mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi.
Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku.
Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live bandani,usiku tunawasha switch asibuhi tunsuz8ma.
Leo alfajiri nikasikia kelele toka bandani sauti ya kulia mamaaaaaa,kwenda namkuta mtoto wa jirani amegaragara chini kwa kupigwa shoti .
Majirani wakawahi eneo la tukio kucheki ni mtoto wa jirani
Nikawahi kuzima switch nikawaambia nimetega dawa za kienyeji.