Mtemi Ng'wanamalundi (Mwanamalundi) - Yesu wa Afrika?

Natafuta kitabu cha historia ya Mwanamalundi mwenye nacho aniuzie au anipe nitoe nakala moja Photocopy. Anitext kwenye namba 0789641118.
 
Pale kijijin kwetu shy kuna sehemu wanasema alipita. kwahiyo kaacha alama za miguu na makalio kwwnye mawe ukienda unayakuta.

Asee..alikua mfalme,chifu au nani..napendakujua zaidi....habari zake huyu mtu
 
the biggest loss tuliyonayo waafrika ni kupoteza historia zetu, wengi wetu hatujui vizazi vyetu zaid ya cha pili ukijitahid sana cha tatu!!!
pili historia pekee tunazofundishwa ni kuanzia ukolon kuja mbele uhuru na sasa nyuma kabla ya ukolon historia hiyo imefutwa kabisa hii ni mbaya sana!!!
we need to know the story of our heroes!!!
 
aloo, huyu jamaa kweli alikua kiboko, hakuna hata vitabu kumhusu au labda hata kumbukumbuk kwenye ma museum? kweli tunahitaji kujua zaidi historia ya nchi yetu sio through formal education maana mengi sana tunayakosa
 
Ahahaha, mmezidisha chumvi sasa inawezekana vipi azikwe huku amekaa na apande viazi viote the same day?
 
kulikuwa na kitabu nakumbuka primary tulikisoma ila hakikuwa kwenye syllabus, ilikuwa ni hadithi tu, sasa historia kamili ya huyu jamaa sijaisikia, nadhani hata hao watu mwanza hawaifahamu kisawasawa kama wahehe na mkwawa
 
Tembelea makumbusho Bujora utayaona yote kuhusu Mwanamalundi
 
Unashangaa hayo jiulize Maziwa yalikaaje zaidi ya miezi 3 Bila kuganda?? Jiulize kwa nini Wajerumani walioenda kymnyonga walimrudisha?? Kwa nini siku aliyozaliwa baba yake alikufa?? Mwanamalundi ni mtoto wa dawa yani mama yake alimeza mabughota ili aweze kushika mamba.
No tembelea Makumbusho ya Bujora utajua mengi kuhusu huyu. MI story zingine nimeskia kutoka kwa wacheza ngoma yeye alijikita huko
 
Ahahaha, mmezidisha chumvi sasa inawezekana vipi azikwe huku amekaa na apande viazi viote the same day?

Unashangaa hayo jiulize Maziwa yalikaaje zaidi ya miezi 3 Bila kuganda?? Jiulize kwa nini Wajerumani walioenda kymnyonga walimrudisha?? Kwa nini siku aliyozaliwa baba yake alikufa?? Mwanamalundi ni mtoto wa dawa yani mama yake alimeza mabughota ili aweze kushika mamba.
No tembelea Makumbusho ya Bujora utajua mengi kuhusu huyu. MI story zingine nimeskia kutoka kwa wacheza ngoma yeye alijikita huko
 
Mimi nina kitabu cha mwanamalundi na iwamba nguru. Kiu kweli kuhusu mwanamalundi pia aliwahi kutengeneza bao kwenye jiwe na na kete zake kwa mkono kama wewe unavyo kula ugali. Mpaka leo kunaalama ya miguu yake alipo kanyaga na mbwa wake na sehem aliyo kaa kwa maana ya makalio yake. Kiu kweli kanda ya ziwa kuna historiya kubwa sana. Napenda kumjuza jamaa asieamini kuwa viazi kulimwa kwa siku moja. Sasa nampa hii miaka ya 1990 mm nimeshuhudia kwenye ngoma hizi watu kulima mahindi, karanga, njugumawe na kuiva kwa siku moja na watu kuvuna. Ulizia watu kama nkondya mavitii. Ng'wanamayuki hawa watu wamefanya maajabu.
 
Alikuwa mchawi na mwanga

Vip kuhusu Yesu na Mohamed unawaongeleaje ni wanamazingaombwe ama vip,..maake na wao walifanya maajabu kama si vituko kama vya huyo Mwanamalundi.

Anyway-miafrika ndio tulivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…