Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

hata ungewekwa mfumo gani kubebwa kungekuwepo, unafikiri Kunenge angeweza kumpiga chini mtoto wa dada ake andapo angeomba kazi hapo?
Nimesema kwa kiasi kikubwa. Kwanza applications na supporting documents zilikuwa zinafanyika online, pili Ack ilikuwa online. Wale shortlisted candidates walikuwa wanapigiwa simu tu. Pamoja na hayo mapungufu unayoyasema taasisi ilipata "watoto wa wakulima" wengi sana. Haya malalamiko ya mitihani kuvuja hayakuwahi kuwepo wakati wake. Yameanza baada ya huu mchakato huu kuhamishiwa sehemu nyingine.
 
Mara ya mwisho kufanya mitihani ya utumishi ilikua 2018 baada ya kuona magumashi mengi , niliamua kuachana nayo na kufanya mambo yangu tu , kufunga safari kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine ni kupoteza muda na pesa pia, usirudie tena
 
huyu samiah nae alisema atatoa professional works zaid ya 40,000. Ni kwanini wasimwage hizo kazi za TRA bila interview? mbona watu 9,000 ni wachache sana kwenye nafasi za tax na customs?

Afu mbona walimu na madaktari wao humwagiwa kazi bila interview. Utaskia walim 10,000 wameajiriwa na madokta zaidi ya 5,000 wamemwagiwa kazi bila interview yoyote.

Mi nashauri serikali iwe inamwaga kazi za TRA bila interview, maana kisheria na sheria za nchi hazielekezi interview bali graduate yeyote aliehitimu kwenye chuo kinachotambulika kwa serikali anahaki ya kupata kazi na ni wajibu kupata kazi. Sasa mainterview ya nini?
 
du duh!! aiseee!!! mwenzako kamwaga ugali wee ukaona umwage na mboga kabisa yani.
 
nyie ndo watoto wa vigogo mnaopitishwa kiholela tuu, mafisadi makubwa msokuwa na haya. Mnastahili kuzibuliwa.
 
"na hii ndio sababu nchi ipo vilevile miaka nenda rudi sababu wajinga ndio viongozi"
Ukweli huu.
 
Hii mtihani kwa jinsi nilivyouona naona kama ukiwa ulisoma tax kwa kupapasa papasa basi hupati kitu.nadhani wanaoweza kuwa confortable niwa watu waliosoma chuo cha kodi
 
Sawa kabisa mfanyakazi wa utumishi,endelea kutetea kitumbua chako.
 
Sometimes jaribu kuficha ujinga wako unapoona watu wenye akili waki discuss mambo ya msingi.
Hicho.ki photocopy chake mbona kakileta baada ya mtihani ?

Halafu hayuko serious angepeleka Takukuru na aeleze huyo aliyemrushia mwenye group ya watsap wachunguze wakiona Ni kweli interview ingefutwa na watu kibao wangedakwa na yeye pengine angeweza hata kupata ajira Takukuru au polisi nk Kama Asante kwa kufichua Hilo genge
Kuandika ki umbeya tu Ni utoto hakustahili huyu kwenda hata interview .Kama anaficha tu kuweka wazi wezi wa mitihani si ataficha mbeleni wakwepa Kodi.Aanike wazi aache ujinga
 
Una matatizo ya akili.
 
Yaani ulikua unapigiwa Simu za hongera za sababu ya kuitwa kwny interview ya utumishi au sijaelewa?
 
Tax officer anatakiwa kuwa Jasiri sio muoga wewe sio wa kigoma

Kigoma huwa si waoga

Taja namba za huyo aliyemrushia I'll genge lake likamatwe vinginevyo wewe mumbeya tu hata ungeajiriwa kazi yako ingekuwa umbeya tu na upiga majungu ofisini

Peleka Hilo swala Takukuru haraka na ushahidi hata wa namba ya huyo mtu wako aliyerushiwa mtihani watsap
 
Hii mtihani kwa jinsi nilivyouona naona kama ukiwa ulisoma tax kwa kupapasa papasa basi hupati kitu.nadhani wanaoweza kuwa confortable niwa watu waliosoma chuo cha kodi
Na kuna genius pale juu anakwambia mitihani ya utumishi hua Ni mwepesi saaaaana.,πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…