Mtego umewanasa, Yanga tukianza kushinda hatutaki visingizio

Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa

Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa

Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k

Haya yote yametokea ligi ikiwa inaanza.Tukianza kushinda hatutaki kelele tena
Yanga bila bahasha ni kichapo tu
 
Umesahau kwamba unayeshindana nae yupo juu kabisa kwa point moja. Na yeye akiendeleza vipigo unadhani mwisho wa msimu kitatokea nini?
Hatuna mashindano
Muda utaongea
Yanga bingwa
 
Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa

Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa

Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k

Haya yote yametokea ligi ikiwa inaanza.Tukianza kushinda hatutaki kelele tena
Hata jana mlijaribu kubebwa kwa kupewa faul za ajabu, hata penat mliyopata ulikuwa ya ajabu, mkaongezewa dakika 8 halafu unakanusha hizo tuhuma.

We vipi kijana?
 
Back
Top Bottom