Mtihani wa usaili wa Tax Officer (TRA) wavuja

Mbwembe nyiiingi,yule jamaa aliyepata kazi huko kupitia huko utumishi akaenda ku report kwny kituo Chake cha kazi na akakuta nafasi imeshajazwa na mtu aliyefeli huko kwny mitihani ya utumishi hao Takukuru si wamepelekewa hio case wakaishia kuipiga danadana tu, Waziri wa utumishi nae akaikimbia.

Yaani mtu akiona ulichoandika hapa utadhani hao Takukuru wanakuaga serious 😄😄😄
 
Umejitahidi ila usitake aminisha wengine kuwa hayo ndo majibu pekee kwa maswali yote, utapata kiasi,
Pia kwa waliodaka pepa ni rahisi wajua nahisi watacopy na kupaste na wanaweza jibu maswali sawa na kuepuka maswali sawa, Ni vyema utumishi wakabalance mzani
 
Wewe dogo inaelekea umefanya huu usaili unaozungumzwa hapa na ulikua na pepa before( uliiba) , hongera mkuu, utapata kazi TRA kapige pesa za wanyonge
Mkuu
Sijahusika na hio dhuruma, hio ni akili yangu binafsi ya kujibu maswali ndio maana la 3 na 2 nimechemka, najarib kushare what I have answered nakaribisha kukosolewa
 
hii ishu una weza ichukulia simple sana interview ya mwisho mm kufanya na hawa utumishi ilikua 2019 na mpaka leo nime itwa mara3 sija hudhuria tena interview zao kwanini?
Jamaa yangu nilikutana nae baada ya pepa akiwa na Majibu ya maswali yoote kweny daftari lake la solving nilichoka kwa kweli sasa hivi wakiita post za kuhitaji watu wengi atleast 50 kupanda juu ndio nita enda kufanya hizo interview zao lakini sio hizi nafasi 5 mna itwa 6000 ni upuuuzi
 
Usizungumzie Magufuli maana hii style imeasisiwa na CCM! Ukiwa na affiliation na wakubwa ndani ya CCM na serikalini ujue maisha yako hapa nchini lazma yawe mepesi tu hasa kutoboa life ni swala la simu kadhaa tu unakula kitengo!

Kinyume na hapo usitegemee miujiza zaidi ya mateso jasho na damu litakutoka ili utoboe tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…