Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'


wewe Dr.W.Slaa aahe milioni 11? atakufa na mtu na hawa akina Tumaini Makene na Kurugenzi ya Habari pamoja na wapiga debe akina Mungi watakula wapi?
 
Last edited by a moderator:
Mbona mbatia mrema n wachaga na niwenyevt inakuaje cdm tu nais niajenda ya kuivunja cdm nguvu leo ukiangalia mkoa wa kigoma wambunge wanne n kutoka n. Mageuz apo tutasema nchama cha kigoma kama kwel cdm n chama cha ukabla mbona wabunge watano wa ccm wanatoka kirimanjaro na 1 wa tlp n 3 tu kutoka cdm
 
Ukweli ndo huo naona mengi yanaibuka ila siasa haina maana kwa tulio nje ya siasa ila walio ndani wanabishana kwa maslahi Tuwaache wafanye yao!
 
Naipenda sana c.c.m ila s kwa sababu Rais wangu n din yangu nachukia sana udin nanawachukia wote wanao eneza udun hii zambi inayo anza kujengwa taratibu kwa malengo yaubnafs italeta mazala kama ilivyo tokea Rwanda na Burund wanao jenga mazngla cdm kionekane kama n chama cha ukabla wawe wanatoka ndan ya cdm au c.c.m ay wasio na vyama wajuwe wanatuasl ata c wachaga tulio ndan ya c.c.m kwa kpnd toka nimejiunga na c.c.m sikuwai kufkl iko sku ikatokea watu wakaoj kwann viongoz wa ngaz ya juu wa c.cm weng n waslam au viongoz wa kitaifa ktk serekar yangu ya c.c.m hii zamb aitaishis apa angalizo kwa wapenda aman kutoka vyama vyote na wasio na vyama tusijiingize ktk mkumbo huu n atal kwa taifa letu MUNGU IBARIK TANZANIA
 
Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni' Ameeeeeeeeeeeeeeen!praise the Lord haleluyah!! Baba mchungaji!!!!!! Baelezee hao mpaka wajitambue kuwa wapo ku 'sebure' na wenye chama wametulia chumbani!!
 
Sio kila kitu anakisema mtikila pengine amepagawa na pepo la CCM.
 

Kama CDM ni ya kikabila ,Ukanda na Kidini sijui CCM ni ya aina gani!
Ukicheka na Nyani utavuna mabua.Na hivi ndivyo waTanzania wanavyoamnishwa .
 
mtikila akikusumbua na maneno mbofu mbofu we jifanye unampigia simu rostam... ukigeuka hayupo kitaaaambo. lol!
 
wanaotumia silaha ya ukabila na udini kuidhoofisha chadema hawatafanikiwa,,,na kama wakifanikiwa basi nchi haitakalika.
 
Hivi zile kesi za huyu mchungaji zilishaishaga? 1
Hivi na kule mjengoni kuna mbunge yeyote anayewakilisha hiki chama cha huyu Mchungaji? 2

Labda huruma ya raisi impitie kama ilivyompitia mbatia, meghi, muhongo, mbarawa na wengineo...huenda kikajapata muwakilishi kwenye bunge la katiba
 
Tuletee na taarifa za MACCM kuhusu EPA, Rada, Meremeta, Kagoda, Richmond/Dowans, ukwapuaji wa nyumba za Serikali. CCM ya Lowassa, ya Membe, ya Sumaye na ya Sitta. Na kama CCM ni chama cha siasa au cha wauza unga, majangili, magaidi na mafisadi. By the way gamba mnalivua lini.

mimi nashare taarifa na wenzangu ili mzijue
 
wanaotumia silaha ya ukabila na udini kuidhoofisha chadema hawatafanikiwa,,,na kama wakifanikiwa basi nchi haitakalika.

Asalalee! Kauli zile zile utafikiri mzee Si raha!! Hatishiki mtu hapa sisi waTZ tutakaa sana ndani ya nchi yetu!!...tumechoka na misemo ya kipuuzi eti nchi haitakalika!
 
Unategmea nini kwa mtu ambaye katikati ya tukio ovu na lisilo la kibinadamu kama la Soweto Arusha alidiriki kusema kuwa CHADEMA wamejilipua wenyewe kutafuta kura za huruma.

Huyu ni mmoja wa mfano hai wa watu walioanguka kutoka katika maadili na utashi hadi kuwa mchumia tumbo mpaka Rostam Aziz akamuumbua.

Kwa miaka kadhaa sasa, heshima na nafasi ya Mtikila imeanguka na kupotea kabisa. Mtikila na maoni yake wa kupuuzwa na kukemewa ikibidi.
 
Chama chake cha DP ni kama upatu wa yeye na mkewe,

Tangu wasajiliwe hawajawahi kufanya uchaguzi, mtikila ni mwenyekiti wa maisha wa DP,

Mtikila nihuni na ni tapeli wa kimataifa aliyejificha kwenye mgongo wa siasa nchini,

( A)Upatu mwingine ni Mtu na Mkwewe.

( B)Tangu Mkwe ateuliwe hajawahi kupambana na Mtu kwenye Sanduku la Kura NA SASA Kifungu cha Ukomo wa Uongozi kimekwapuliwa na ukijaribu kumpinga unakuwa msaliti.

(C) Mwenyekiti huyo ni Tapeli la kimataifa kwa kujifanya ndio Mnunuzi na Muuzaji mkuu wa Vifaa vyote vya Upatu
 
Hivi kuna mtu anamchukulia maneno yake serious toka Rostam Aziz amuumbue.
 
Mbona chama chake hakuna anayemuuliza mapato na matumizi na mbona kama chama chake kinatenda haki mbona hana wafuasi zaidi ya hamsini cha zaidi kumuweka mkewe kama katibu mkuu sasa anataka kuongelea nini chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…