Tetesi: Mtikisiko CHADEMA, vigogo wagawanyika kuhusu mgombea Urais

Hatuna namna ni lazima tukibali chairman alikaribisha mgeni akaleta mamluki kibao matokeo yake chama kimekosa mwelekeo

Na awamu hii tena anataka atuletee mgeni hatutakubali ubabe wa chairman bora tugawane mbao
 
Lissu anamjua Mbowe vizuri ndio maana kaamua kulay bacc kidogo. Unaweza kutengeneza jina miaka 10 Mbowe akampa nafasi mtu aliyekuja juzi

Lakini wanaweka mgombea urais kwa katiba ipi? Kwa non makosa yanarudiwa kilawakati? Ebu fikiria tume ya uchaguzi hai hojiwi na mkyu wa tume hiyo hiyo anateuliwa ma rais. Akisha tanhaza matokea ya urais hakuna kupinga.

Sasa baado tu hilo kosa upinzani w hawalioni? Hakuna haja ya kuweka mgombea urais kwa upande wa upinzani. Wakiweka sio waaminifu hata kidogo. Wanasaidia ccm kudanganya dunia na pia tunajizalilisha sana. Tanzania upizani baado.
 
Ni haki yao kikatiba kuweka mgombea wa Urais hata km Watanzania hawamwamini

Haijalishi apate kura au akose

Utapingaje matokeo wakati umeshindwa? Demokrasia ya kweli sio kupinga tu pia wapoongeze
 
Miradi inaendelea kama kawaida mkuu libero

S
Ujenzi wa bwawa la umeme umeshika kasi

Ujenzi wa reli ya kisasa unaendelea

Ajira mpya kila leo zinatangazwa

Umeme kila kijiji
Uwe unavuta pumzi, speed yako ni nzuri but utachoka mapema!! Labda kama unataka wakulipe kwa mkupuo ili ubadilishe kazi.
 

Hivi kumbe ni lazima tu ukiwa mwana CCM basi lazima Kwanza uwe ni Mpuuzi na kila mara uwe unaanzisha Mada za Kipuuzi?
 
Asante kwa taarifa usihofu watafikia mwafaka tu 'it is healthy that way'
 
Mbona kama umechagua upande wako?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…