Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Hivi huyu Mchungaji Mtikila ameshalipaga zile pesa alzokopeshwa na RA Tshs.3,000,000/=maana baada ya kukopeshwa akamshambulia na kumdhalilisha RA kuwa RA ni fisadi,hila alikuja kuumbuka vibaya alipooneshwa nakala ya Payment Voucher aliyosaini kupokea 3Mil.alipoulizwa na waandishi mbona umepoka hela toka kwake na umesema kuwa ni fisadi akakosa majibu na kujiumauma kwa abu nafedhea!nilicojifunza tka kwa Mch.Mtikila anaonekana kuwa ni mtu mnafiki na hasiye na shukurani
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,

Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,

Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,
 
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,

Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,

Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,
wewe ni chadema chumbani au chadema sebuleni?
 
Mi chadema-sebuleni povu linawatoka, Mch wa watu kachangia tu maoni yake!! Kuwaamsha waTz kama vipi itisheni maandamano kupinga kauli yake!!!
 
Humu ndani bhana huwa nashanga:
1.Usimguse Mbowe
2.Usimguse Slaa
Kwani wao ni miuungu hawa? Ukweli utabaki palepale.

CCM Juuuuuuu.....!
 
Tatizo la CDM hamtaki kuambiwa ukweli, siwalaumu viongozi wao wa sasa ni vigumu kuona kabinti kamekuwa ka mwali tayari, kikubwa ni wazazi kuelewa siku hiyo itafika na wamemfunza vya kutosha kiasi cha kuwa na maamuzi ya busara.

CDM kimekuwa chama cha kitaifa hivyo misingi ya demokrasia lazima ichukue nafasi zake, watu hawawezi kusema ushindani hupo kwa afya ya chama ukifika uchaguzi mikakati ya wenzao wai iite usaliti yenye nia ya kufanya coup.

Watu hawawezi kuhoji matumizi ya hela kama kungekuwa na published accounts for member to see kwenye mikutano yao. Ukute asilimia kubwa ya mapato imeenda kwenye posho za M4C (na walio faidi ni wachache) kuliko ujenzi wa kuimarisha chama, bidding process za wazabuni wao pia lazima ziwe wazi vinginevyo people will question the motive maana hizo ndio elements za embezzlement.

Siamini kama Zitto ndio kiongozi bora kwa sasa aliyepo hata mbowe kama hatajiweka na washauri imara pia anaweza kisogeza chama mbele zaidi but it has to be in democratic ways. Sio kila uchaguzi unapokaribia ana anza visa na tantrum za kusingizia CCM na wavurugaji wa ndani mpaka lini, you cant teach an old dog new tricks.
 
MAAJABU YA TANZANIA

je wajua kwamba..........CHADEMA YAPOTEZA WENYEVITI 5 WA MIKOA NDANI YA MDA MFUPI

HAWA HAPA.......................LINDI..........
.......MBEYA........
........ARUSHA.......
.........SINGIDA.......
..........MARA....................

.WAMEAMBATANA NA VIONGOZI WA KITAIFA.......... ZITO KABWE........... ...MKUMBO KITILA...............ARFI....................HII NI KUTOKANA NA UBOVU WA VIONGOZI WA KITAIFA NA MAAMUZI YA KIBABE.............USHAURI WA BURE KWA MBOWE NA SLAA.....WAJIUZURU...KUNUSURU. .....CHAMA.......YETU MACHO NA MASIKIO...
 

Sababu sio ukabira,ni msimamo thabiti wa viongozi hao ktk kusimamia,kulinda na kutekeleza sera safi za chama.kumbe hujastuka kuwa wapiga mayowe ni wale wanaoona mambo yao maovu yanaibuliwa?!Mi_ccm inatafta pa kutokea ,yana hali ngumu kweli.!
 
wanasiasa kama akina Mtikila wako dunia nzima mfano Denmark kuna chama kinachoitwa chama cha watu(FP) ambacho kinaunda serikali pamoja na (SD),Holland ndio hivyo hivyo serikali imeundwa na muunganiko wa vyama tafauti vikiwemo vyama vyeye siasa kama za Mtikila,siaa kama za akina Mtikila sio ngeni duniani,

Binafsi naona Mtikila ni mwanasiasa mzalendo anaeipenda nchi yake....kuna siku watanzania hasa walalahoi watakuja kumkubali
 

Hivi wewe wakusaidieje! Hata kuusoma walaka wa wasaliti tu waliouchakachua wao wenyewe, napo upewe msaada wa kwenda ng'ambo! Hayo ndio yalokuwa yameandaliwa kupindua chama.
 
Chadema chumbani
chadema sebureni.
Hahahahaha

mkuu Henry Kilewo we uko wapi?
Uwa wana msifu mtikila lakini leo atawatambua bavicha.

Tundulissu mjibu sasa mtikila tuone.
 
Last edited by a moderator:
Nimegundua kumbe MTIKILA anaipenda CHADEMA kwani anatambua kuwa chumbani ndipo familia utengenezwa ,na sebuleni ndipo wa geni uketi .Lakini ni muhulize M TIKILA hivi Mkewe bado muhasibu wa chama chake?.
 
Natamani wachungaji wasiingie kwenye siasa wahubiru injili. Mtikila na Msigwa siwaamini kabisa
 
Namuonea huru sana Mtikila , kweli kabla hujafa hujaumbika ! Njaa inamdhalilisha mzee huyu na anateketea huku anajiona , alianza kutumikishwa TARIME , mambo anayoyafanya utadhani hana ndugu !
 

mtikila ni nani? bado yupo mtu wa jina hili katika siasa? ni yule mdaiwa wa Mh Rostam Aziz? kama ndiyo huyu hoja hii ifutwe tafadhali tunahitaji watu makini humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…