Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

Nimecheka sana
Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi.

Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku.

Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live bandani,usiku tunawasha switch asibuhi tunsuz8ma.

Leo alfajiri nikasikia kelele toka bandani sauti ya kulia mamaaaaaa,kwenda namkuta mtoto wa jirani amegaragara chini kwa kupigwa shoti .

Majirani wakawahi eneo la tukio kucheki ni mtoto wa jirani

Nikawahi kuzima switch nikawaambia nimetega dawa za kienyeji.
 
Sasa hapo ung'ang'anie kuwa umeweka dawa za asili kulinda Kuku wako.

Na Jirani uwape pole ikibidi uwape hata msimbaze ya supu ka Mgonjwa/mhanga.... na ujifanye unasikitika sana yeye kupatwa na hilo janga huku kimoyomoyo unajisemea "za Mwizi arobaidi kudadadeki".

Na hatorudi tena hapo.
Msimbazi ya nini? Hapo atishie na kumpeleka mahakamani. Mtaani usilegee, watu watakupanda kichwani.
 
Hakuna haja kuwekeana bifu zisizo sababu na jirani.

Kwa kuwa ndio kwanza ametambua tatizo basi aitafute amani at least kwa huu mwanzo...sasa ikitokea tena basi ndio iwe ka mbwai mbwai.
 
Hapana, siyo bifu. Wanatakiwa wajue huna utani toka mwanzo. Hatakiwi kuonyesha, wao ndiyo wanatakiwa kwenda kumuomba msamaha.
 
Back
Top Bottom