The Gworl
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 6,048
- 18,347
Be honesty umewaonaje watibeliEeeh 𤣠ntanza kukuchapa sasa
Be honesty umewaonaje watibeliEeeh 𤣠ntanza kukuchapa sasa
Ni warembo MashaAllah š¤£Be honesty umewaonaje watibeli
Unaamini wewe ndo mwanamke mrembo sana kwake?
Shida kuoa na kuzaa hapo ndipo kipengele
Mambo šBe honesty umewaonaje watibeli
Dogo jau sana wewe šNitumie picha yake piemu.
Kwa hiyo huyu nduye mtibeli
inategema mzuri sehemu gani binadamu hajawahi kamilika
Shida kuoa na kuzaa hapo ndipo kipengele
Uwezo wa kuoa na kuzaa anao?
Hahaha, hebu nitumie hiyo picha ili niweze kujifunza kitu.Dogo jau sana wewe š
Kaoa ? Kama hajaoa ana uhakika gani kuwa huyo mtoto wake?
Kaoa ? Kama hajaoa ana uhakika gani kuwa huyo mtoto wake?
Wahuni walimfanyia nini tena Dokta Mwaka na mwaka haukupita Mkuu?Wewe fanya hivyo atagongwa na mimba watamjaza wapi Dokta Mwaka kuwaanika wake zake Wahuni wakafanya yao Mwaka haukupita
Ina maaana anakuzidiHongera yake.