Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 43,349
- 104,110
Jamani wizo lol!! 😹😹Fantasy ya kubomolewa na mvuta bange.
Umehamia kwa wavuta bange safari hii??
Sasa mbunye si itanukia mjani wa bob 😹
Jamani wizo lol!! 😹😹Fantasy ya kubomolewa na mvuta bange.
Yaaan chura ndio ugonjwa wetu,Kuna siku nilikuta mjadala mawinga wanalalamika kuna mwenzao mmoja kaopoa demu ana bonge la chura, kufika ndani halioni acha atukane…!! 😹😹😹
😂😂😂😂Sijui una umri gani.
Ila nadhani umezaliwa myaka hii ya 2000.
Wanawake wazuri bado unawasikia kwenye nyimbo za Diamond na harmonize.
Na Zaid huwajui wake za Wana JF hata wawili.
Wavuta bangi au wavuta makushabu ?😅Fantasy ya kubomolewa na mvuta bange.
Kati Yao Hawa ni nani mwanaume?
Pisi ina macho flani ya Kukufanya ufungue pochi kirahisi
We mzee wewe utafika umechoka… 😹😹Yaaan chura ndio ugonjwa wetu,
Yaan Sisi tusiojua kutofautisha kigodoro na chura halisi tunaibiwa mnoo....
Kuna vile vigodoro Kwa kwenye mbususu vinafanya mbususu ivimbe. Yaaan unaweza jua huyu anambususu imevimba flan hivi kumbe godoro, ikute yenyewe halisi SASA.....
Robert Heriel Mtibeli akaona isiwe tabu akaona aende photostudio anyuke pamba za sikukuu, na akamwambia camera man awaedit yeye na wife wang'ae na watoke kama wazungu.
😂😂😂😂Kwa hilo komwe au?
Labda iwe wewe ndio huyo Robati umeamua kuja kivingine, ila kama sio yeye na umeamua tu kuleta picha yake humu, basi jiandae na BAN.
Hata mtibeli mwenyewe ni mrembo sio mkuu?Mashaallah, 😊 ni warembo.
Futa mrembo weka mtanashati.Hata mtibeli mwenyewe ni mrembo sio mkuu?