Mtibeli leo nitakuwa Kanisa la Wasabato Magomeni. Ninawakaribisha wôte.

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Sabato Njema!

Kwa Neema ya Yule Mwenye Ñguvu, Mola Mlezi, Mungu mwenye Ñguvu, na utukufu. Mtakatifu atupaye utukufu na kutufanya tuheshimike.
Atupaye Akili Zenye Akili, huyo tunayemtumainia na kwake tunajivunia yeye pekee.

Huyo àmbaye amewashikilia Adui zetu. Tenà amewapa Hofu ya kututendea Yale Mabaya.

Huyo mmoja na wapekee, aliyetuweka mbele ya Adui zetu Kwa Miaka na Miaka, aliyetuweka mbele Kwa kizazi na kizazi juu Yao.

Huyo aliyewaangusha mara elfu na kuwaweka chini Kabisa wale waliothubutu kusogea katika njia zetu. Akaangusha mawazo Yao, akafuta Majina Yao, na vizazi vyao vikabaki shimoni Siku nyingi.

Huyo na Wala hapana Mwingine tunayemuamini, Wala hapana tumtegemeaye isipokuwa yeye.

Yeye mwenyewe alisema, ndiye Baba yetu. Nasi tuwatoto wake.

Leo Mtibeli atakuwa Kanisa la Wasabato la Magomeni. Karibuni wote

Sabato Njema

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
 
Asante sabato njema Mtibeli
 
Ibada ikiisha nitapita hapo kukusalimia #sabato njema.
 
Hao wasabato ndo waislamu walio potea( lost muslim) hao hawakupashwa kua wa kuristo ni wastaarabu, hawana chuki na mtu wanamisimamo thabiti wa safi kama waislamu, maubili yao hayatishi sana walipashwa kua katika kundi la wa islamu.......tstizo lao kubwa ni kumshirikisha Mungu na Yesu kwamba nayeye ni Mungu.
 
Hao wasabato ndo waislamu walio potea hao hawakupashwa kua wa kuristo ni wstaarabu, hawana chuki na mtu wanamisimamo thabiti wa safi kama waislamu, walipashwa kua katika kundi la wa islamu.

Siku ya ibada àmbayo ni Sabato àmbayo hata Quran inaijua, mitume na Manabii, na Wakuu wôte na Yule mwenye Ñguvu mmoja aliyegizani àmbaye hatutakuja kumwona kwani hakuwahi kuonekana na hatakuja kuonekana, ndiye Mungu Kwa cheo. Aliagiza wale walioumbwa katika Dunia hii waiheshimu, kuitakasa, na kustarehe katika Bwana, Mungu. Siku ya Saba, Siku ya Birthday ya uumbaji wa Dunia na vilivyomo. Ndîo Siku ya Sabato, Siku ya Saba.

Huyo ndiye anayewafanya Wasabato, Watibeli, Wayahudi na makundi mengine Duniani yanayomuabudu Yule aliyeumba huu ulimwengu na Maisha ya vilivyomo
 
Back
Top Bottom