Mtihani: Sina kazi ila nimepata fursa ya kutengeneza filamu za ngono nje ya nchi

[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] Tumefikaje huku vijana wa ktz jmn..!!!???,hv swala ni ugumu wa maisha2 au ni kazi uliitamani mda mrefu...????, kuwa mkweli bhuanaa mbna unataka umtende Mungu dhambi kubwa namna hiyo...????
 
Mkuu wakati wa amani ni rahisi sana kuyaona maisha ni mepesi, lakini ukipata nafasi ya kuishi haya maisha yangu walau kwa siku moja, bila shaka usingesita kuchukua hatua ninazotarajia kuzichukua soon.Hiyo jamii kama haikuweza kunisaidia ili nijikwamue basi wasiweze kunicheka wakati ninapojikwamua.
 
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji87] [emoji87] Tumefikaje huku vijana wa ktz jmn..!!!???,hv swala ni ugumu wa maisha2 au ni kazi uliitamani mda mrefu...????, kuwa mkweli bhuanaa mbna unataka umtende Mungu dhambi kubwa namna hiyo...????
Ugumu wa maisha, kukosa kazi na pesa ya uhakika pamoja na kutokuwa na mahusiano mema ya kimapenzi ni factors Mkuu.
 
Dah aise ila njia yake mkuu ina miba kama sio chupa zilizovunjwa kwaio unapita kwa kukanyaga...nafikiri this week my best thread itakua hii...
ila mhhh...aise
Yaan mm naogopa utafkili mm ndo muhusika ila mwenywe wasi hana
 
Mhhh sikushauri lolote man cha msingi ushajua ngeukie Mungu atakupa jibu kwa uombacho. Kaa mbali nao
 
Nasomaga umu kuwa wanalipwa dollar 100 au 150 sasa sielewi inakua kwenye mchanganuo upi
Ndio maana nilisema inategemeana na aina ya kampuni.Kuna moja walikuwa wamehorodhesha kabisa, mwanaume ni kati ya dola 1400-1600, mwanamke ni kati ya dola1800-2200, lakini sikupata chance hapo.Ila hawa wengine nao wanatoa dau kali, limenishawishi vya kutosha.
 
Nenda tu.. Mbona kuna demu ni Mtanzania anacheza hizo picha ila Watanzania wengi tu hawamjui..

Na ni maarufu tu ashashindaga awards kama mbili za best performer..
Kweli mkuu,hebu ni-PM jina lake nimcheki
 
Kwa kila mechi bei hizo na kwa siku unacheza mechi ngp
 
Yaan mm naogopa utafkili mm ndo muhusika ila mwenywe wasi hana
Kiuhalisia inaogopesha...!! Ila ndo ameshaamua navyoona na sisi wana JF hatuna budi kumtakia maisha mema huko aendako. Ila hata mm inaskitisha
 
ungeweka hata to picha tuchangie Kwa reference??
 
Kiuhalisia inaogopesha...!! Ila ndo ameshaamua navyoona na sisi wana JF hatuna budi kumtakia maisha mema huko aendako. Ila hata mm inaskitisha
Yeah ni kweli Mungu amsaidie tu ktk safari yake sbbu ameshaamua
 
Dau kali how much..funguka mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…