Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

Mtikila: Kuna CHADEMA MBILI - 'CHADEMA Chumbani' na 'CHADEMA Sebuleni'

cuf ilipokuwa na nguvu mlisema ni cha kidini, tena Islam, na mkasema ni cha wapemba na waislamu... Sasa wa tz mbona ccm inavuruga Taifa.
 
mchungaji christopher mtikila azidi kupiga msumali wa moto katika jeneza la chadema mashumbulizi yake yamuelekea edwin mtei

"amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema edwin mtei, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya ukabila na ukanda katika chama hicho huku m/kiti wa sasa freeman mbowe na katibu wake slaa wakidaiwa kuboresha mfumo huo kisasa zaidi kwa kuweka naksh naksh"

hata kinacho wafukuza zitto na wenzake ktk chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa ukabila na ukanda ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"

watanzania waelewe chadema si chama cha siasa na viongozi wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana maono wala malengo ya kuwakomboa watanzania

kwa ujumla ni genge la walaji tu!!!

Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "big eight " ambalo linaudwa na wazee wa kichaga na kiongozi wao mkuu ni edwin mtei akisaidiwa na akina mariale na ndessamburo,

hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya majukumu yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,kuna chadema mbili kuna chadema ya chumbani na chadema ya sebuleni"

source gazeti la umma tanzania 4/12/2013

hilo gazeti lililoandika si ndiyo yale yaliyoandaliwa na ccm kwa ajili ya kuichafua chadema!!
 
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI

"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"

Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"

WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania

KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!

Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,

Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"

Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013

Huyu mzee mtikila kaanzisha kanisa kawaibia waumini sadaka mpaka kajenga gorofa... Mwizi mkubwa huyu mbabu...
 
Kwanini hakutaka kuwa muwazi na kusema kabisa ni chama chakidini/kikristo?
 
chadema ni chama safi tu, ila ndani ya chadema kunawanyang'anyi na mafisadi.wamekimbia ccm,nccr,tlp wamekuja chadema.

Hawakitakii cdm mema,wao nikujali maslahi yao tu.hawajali maslahi ya taifa na chama.
Mbowe , Dr Slaa na Mtei wote walikuwa wana CCM.
 
Huyu mzee siasa zake anazofanya ni za kusubiri matukio.
Hana mkakati wowote wa kuendeleza Demokrasia na Maendeleo ya Watanzania. Sera yake ya MA--------- na WALALA HOI ilipodolola na yeye mwenyewe akadolola. Chama cha DP sasa ni chake binafsi kama M/Kiti na mkewe kama Katibu. Lakini tusiseme sana maana akipata kisababu.......hoyooooo....mahakamani,na sie hatuna muda wa malumbano.
 
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI

"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"

Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"

WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI wake si wanasiasa wa kweli, kwani hawana MAONO wala MALENGO ya kuwakomboa watanzania

KWA UJUMLA NI GENGE LA WALAJI TU!!!

Ndani ya chadema kuna kundi linaitwa "BIG EIGHT " ambalo linaudwa na wazee wa KICHAGA na kiongozi wao mkuu ni Edwin MTEI akisaidiwa na akina Mariale na Ndessamburo,

Hawa ndio wenye chadema yao ambapo moja ya MAJUKUMU yao ni kulinda maslahi ya kichaga ndani ya chama,Kuna Chadema mbili kuna chadema ya CHUMBANI na Chadema ya SEBULENI"

Source gazeti la Umma Tanzania 4/12/2013

Huyu jamaa kumbe bsdo yupo? Ameona uchaguzi umekaribia anataka kujitokeza na chama chake cha kwenye briefcase. Hawa ndiyo wasaliti wa maendeleo na wachumia tumbo.
 
