Mtindo mpya wa rushwa wa kubomoa na kujenga Hospitali ya Taifa Muhimbili

Tanzania kama mgonjwa wa goti anapasuliwa ubongo na mgonjwa wa ubongo anapasuliwa goti,ni wapi unaweza kukuta taasisi ya umma ina ufanisi!!??
 
Tusimlaumu Mama kwenye kila kitu huu utamaduni wa rushwa umeanza siku nyingi sana. Kwasababu kuna pesa za ujenzi siku hizi hata Uwanja wa Taifa tutasikia ubomolewe maana ujenzi ndiyo rushwa mpya Tanzania.
Hadi huyo mtu wake muhimbili anatangaza mwenyewe hakosi kujua huu uwendawazimu. Kama alikua hajaelewa hao wahuni wanamzunguka mpango wao basi asimamishe mpango huo wa kijinga wenye nia moja tu ya kupiga hela ya umma.
 
Baadhi ya wakuu kwenye nchi hii, yawezekana walifurahia kifo cha MZEE.Ujinga kama huu usingekua unafanyika.
huyo mbwa wenu ndio unamwita mzee? Mzee tunayemjua ni baba wa Taifa, siyo huyo shetani wako. Eti mzee bila aibu, mtu aliharibu nchi namna ile huna hata haya?
 
Ebu elezea rushwa inafanyika vipi hapo?
Unapotoa contract una chako mkuu.Kwenye manunuzi una chako,amka mkuu.

Ila sincerely I can't imagine Muhimbili ikivunjwa.Are we so reach?Yaani kama tunaona imechakaa, kwa nini tusiikarabati tukaitafutia matumizi mengine na tukatafuta an empty space tukajenga huko?Watanzania tupo watupu Sana frankly.
 
kwa hiyo kama wajengo yamechoka yaachwe tu?

Nyie malalamiko fc mna shida sana vichwani mwenu
Muhimbili haijachakaa kihivyo mkuu,ikarabatiwe ipangiwa matumizi mengine,halafu itafutwe empty space ijengwe hospitali.Tuna hela ya kuharibu hivyo kweli,aibu sana.
 
Nilivyokuja dar kwa mara ya kwanza, then nikapelekwa Muhimbili, naambiwa hapa ndio Muhimbili nikabaki nimetoa macho, siku nimeingia wodi ya kibasila ndio macho yalinitoka zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kujenga hospital kuwa katikati ya mji ni kuongeza foleni tu ijengwe nje ya mji
 
Hii awamu imejaa wajinga waliotokana na kuiba uchaguzi 2020,hivi kujenga hospitali ingine kubwa maeneo mengine hawaoni...huyo janaba nae walewale
 
Una uhakika gani kwamba hiyo pesa itakayofanya shughuli hiyo ni ya kifisadi?. Wivu unatesa sana baadhi ya watanzania haswa awamu hii ya sita.
 
Tanzania kama mgonjwa wa goti anapasuliwa ubongo na mgonjwa wa ubongo anapasuliwa goti,ni wapi unaweza kukuta taasisi ya umma ina ufanisi!!??
Ni pale watu au Wana siasa watakapo amua kuwa wakweli
 
Wanaishi na unyonge sana awamu hii. Hasira zimewajaa mpaka wanataka waandamane.
Sisi tunaosoma Qur'an hayo mambo yao ya ki iblees hatuyashangai, aliyeitwa Adam kaumbwa kwa udongo mfinyanzi, maaana yake ni ule unaojenga. Na iblees tunasoma kuwa kaumbwa na moto, moto unateketeza.


Naamini umenielewa.
 
Nilivyokuja dar kwa mara ya kwanza, then nikapelekwa Muhimbili, naambiwa hapa ndio Muhimbili nikabaki nimetoa macho, siku nimeingia wodi ya kibasila ndio macho yalinitoka zaidi[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mali ya umma itabaki kuwa ya umma tu.

Hivi (kwa wakazi wa Mwanza) yale majengo ya zamani ya Hospital ya Rufaa ya mkoa Sekou Toure yalishabomolewa baada ya ujenzi wa lile jengo jipya?

BMC haiwezi kubomolewa hata baada ya miaka 100 ijayo labda ibomoke yenyewe.

 
Hospitali ya taifa Haina idara nyingi kama za mifupa ;moyo ,Kansas nk.kwanini imepewa hazi ya kuitwa hospitali ya taifa Hali MoI ni hospitali nyingine na JKci ni hospitali nyingine.hii ni kuwasababishia kifo wagonjwa kwa kupotenza mda hospitali Moja Hulu tatizo lake liko hospitali nyingine.mbona Nyerere sliunganisha Hadi Ocean road hospital kuwa hospitali ya taifa.Mloganzila ni hospitali ya chuo.Ni ufinyu wa mawazo kuipa Muhimbili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…