Ile ilikuwa kazi wale wenyeviti wa CCM mikoa waliyopewa kumpinga Ndugai ndio maana jana wakaitwa ikulu kupongezwa kwa "kazi nzuri" waliyoifanya.
Hapo ukiangalia vizuri utaona Samia binafsi ameshaanza kujipanga kwa 2025, ila hataki wengine wajipange, akiulizwa anakimbilia najenga nchi, huu ni uongo, anacheza na akili za wajinga.
Wamechezea rasilimali za taifa kuwapa wazungu bure leo wanaona sifa kukopa, na kuna kundi kubwa la wajinga wameagizwa toka mikoani kuja Dsm kushangilia, hizi akili ndogo zimeigeuza ikulu yetu kijiwe cha kupiga umbea na kuimba mipasho.
Sasa nawashauri wote waanze kujipanga kwa 2025 hii nchi haina haja ya kuwa na Rais wala Spika, inaweza kujiendea tu, kila siku tunalia umasikini, hakuna maji safi na salama wakati hawa miaka yote wapo tu hawajui wanachofanya, bora wapigane niangalie vita yao.