Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Sabato Njema!
Kwa Neema ya Yule Mwenye Ñguvu, Mola Mlezi, Mungu mwenye Ñguvu, na utukufu. Mtakatifu atupaye utukufu na kutufanya tuheshimike.
Atupaye Akili Zenye Akili, huyo tunayemtumainia na kwake tunajivunia yeye pekee.
Huyo àmbaye amewashikilia Adui zetu. Tenà amewapa Hofu ya kututendea Yale Mabaya.
Huyo mmoja na wapekee, aliyetuweka mbele ya Adui zetu Kwa Miaka na Miaka, aliyetuweka mbele Kwa kizazi na kizazi juu Yao.
Huyo aliyewaangusha mara elfu na kuwaweka chini Kabisa wale waliothubutu kusogea katika njia zetu. Akaangusha mawazo Yao, akafuta Majina Yao, na vizazi vyao vikabaki shimoni Siku nyingi.
Huyo na Wala hapana Mwingine tunayemuamini, Wala hapana tumtegemeaye isipokuwa yeye.
Yeye mwenyewe alisema, ndiye Baba yetu. Nasi tuwatoto wake.
Leo Mtibeli atakuwa Kanisa la Wasabato la Magomeni. Karibuni wote
Sabato Njema
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam