Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

Hebu tuwekeeni na mke wa chawa mwashambwa tumuone na nywele zake za nenda kilioni.
 
Hili swala mbona umelikomalia sana??
Muacheni malaika wa watu kumsema hivi itamtesa baadaye, unajua mitandao km maktaba inatunza vitu..!!
Si vyema baadae aje kukuta vitu km hivi rafiki..!! 😥
Sawa rafiki ngoja tumuache malaika wa watu tusimseme
 
Back
Top Bottom