Mtemi Chenge: Corona ni tatizo kubwa, hii bajeti tunayoipitisha sasa lazima tutakuja kuifumua huko mbele

Mtemi Chenge: Corona ni tatizo kubwa, hii bajeti tunayoipitisha sasa lazima tutakuja kuifumua huko mbele

Chenge pamoja na mapunfufu yake ya upigaji dili enzi zake ( haijawahi kuthibitishwa na mahakama) ana busara... ni kati ya watu ndani ya CCM wanaotumia akili zao na si za kushikiwa.....
 
The untouchable...the rumble in jungle, or king of the scarist jungle, the expendable, the man of hot and big deals ...the moneyman, rambo,

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfumo ndiyo uliruhusu kufanya aliyoyafanya.....sasa watu wakakurupuka eti wamshitaki --- hata uanachama watawafuta wengine..hii mashine hadi itakapochoka yenyewe ubunge.
 
Back
Top Bottom