Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,572
- 22,926
Robert Heriel Mtibeli huyuhuyu
Aligongewa manzi yake Wahuni wakapiga mimba akaanza kujiona mtoto ni wake kumbe mtoto ni wa Muhuni mmoja hiviili kuaje ya nikki
Duh kumbe wana ni noma ukiwa sanua kwa mrembo wanafanya kweliAligongewa manzi yake Wahuni wakapiga mimba akaanza kujiona mtoto ni wake kumbe mtoto ni wa Muhuni mmoja hivi
Wewe fanya hivyo atagongwa na mimba watamjaza wapi Dokta Mwaka kuwaanika wake zake Wahuni wakafanya yao Mwaka haukupitaDuh kumbe wana ni noma ukiwa sanua kwa mrembo wanafanya kweli
ChaiMkuu amekuruhusu kuitoa picha yake Facebook kuileta huku?
Eeeh 🤣 ntanza kukuchapa sasaMashaallah, 😊 ni warembo.
Kweli wahuni sio watu nimeaminiWewe fanya hivyo atagongwa na mimba watamjaza wapi Dokta Mwaka kuwaanika wake zake Wahuni wakafanya yao Mwaka haukupita
Anataka demu wa jamaa agongwe na Wahuni maana hawa ukiwawekea kibunda tu wanafunua Chupi haraka sanaWewe ni me au ke? Kama ni me una indicator za ushoga
Kama ni ke ACHA wivu
#mazafaka
Wahuni hawajawahi kufeliKweli wahuni sio watu nimeamini
Abiria chunga kilichochako kugongewa maumivu yake anayajua anaegongewaMwenyewe anasemaje?
Ndo amesema hivyo?Abiria chunga kilichochako kugongewa maumivu yake anayajua anaegongewa
Nitumie picha yake piemu.Mwenyewe mke wangu humu hamumjui tuu 😂