[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaah!!!Hiyo ndiyo yenyewe sasa akawasimulie na wenzake.
Leo iwashe saa moja jioni.
Kausha tuuu tena waambie waombe msamaha ndani ya siku 14 vingenvyo mtoto wao atabweka ka mbwa.Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi.
Ndipo rafiki yangu akanishauri kitu kuwa tuweke umeme live kwenye vitasa vya mabanda ya kuku.
Japo hairuhusiwi nilikubaliana nae tukaunga imeme live bandani,usiku tunawasha switch asibuhi tunsuz8ma.
Leo alfajiri nikasikia kelele toka bandani sauti ya kulia mamaaaaaa,kwenda namkuta mtoto wa jirani amegaragara chini kwa kupigwa shoti ya three phase.
Majirani wakawahi eneo la tukio kucheki ni mtoto wa jirani
Nikawahi kuzima switch nikawaambia nimetega dawa za kienyeji.
hapa ndipo napoona hii ni chaikwa kupigwa shoti ya three phase.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nimecheka jamaniKausha tuuu tena waambie waombe msamaha ndani ya siku 14 vingenvyo mtoto wao atabweka ka mbwa.
Hiyo ndiyo yenyewe sasa akawasimulie na wenzake.
Leo iwashe saa moja jioni.
? Piga spana tu mwizi sio rafiki yako.Mwaka huu pekee nimeibiwa mara tatu,walengwa ni kuku wangu maana nina uzio wa michongoma hivyo vibaka huongia ndani ya uzio kirahisi.