Kuna siku nilisema watu wapo makazini ili kulipwa mishahara wakalipie bills zao! Maswala ya ufanisi wa kazi sio kipaumbele, cha muhimu kati ya tarehe 25-30 akinge hela!Ndio maana makazini umahiri hakuna, huduma ni mbovu kwasababu ya kubebana
Nchi ya kis*ng* sana hii tena kuna miwatu hata aibu haioni inafurahia upuuzi huo
Hahahahah mie niliwatakia kila la heri katika safari yao! 😅😅😅 siwezi kujipandisha basi na nikaingia hasara za kipuuzi kwenda kuwania nafasi za watu wa 5 katika watu 9,000!😄😄😄😄 Vijana wamechoma nauli+lodge kumbe wajuba mzigo wanao ndani tayari wamekuja kuwachora tu wanyonge.
Kuna jamaa alikua anawasifia UTUMISHI anakwambia wale mpk Wana Quality Controll office hapo ofisini kwao kwa ajili ya hio mitihani kumbe Ni ujinga mtupu.
Swali kama langu, angekuwa mnufaika angekuja humu???Ingevujia kwako ungefungua Uzi?
Kwani ni Mara ya kwanza mitihani kuvuja?
Wakati wa rizki yako bado haujafika, acha walio pata pepa wakale maisha.
Maisha sio mitihani ya utumishi tuuu
#Kun faaa Yaquun
Barua nayo waliipunch! Mchezo wote wanaujua hao wanaoshtakiwa so kesi ya nyani kwa ngedere hioAisee huyo aliyekataliwa kituo cha kazi siyo fair kabisa angewachukulia hatua zaidi hao. 🤔 kwani si huwa wapewa barua za kureport?
Ukiangalia kwa kawaida TRA wana vijana wa internship yapata miaka miwili wanafanya nao kazi kuliko kufanya mitihani waajiriqe hawa vijana maana hii ni kupoteza muda wa mtu ambao hauna mantikihata ungewekwa mfumo gani kubebwa kungekuwepo, unafikiri Kunenge angeweza kumpiga chini mtoto wa dada ake andapo angeomba kazi hapo?
Kitu cha muhimu kusubiria matokeo inawezekana wakasema waliopata 50 kuja juu wanaitwa kwenye hatua nyingine ya interview.Kwa hiyo unatakaje? Au na ww ni mmoja ya walitiwa wakapewa pepa?
Dah kazi ni connection tu! Kuna watu wanamaliza vyuo na wanaunganishwa kazini wala hawateseki mitaani😅 katika kipindi hiki hiki ambacho watu wanapanda mabasi na kwenda mamia ya kilometre kufanya usaili ambao ni geresha maana tayari kuna watu washachaguliwa kuziba nafasi hizo!Poleni sana vijana. Inauma lakini sitaki kuamini kama ilivuja. Vinginevyo, uthibitishe pasipo na shaka.
Sawa, majibu unapaswa kuyarudisha na karatasi ya maswali. Lakini wapo wenye uwezo wa kurudisha majibu pekee. Au mtu alipewa karatasi mbili za maswali, moja akapeana nyingine akabaki nayo. Akaja kupiga picha na kurusha online.
Lakini kama ilipangwa iwe lazima iwe tu. Hata kama paper lisingevuja, kama fulani alishapangiwa kupewa kazi, hata kama atafeli huo mtihani atapewa tu kibarua.
Maisha haya ya sasa ni magumu sana kwa waajiriwa. Kipindi hicho cha JK, sisi tulikuwa na uangalau.
Hahahahah mie niliwatakia kila la heri katika safari yao! [emoji28][emoji28][emoji28] siwezi kujipandisha basi na nikaingia hasara za kipuuzi kwenda kuwania nafasi za watu wa 5 katika watu 9,000!
Si apply kazi wala kufanya interview ambayo sina connection! I must be certain kuwa hio nafasi ni yangu na ntaipewa sababu nina mtu yuko front [emoji28] hapo ndio nta apply tena kwa maelekezo yake.
Kuna watu wanapewaga kazi kabla hata vyeti havijatoka na graduation bado! Yani cheti kinamkuta mtu kazini 😅 kuna mambo yanastaajabisha mnoHahahah vijana hawawezi kukuelewa kwa sasa ila kadri siku zinavyoenda watakuelewa tu mjomba.
Swali kama langu, angekuwa mnufaika angekuja humu???
Imeishaaa hiiiyooooo....
Everyday is Saturday................................😎
Kwani ni Mara ya kwanza mitihani kuvuja?
Wakati wa rizki yako bado haujafika, acha walio pata pepa wakale maisha.
Maisha sio mitihani ya utumishi tuuu
#Kun faaa Yaquun
Ukiangalia kwa kawaida TRA wana vijana wa internship yapata miaka miwili wanafanya nao kazi kuliko kufanya mitihani waajiriqe hawa vijana maana hii ni kupoteza muda wa mtu ambao hauna mantiki
Paper ya kuvuja ikawe hii bhana paper la utopolo kabisa hili hata mayele ndombolo anapaishaKutoka kwa mdau,
Mimi ni kijana kutoka Kigoma, jana nimefanya written interview ya Tax Officer TRA inayosimamiwa na utumishi.
Baada ya kufanya paper tukaanza kusikia kuwa paper ilivuja, leo kuna mdau kanitumia hiyo paper.
Hii ni evidence tosha kuwa paper ilivuja maana mnapofanya huo mtihani taratibu zinataka ukusanye majibu yako pamoja na question paper, maana details zako unajaza kwenye question paper. Sasa hii paper imetoka wapi kama paper haikuvuja
Hii sio fair kabisa maana watu tumepoteza muda na hela. Personally nmetumia zaidi ya 200,000 kutoka kigoma na kulala lodge.
Baada ya kufuatilia, nasikia watu walitumiwa mtihani kwenye group la whatsApp na wengine walikuwa wana-solve paper kwenye coaster wakitokea Dar
View attachment 1885554
Hii nchi haipo fair kabisa ni bora tu wawe wanawachagua watu wao wawaingize kwenye mfumo kuliko kutusumbua na kutupa gharama katika hiki kipindi ambacho tunapambana na tozo na matatizo kibao, huku hatuna ajira, wanataka vijana tuanze kujinyonga na kunywa sumu kwa frustrations?