Ushabiki muhimu sanaTukianza kushinda hatutaki kelele tena
Haitusumbui mkuuVipigo vinarejea hivi punde acha Makolo wafurahi Kwa kifurushi cha muda mfupi
Tefa ametumia mbeleko zote leo bahasha fc imeshindikana!Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa
Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa
Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k
Haya yote yametokea ligi ikiwa inaanza.Tukianza kushinda hatutaki kelele tena
Haya sawaAaah sisi amani tu
Kikubwa mtego wetu umenasa makolo na wachambuzi wao
Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa