Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Sio education system tu, bongo kaka kuna mambo ya hovyo sana ktk mambo mengi sana.

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
hii yawezekana kuna mtu alllingia na simu akapiga au kama waliondoka na karatasi amepiga baada ya mtihani
 
kama kichwani upo vizuri mtihani uvuje usivuje utafaulu tu manake majibu ni yale yale acha kulalamika kama ukiwa kilaza hata ukipewa pepa kama majibu huyajui huwezi faulu
 
No fairness under the sun,believe me nepotism is everywhere ila ni kupambana tu...be like water just follow the flow,ukiwaambia hivyo wazee walokusomesha kwamba ulifeli mtihani kisa kuna watu wameiba paper watakuelewa? Ni kuwahuzunisha ni kuwaambia tu haikuwa bahati yako next time you will try harder
 
kuna watu mnapenda kulalamika

nilienda kufanya paper hapo utumishi nadhani pia ulivuja lakini nilifanya kilichonipeleka kwenye written nikavuka ingawa sikuwa wa kwanza kwenye oral nikaibeba mimi ile nafasi na aliyeongoza kwenye written akatupwa mbali. kwenye lile group letu watu kibao wameshapata kazi na hawana connection na haya yametokea mwezi mmoja uliopita. acheni kulalamika haitosaidia kitu mwenye kubebwa hata asipopewa hiyo paper atabebwa tu.
 
Bongo NYOSO
Mkuu kosa kubwa ni kuondoa mamlaka ya ajira na kuyapeleka Utumishi kutoka taasisi husika. Matatizo yalianza hapo. Abubakari Kunenge akiwa Director of HR & Admin aliweka mfumo ambao ni digital halafu nu online application. Shortlisting ilikuwa inafanywq na sytem. Matokeo yake kwa kiasi kikubwa haki ilikuwa inatendeka.
 
YES, Hajajibu kwa usahii ndiomana povu linamtoka haswa, anasahau kuwa the strongest will survive hakujiandaa ili ashinde.
 
hata ungewekwa mfumo gani kubebwa kungekuwepo, unafikiri Kunenge angeweza kumpiga chini mtoto wa dada ake andapo angeomba kazi hapo?
 
Ngoja nijikukbushie kidogo kushuka maswali ya hii paper

Enzi zangu vipepa kama hivi vilikua havinisumbui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kuapply moja kwa moja ndio mbaya zaidi watapachikana mpaka angalau ya UTUMISHI ukitoboa kwenye oral hata kama huna connection kupata kazi ni rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…