekuja kivingine au limetulia kwa muda.

Mchawi,mganga wa kienyeji,mfuga majini,mizimu,mapepo,shetani ni chama kimoja madhabahu yao ni moja na inaitwa( lucifergerofokare) ambayo mchawi akienda kuwanga anatoa kafara zake hapo ili aweze kuloga kwa kutumia majini,na mganga wa kienyeji naye anatumia madhabahu hiyohiyo ukipeleka kafara alizikuagiza umpelekee au zake pia za kuchinja au sadaka zozote kama pesa inaenda madhabahu hiyohiyo wanaoabudu mizimu kwa matambiko kuchinja,pombe mila za jadi kwa kujua au kutokujua ila nao madhabahu yao ni ileile yote yanaenda katika madhabahu hiyo hiyo,na shetani naye anatumia madhabahu hiyo hiyo .Hivyo hawa wote KIROHO ni kitu kimoja na wanashirikiana lao ni moja (Shetani,majini,wachawi,waganga,mizimu ambayo ni aina ya majini ya ukoo).ILA NI WAONGO WANAMCHEZEA SHERE MWANADAMU(mtu anayeenda kwa mganga wa kienyeji anadanganyika tu,mtu anaye abudu mizimu kwa kuitambukia hata kama qnachanganya na kwenda kanisani yeye kiroho anahesabika ni malibya kuzimu)
HAKUNA UWEZEKANO wa mganga wa kienyeji ,majini,mizimu,wachawi,mapepo,shetani ,kuzimu wakasalitiana wao kwa wao na mmoja azuie kazi ya meingine,na wao hawapo ili kumsaidia mwanadamu Hawana URAFIKI wa kweli na mwanadamu.ILA WANAPENDA KUJIFANYA KUIGIZA kudanganaya kuwa ni malaika walikuwa malaika zamani,ila kwa sasa sio malaika tena ni mashetani(wabaya walaaniwa ,wafuasi wa shetani)HATA KAMA UNAONA WANAKUNUFAISHA ,WANAKUNUFAISHA Mwisho wake ni mbaya.Hivi vitu navujua kwa uzoefu kwa kupractice kabisa..mana nilikuwa na mizimu ya uganga ...ndio mana nimekomaa hapa natumia muda wangu mwingi kuelezea hapa kwa sababu sitaki watu wapotee nafahamu hivi vitu kwa vitendo ,MSIDANGANYIKE...msaada pekee wa kuondoa haya majini,mapepo mashetwani kama mnavyoita,mapepo ,uchawi,mizimu na magonjwa ya kipepo n.k NI YESU PEKEE...DAWA NI YESU PEKEE...msidanganyike.
Dawa ni Yesu ila sioni watu kutoana hayo mapepo wenyewe bila kwenda makanisani kwa wachungaji na manabii?
 
Je kuna tiba ya uhakika kwa mtu anaesumbuliwa na mapepo, majini au mashetani? Yaale ya kupandisha kabisa na mtu kuwa kama chizi. Mtu wangu anateseka na haya mambo.
 
Kama anayo ushauri ni kulamba ndimu au kutumia mchanganyiko wa juisi ya ndimu, asali na sukari guru

Kila siku anatumia kijiko kimoja asubuhi mchana na jioni mpaka pale atakapoona inafaa hiyo ni kama diet tu

Pia anaweza kupaka mafuta ya mzaitiuni mara moja moja
Mkuu nimejaribu kutafuta sukari guru nimekosa, vp nikitumia mchanganyiko wa ndimu na Asali pekeake haiwezi kusaidia pia Kama unajua inapopatikana sukari guru nielekeze hata kwa kuni pm
 
Sukari guru zipo kwenye maduka ya dawa asili au yale ya kisuna yanakuwaga karibu na misikiti

Hata hivyo unatumia tu ila katafute na sukari guru
 
Back
Top Bottom