Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

Eti jeshi lifanye nini?, Ujue kwa nchi kama za hivi ni ngumu sana,, unapewa ukubwa kumbe pembeni kuna kichomi, ukijichanganya tu ndo utajua hujui,,
Kila mtu anamlinda mtu

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndiyo umemaliza mkuu.
Kongole sana kwa andiko murua.
Kunya anye kuku,akinya bata kaharisha.
 
Madini tupu haya ndugu denooJ .
Kongole sana.
Mungu akubariki.
Sina cha kuongeza zaidi ya kusema "kuwe na uwanja sawa wa kushindana".
 
Ndugu wa Marehemu gombaneni tu sisi kazi yetu kukoleza kuni moto uwake vizuri
 
Waache waoneshane makali ili hata wakifanikiwa kulimaliza hili salama (kama watalimaliza salama), waweze kuheshimiana.
 
Mtu mzima bado hekima unayoz Kuna posts ukiziona unajiuliza huu unafiki wa watu taifa litaendelea kweli??? Mambo ya Kenya yanakuja kwetu, ajabu sana
 
Now you are back.
We missed you bro.

Hoja hii makini sana.

Samia ameshatishwa na tetesi zinazoenea kwa kasi hivyo ameona wacha aoneshe makali kidogo..
makali ni kufukuza fungua mastaka ya uhujumu uchumi matepeli hayo ..
 
Tuige majirani zetu Kenya, mpaka naibu rais Ruto alionesha mapema kuutaka urais na kupishana na boss wake kwa kuwa ana mwelekeo mwingine. Hata wakenya wengine pia walionesha mapema mwelekeo wao wa uchaguzi ujao. Isiwe dhambi pale ambapo mtu ana haki ya kugombea na akaonesha nia mapema aidha ya yeye mwenyewe kugombea ama kumuunga mtu mwingine aliye na nia ya kugombea. Mbaya ni uvunjaji wa sheria.
 
Hivi hao wabunge wa hilo lichama wanaweza kupiga kura ya kutokuwa na Imani na huyo rais wao.na mwenyekiti wa.hilo lichama ?.Kwa jinsi walivyo hilo.ni siyo rahisi. Maana walio wengi wanaweka maslahi yao mbele kwanza kuliko.kitu chochote.
 
😁😂🤣
 
Mkuu kwa muktadha huo huo, tuambir ni lini SITTA aliropoka nje ya BUNGE hayo mashudu??
 
Eti kupiga umbea[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3590]siasa ngumu aiseee
 
Mama kazid kuwananga wanaume acha na wao wajibu mapigo
 
Hapo ndipo msemo wa mhimili wa utawala umezama zaidi unatimia na uhitaji wa katiba mpya unadhihirika.
 
Hizi akili huwa mnazitoa wapi za kutaka jeshi lichukue nchi???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…