Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Natamani sana tuanze kuendeleza teknolojia hizi za mababu, huenda tungeendelea. Elimu za kimagharibu ni bomu lingine hatari kwa maendeleo ya Afrika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado mkuu, nadhani pale mwanza mkabala na benki kuu kuna duka la wakatoliki i.e. Catholic Book Store, kinaweza kuwepo. Itabidi nifunge safari kwenda mwanza kukitafuta hiki kitabu.Mkuu ushapata kitabu? Hata mimi nakihitaji
Ntawaagizia walioko hukoBado mkuu, nadhani pale mwanza mkabala na benki kuu kuna duka la wakatoliki i.e. Catholic Book Store, kinaweza kuwepo. Itabidi nifunge safari kwenda mwanza kukitafuta hiki kitabu.
Na nyie nao mjipange hachen kumlinganisha mchawi na YESU
Yesu naye ni mwanga tu, au kwa vile kasifiwa na wayahudi?!! Enzi za maisha yake alikuwa anaonekana mchawi na muasi tu!
hii ni kiswahili cha googleWanajamii Forum; picha hapo chini ni mti aina ya mkurunguunaodaiwa kuwa ulikauka miaka kadhaa iliopita baada ya magician with supernatural powers kupita katika kataiitwayo Usule hukooo .kama unaelekea kusini mashariki mwa Shinyanga vijijini . alifikia kwa chief nakufuata taratibu zote za kiitifaki naanga yote ilitanda askari wa kutungua roketi, mabomu ya ardhini, silaha za nyuklia na kuthibiti dhahama ya aina yeyote ilewananzengona kama kawaida ya kabila langu la .. (ntuhu tabu, mawitogwa duhu koi hagalikoya ) walimwangusha ngondi lakini kuni za kuchomea zilikosekana baadawanawake kuzuiwa kuzurura hovyo kwenye maeneo ya ugeni . Hivyo mgeni rasmi alitoa tamkowenyeji waondoe hofu kwani kuni zipo,alitakiwa kutoa kuni mara aliamka na kulisota kidole mti wa mkurungu uliokuwajirani. Ulikauka palepale na kuni zikapatikana.
Rushia like hapa! nitaendeleaambaye yupo karibu na library ya shytown atupe details za huyu mtualikozikwa maana naskia ukigusa kaburi lake unapata super natural power kamayeye.
Kwa sasa nipo Njombena punde nitawaletea kuhusu nyumba nitufrom Mlevela.
Sasa kama mtu akigusa kaburi lake anakuwa na super natural power si kila mtu mpk sasa angekuwa keshagusa
hii ni kiswahili cha google
kuna kitabu kuhusu historia ya Ng'wana malundi nilikisoma long time. Kinaelezea mambo yake huyu jamaa aliwatesa sana wajerumani walimsafirisha hadi ng'wani (pwani) lkn walimrudisha sababu ya viroja na wakati anaondoka alimwacchia mama yake maziwa na kumwambia kuwa maziwa yakiganda wajue kuwa amekufa na hayakuganda kwa muda wa mwaka na nusu. Nafkiri historia ya extra ordinary people ktk afrika ilipotoshwa na wazungu hasa wabritish kwa makusudi ili kujenga jamii ya inferior africans, hata historia ya Kinjekitile na uwezo wake wa ajabu hasa kufuga wanyama wa aina zote na habari za vita vya maji maji imepotoshwa sana. Mungu akinisaidia napenda sana niandike kitabu kuhusu ''pre-colonial tanganyika mighty men and women''ni mengi ya msingi yapo. Anyway hicho kitabu cha ng'wana malundi kipo nyumbani kwa dingi yangu nikienda ntajaribu kumuomba atleast nikiscan nikiweke huku coz he's very strict about his books. As historian kuna mengi nimeona na kusikia kuhusu jamii yetu ambayo vizazi vyetu vinahitaji kusikia
Wangesema mtu akigusa anapata nguvu za kiume ungeona msururu..
Ni kweli mkuu ulichokisema hata mimi hicho kitabu nilikisoma miaka ya mwanzo ya tisini na kama ulivyoelekeza akienda Bujora lazima atakipata.
Hata hivyo usukumani kuna simulizi za watu wengi sana zaidi ya Ng'wanaMalundi. Kuna simulizi za watu wengine kama Ng'wanagasasala, Samike, na kuna mwingine nimemsahau jina alikuwa na uwezo wa kuruhusu mwili wake ujae na kufiti chumba, kuna simulizi zingine za visima kuwa na uwezo wa kumeza watu na kuwatoa baada ya siku kadhaa wakiwa hai, simulizi za maajabu ni nyingi sana.