Mtego wa wizi umemnasa mtoto wa jirani yangu je nitaishi kwa amani mtaani?

Nimecheka sana
 
Nimecheka sana
 
Msimbazi ya nini? Hapo atishie na kumpeleka mahakamani. Mtaani usilegee, watu watakupanda kichwani.
 
Hakuna haja kuwekeana bifu zisizo sababu na jirani.

Kwa kuwa ndio kwanza ametambua tatizo basi aitafute amani at least kwa huu mwanzo...sasa ikitokea tena basi ndio iwe ka mbwai mbwai.
 
Hapana, siyo bifu. Wanatakiwa wajue huna utani toka mwanzo. Hatakiwi kuonyesha, wao ndiyo wanatakiwa kwenda kumuomba msamaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…