the biggest loss tuliyonayo waafrika ni kupoteza historia zetu, wengi wetu hatujui vizazi vyetu zaid ya cha pili ukijitahid sana cha tatu!!!
pili historia pekee tunazofundishwa ni kuanzia ukolon kuja mbele uhuru na sasa nyuma kabla ya ukolon historia hiyo imefutwa kabisa hii ni mbaya sana!!!
we need to know the story of our heroes!!!
Hata mimi nilikisoma hiki kitanu kwenye primary kinaitwa MWANAMALUNDI:MTU MAARUFU KATIKA HISTORIA YA WASUKUMA. Ajabu hivi vitabu vyenye historia zetu havichapishwi tena. Mitaani kuna vitabu vya mapenzi, jinsiya kupata hela haraka na hata stori za kina Obama na Osama.kulikuwa na kitabu nakumbuka primary tulikisoma ila hakikuwa kwenye syllabus, ilikuwa ni hadithi tu, sasa historia kamili ya huyu jamaa sijaisikia, nadhani hata hao watu mwanza hawaifahamu kisawasawa kama wahehe na mkwawa
Mwamalundi alikuwa mtu pekee kabisa, na kama hakuna taarifa zake katika maandishi basi hilo litakuwa ni moja Kati ya makosa makubwa ambayo kama nchi tumewahi kufanya.
Nitakipatajw hicho kitabu??
Mkuu nitolee photocopy, kama utakuwa Dar nielekeze ulipo nije nichukue tafadhali! Kutoa ni moyo.
amina nikiwa dar ntakuelekeza nilipo uje utoe kopi vya kale haviozi
Nilikisoma nikiwa shule ya msingi, ni maajabu sana. Mwanamalundi, mtu maarufu katika historia ya Usukuma. Hivi Mwanamalundi ali-exist kweli Usukumani ama ni hadithi za kutunga tu. Nifafanulieni tafadhali
Nilikisoma nikiwa shule ya msingi, ni maajabu sana. Mwanamalundi, mtu maarufu katika historia ya Usukuma. Hivi Mwanamalundi ali-exist kweli Usukumani ama ni hadithi za kutunga tu. Nifafanulieni tafadhali
nimekisoma tena jana ila ni hadithi tu sema meaneo yalitajwa katika kitabu hicho ni ya kweli,hadithi hii ilikuwa nzuri na ya kutisha enzi hizo