Mtego Aliojitegea Rais Samia, nani atauvunjilia?

Mkuu! Kwani hukuona Asad alivyoitwa majina mazuri mazuri kwa ujumbe wake ule?

Sasa kwanini huu wa Ndugai tunaupiga teke?
Inategemea na haiba ya mtu, kama una undava undava watu hawatakutetea.
 
Huwezi kusema unachukia nyama ya nguruwe lakini ukinadi utamu wa supu yake.
Hata Yesu aliwambia watu wake kama hawamwamini yeye basi waamini ujumbe wake.

Tunaweza kuwa na chuki kwa Ndugai ila vipi ujumbe wake?
 
After all

Spika was right.

Kama tuliambiwa tozo ni kwaajili madarasa mkopo wa nini?

Na huenda walishinikizwa kupitisha tozo.

Anyway

Wapigane tu huko, sisi wasituathiri kiuchumi.
 
Hata Yesu aliwambia watu wake kama hawamwamini yeye basi waamini ujumbe wake.

Tunaweza kuwa na chuki kwa Ndugai ila vipi ujumbe wake?
ujumbe wa Assad uliaminiwa? yeye je? Ni wakati awajibike sasa kama alikuwa sure na alichokisema, why excuse ya nilinukuliwa vibaya, huku akiusifia mkopo kwa kujenga madarasa? hii inaonesha issue sio mkopo kuna hidden agenda.
 
Kafanya vile baada ya kuona aliojaribu kuwatetea ni wapumbavu!

Badala ya waungane nae wao wameishia kumshambulia.
 
Kafanya vile baada ya kuona aliojaribu kuwatetea ni wapumbavu!

Badala ya waungane nae wao wameishia kumshambulia.
Sasa ngoja atubu kwa alilolifanya, hiyo ndio price yake Mkuu ni sasa sijui tuiite calculated error?
 
Nadhani watu wanamiss kwanini Ndugai kaomba msamaha...si kwa sababu alikosea
wapinzani walivyokua wanabananishwa na system mliechekelea sana nyie push gang.

leo member wenu wa push gang ameingia kwenye 18 za watu wa system unasema eti samia amejitega 😂
 
wapinzani walivyokua wanabananishwa na system mliechekelea sana nyie push gang.

leo member wenu wa push gang ameingia kwenye 18 za watu wa system unasema eti samia amejitega [emoji23]
Ndugai kabananishwa wapi?

Ile ni panic tu ya Hangaya baada ya kuchomwa na ujumbe wa Job
 
mwanakijiji acha unafiki....yeye ndugai kamsema rais kwenye public tena huko kwao kijijini bila aibu..tena kwa kupayuka mno...kwani alishindwaje kuongea na rais kiofisi???kama ilivyontaratibu zenu maccm.....mama Samia kafanya vema nae kumjibu ndugai in public....alitaka kuharibu image ya rais in public...wacha na yeye asutwe in public.....
 
Mungu anapoamua kuteketeza kundi fulani ni vigumu wanadamu kuokoa , huu ndio mwanzo wa Tanzania mpya
 
hahah mataga pori mmepoteana *****.

mpaka sasa push gang mmeshatawanywa.
Pambaf
Push gang ni kina nani na wametawanywa vipi?

Mimi nilifikiri badala ya kuhangaika na mambo ya ccm ungejikita kuhangaika na mambo ya gaidi wenu!

Hao push gang unaofikiri wametawanywa, 2025 wataungana kuwapelekea moto alafu mtarudi tena humu kulalama!

Sijui huwa hamjifunzi.
 
Hapo ndio namuona Polepole kidume,hii ni mihimili miwili tofauti,Spika Hapangingwi(Sauti ya Ruto), kule Kenya mhimili wa Mahakama umemvibia Uhuru mara kadhaa, tuangalie katiba yetu inasemaje kuhusu mgawanyo wa madaraka kwa mihimili yetu mikuu 3 yaani Bunge,Serikali na Mahakama, mnaoshangilia leo ya Ndugai tusije tukalaumu yajayo kwenye mahakama. Raisi hayuko juu ya sheria.
 
hahah push gang umepanic hadi umebadili mada 😂
 
Mungu anapoamua kuteketeza kundi fulani ni vigumu wanadamu kuokoa , huu ndio mwanzo wa Tanzania mpya
Hakuna kitu kama hicho mnanishangaza kumshangilia mama na kumlaumu Ndugai kisa kuwaruhusu wabunge mliowafukuza kuwa bungeni mnasahau kuwa hao hao mnaowashangilia ndio hao hao mnaowalalamikia Katiba, na ndio waliomsweka ndani gaidi.Bure kabisa nyie watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…