Yanga bila bahasha ni kichapo tuVisingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa
Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa
Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k
Haya yote yametokea ligi ikiwa inaanza.Tukianza kushinda hatutaki kelele tena
SawaHatuna mashindano
Muda utaongea
Yanga bingwa
Hata jana mlijaribu kubebwa kwa kupewa faul za ajabu, hata penat mliyopata ulikuwa ya ajabu, mkaongezewa dakika 8 halafu unakanusha hizo tuhuma.Visingizio vilizidi, naamini Sasa Kwa huu mtego tulioutega wabaya wamenasa
Lawama za GSM anadhamini timu nyingi, Yanga ananunua mechi, Kujidunga shindano, Kuhonga marefa
Sasa mmeona wenyewe Yanga tunafungwa mara mbili mfululizo. Tumepewa kasi zimetugharimu Majeraha n.k
Haya yote yametokea ligi ikiwa inaanza.Tukianza kushinda hatutaki kelele tena
Pamoja na kukosa lakini haiondoi ukweli kuwa mlizawadiwa penati ya bure!Bora tu hata hiyo penati alikosa kwani maneno yangekuwa mengi sana na walishaanza kusema uzuri Aziz K alikosa.
Kwan unadhani aliewaita utopwinyo alikosea????Hakuna timu duniani inaweza kuweka mtego wa kijinga la huu wa kuruhusu kupoteza mechi,Sasa kama ni mtego kwanini wanafanya vikao vya dharura baada ya kufungwa.
Ukweli ndo upi?Hajafungiwa acha uwongo