johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbunge Andrew Chenge amesema Corona ni janga hatari kijamii na kiuchumi na kwamba hata hii bajeti wanayoipitisha sasa lazima watakuja kuifumua baadae ili kuendana na hali halisi baada ya Corona.
Chenge amesema hayo wakati akichangia makadirio ya wizara ya maji.
Chanzo: ITV habari!
My take; Sasa kama watakuja kuifumua wanaipitisha ya nini?!
Chenge amesema hayo wakati akichangia makadirio ya wizara ya maji.
Chanzo: ITV habari!
My take; Sasa kama watakuja kuifumua wanaipitisha ya nini?!