secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Yaani nimefanya attempts nyingi za kumpata yule bibie lakini zote kazichomoa hadi nikamtafuta mtaalam wa counseling atayeniweka sawa kisaikolojia.secretarybird usione BICHWA KOMWE - anakuwekea masharti Magumu bali yeye anakubali Fantasy za Kimongolia mixer Mabange pembeni ndio maana kafa kaoza na humwambii kitu kwa Mgerasi Maghayo The Mongolian Savage
Kumbe The Mongolian Savage ndiye anayemtia kiburi.
Duh!, Kwa hakika nimechoka!