astrologist
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 221
- 268
Poleni sana mkuu!Yap. Alikuwa ni mkimya sana. Imeuma sana ndugu na marafiki lakini hakuna namna. Hata kwenda pale kwao imekuwa ni mtihani sana!!
Ndivyo maisha yalivyo.Poleni sana mkuu!
Nimeiona mkuu....... hali ni tete!johnthebaptist umeiona video ya Albert Msando iliyowekwa na chipa GM ??
HujijuiMaana yake amewambia vilaza wa ccm kwamba hicho wanachofanya ccm Bungeni ni upuuzi na ufujaji wa pesa za watanzania Ila budget hapo hamna
Kwanini wapoteze muda na kulipana posho ili kujadili kitu ambacho hakiendani na wakati tuliopo?Huyu mzee kashaona mbali kabisa bajeti haiendani kabisa na wakati tulionana Sasa wa majanga ya magonjwa ya mlipuko
Sent using Jamii Forums mobile app
Chenge ni msomi wa Harvard,pale bungeni alikuwa anaelewa na Lissu tu inapokuja kwenye issue za kisheria,Muulize mama Makinda,she knows all, By the way umewahi kumsikia mtemi akiihangaika na siasa za kipuuzi za ccm au kunanga wapinzani? Mtemi yupo level ya juu sana kuliko mwenyekiti wako.Mtemi huongea Mara chache sana na kwa maneno machache sana hasa kwenye sensitive issues.mtu wa level yako kumuuelewa inahitaji muda wa kutoshaHujijui
Mfano wako ni mzuri sana umewahi kuona mtemi chenge akipinga pinga kila kitu akikaidi amri zozote iwe ya mahakama au polisi zaidi ya kuishauri serikali yake? Ndio ujue mtemi chenge ni msomi mstaarabu na mwenye akili kuliko mwenyekiti wakoChenge ni msomi wa Harvard,pale bungeni alikuwa anaelewa na Lissu?By the way umewahi kumsikia mtemi akiihangaika na siasa za kipuuzi za ccm au kunanga wapinzani? Mtemi level ya juu sana kuliko mwenyekiti wako.Mtemi huongea Mara chache sana na kwa maneno machache sana hasa kwenye sensitive issue.mtu wa level yako kumuuelewa inahitaji muda wa kutosha
Hivi sasa kule Bungeni kushauri ni kazi ya CCM maana wao ndiyo wanaoongoza serikali. Ila kukosoa ndiyo kazi ya CHADEMA maana mipango inayoletwa Bungeni ni ya CCM na wala si ya CHADEMA!!Mfano wako ni mzuri sana umewahi kuona mtemi chenge akipinga pinga kila kitu akikaidi amri zozote iwe ya mahakama au polisi zaidi ya kuishauri serikali yake?
Mkuu unadhani shida ni kupinga au kukubali kila kitu? Shida ni uwezo mdogo sana wa wenye madaraka na mtemi analijua hilo ndo maana hahangaingiki nao.mfano si umeona amewashauri vilaza kuwa wanapoteza muda kupitisha budget fake,mtemi anajua hawataelewa Leo Wala kesho bali wataendelea na budget zao Kama zilivyo na hutamsikia mtemi akiongelea tena Jambo hilo.ukiacha ya mtemi.Mkuu watu wenye uwezo na wanaojiaminj wanajua kuwa mtu akikupinga kwenye Jambo lako maana yake anakuambia angalia tena Kama hicho unachotaka kukifanya Kama kipo sahihi,So wenye akili wote wakipingwa hawakegeli ,kuteka Wala kuchukua bunduki Kama tunavyofanya sisi bali kwanza wanareview kile wanachotaka kukifanya kujiridhisha Kama kipo sahihi,wakisha jiridhisha watatoka hadharani kuwashawishi wale wanaowapinga.Only incompetent individuals ndo huwaona wanaowapinga ni maadui zao.Mfano wako ni mzuri sana umewahi kuona mtemi chenge akipinga pinga kila kitu akikaidi amri zozote iwe ya mahakama au polisi zaidi ya kuishauri serikali yake? Ndio ujue mtemi chenge ni msomi mstaarabu na mwenye akili kuliko mwenyekiti wako
Salute kwako! Umeandika nondo!Mkuu unadhani shida ni kupinga au kukubali kila kitu? Shida ni uwezo mdogo sana wa wenye madaraka na mtemi analijua hilo ndo maana hahangaingiki nao.mfano si umeona amewashauri vilaza kuwa wanapoteza muda kupitisha budget fake,mtemi anajua hawataelewa Leo Wala kesho bali wataendelea na budget zao Kama zilivyo na hutamsikia mtemi akiongelea tena Jambo hilo.ukiacha ya mtemi.Mkuu watu wenye uwezo na wanaojiaminj wanajua kuwa mtu akikupinga kwenye Jambo lako maana yake anakuambia angalia tena Kama hicho unachotaka kukifanya Kama kipo sahihi,So wenye akili wote wakipingwa hawakegeli ,kuteka Wala kuchukua bunduki Kama tunavyofanya sisi bali kwanza wanareview kile wanachotaka kukifanya kujiridhisha Kama kipo sahihi,wakisha jiridhisha watatoka hadharani kuwashawishi wale wanaowapinga.Only incompetent individuals ndo huwaona wanaowapinga ni maadui zao.
Bajeti sio biblia, most budgets are subject to review, projectory budgets, toa pendekezo la namna bora ya kuifanya budget hii ili i accommodate hio hofuMbunge Andrew Chenge amesema Corona ni janga hatari kijamii na kiuchumi na kwamba hata hii bajeti wanayoipitisha sasa lazima watakuja kuifumua baadae ili kuendana na hali halisi baada ya Corona.
Chenge amesema hayo wakati akichangia makadirio ya wizara ya maji.
Chanzo: ITV habari!
My take; Sasa kama watakuja kuifumua wanaipitisha ya nini?!
mbona hujamalizia mkuu, mwisho wa siku unaenda kusaini posho yako safiiii..ukiondoka unaenda kujopoza na bia na nyama chomaWanaokubali waseme 'NDIYOO!'; wasiokibali waseme 'SIYOO!'
Waliosema NDIYO wameshinda, kikao kiendelee kupitisha chapchap bajeti.
The untouchable...the rumble in jungle, or king of the scarist jungle, the expendable, the man of hot and big deals ...the moneyman, rambo,Mzee wa Gamboshi
Mbona umekaririshwa vibaya sio kila kitu chadema ikosoe sababu wanajiita wapinzani mbona unafeli? Kukariri kupinga pinga matokeo yake wanapinga Vita dhidi ya Corona kama tunavyoona Sasa!Hivi sasa kule Bungeni kushauri ni kazi ya CCM maana wao ndiyo wanaoongoza serikali. Ila kukosoa ndiyo kazi ya CHADEMA maana mipango inayoletwa Bungeni ni ya CCM na wala si ya CHADEMA!!
Mbona mantiki ndogo tu hii mnashindwa kuielewa? Au mpaka Polepole aje na magazijuto yake uchwara ndiyo muelewe??