Mtego umewanasa, Yanga tukianza kushinda hatutaki visingizio

Mechi zote mbili mmefungwa na timu ambazo hazina udhamini wa GSM kwa hiyo hoja iko pale pale.

Tena sana sana hoja imepata uzito zaidi kwa kuona kumbe mnafungika kirahisi mkicheza na timu ambazo hamna vinasaba nazo.
 
Mechi zote mbili mmefungwa na timu ambazo hazina udhamini wa GSM kwa hiyo hoja iko pale pale.
5imba tulio ifunga mara nne mfululizo, inadhaminiwa na GSM ya wapi.
Yanga bingwa
 
Tubaki kwenye hoja mzee wa masindano. Msimu huu mmefungwa mechi mbili na zote mmefungwa na timu ambazo hazina udhamini wa GSM halafu kwa wenge ulilonalo unakuja kusema eti hoja ya udhamini wa GSM kwa timu 8 imekufa. How? Which?
 
5imba inadhaminiwa na GSM ya wapi?
Mbona kafungwa vizuri tu
 
Manara saivi anachekea chooni 😬😬😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…