Mtikila ni mchumia tumbo tu, ameshakula sana hela ya mafisadi lazima awatetee, huyu mzee ni mpiga dili, maisha yake anayaendesha kwa kublackmail watu wenye nazo.
 
chadema ni chama safi tu, ila ndani ya chadema kunawanyang'anyi na mafisadi.wamekimbia ccm,nccr,tlp wamekuja chadema.

Hawakitakii cdm mema,wao nikujali maslahi yao tu.hawajali maslahi ya taifa na chama.

Umesema kweli na hao watu sasa hivi wanajifanya wafia chama.
 
Angekuja anawasifia sasa... mngemwita kamanda... Wanafiki wakubwa.
 
Mchungaji Christopher MTIKILA azidi kupiga msumali wa MOTO katika JENEZA la Chadema mashumbulizi yake yamuelekea Edwin MTEI

"Amemtuhumu mmoja wa wanzilishi na m/kiti wa kwanza wa chadema Edwin MTEI, akidai kuwa ni muasisi wa dhana ya UKABILA na UKANDA katika chama hicho huku m/kiti wa sasa Freeman MBOWE na Katibu wake SLAA wakidaiwa kuboresha mfumo huo KISASA zaidi kwa kuweka NAKSH NAKSH"

Hata kinacho wafukuza Zitto na wenzake ktk Chadema ni matokeo ya kuota mizizi kwa mfumo wa UKABILA na UKANDA ambao hauruhusu mwanachama yoyote kuhoji mapato na matumizi ndai ya chama"

WATANZANIA waelewe Chadema si chama cha siasa na VIONGOZI |||
MZEE MTIKILA NENDA MCHIKICHiNI KAIMARISHE "DP.ORG"YAKO TUMIA NGUVU ZAKO ZAIDI KTK CHAMA CHAKO KWANI NI BUSARA
 
Huyu ndie Mchungaji Christopher Mtikila mwenyekiti wa Chama cha democratic Party ''DP''.
Chama ambacho hakina balozi wa nyumba kumi,mwenyekiti wa mtaa,diwani,mbunge wala mwakilishi yeyote serikalini kutokana na mfumo mbovu wa mwenyekiti anayekiongoza mchungaji Mtikila.

Kiukweli Mchungaji Mtikila ni mkabila kuanzia alipoanza kuwatuhumu waafrika wenzetu watutusi eti mijusi, maneno hayo ndio yaliyotumika katika mauji ya kimbari mwaka 1994 na kusababisha vifo zaidi ya watu 1000,000. na maneno hayo hayo ndo anatumia kuishambulia Chadema kwamba ni chama cha wachaga. mantiki hii sio nzuri

Kwani linaligawa Taifa kwa misingi ya ukabila na ukanda..,ndani ya CCM kuna wabunge na wapenzi wa CCM Wachaga mfano.mh.chami,mh.mwanri,mh.mramba na makada wengi tu waccm na hata mwenyekiti wa baraza la wadhamini mzee kisumo ni mtu wa kilimanjaro, maneno haya kwa mara moja au nyingine yanakwazwa ndugu zetu hawa ambao hawausiani na Chadema. na watu wa kanda ya kaskazini ambao hausiani na Chadema. Chadema sio wachaga tu mbona kina wabunge mbeya,iringa,mwanza, na dar es salaam.

Hoja ya Mtikila ni ya kuupuzwa, staili ya siasa zake ndio zimeshababisha machafuko somalia (Ugomvi baina ya koo),rwanda na burundi (Machafuko ya kikabila) siera leone

Na ninashangaa sana serikali kukaa kimya kwa siasa za aina hii, kama imeshindwa kuzuia maneno haya ya uchochezi kisa siasa basi iutangizie uhuru kanda ya kaskazini kwani jukumu la serikali ni kuunganisha taifa kuwa moja. kama linaruhusu siasa za uchochezi kama udini,ukabila basi nchi isambaratike kama Yugoslavia.maanak unapowasema watu wa kabila flani au kanda flani, au dini flani ni kama kuwatenga.
 
Back
Top Bottom