Mtindo wa viongozi kushitakiana si dalili njema kama Taifa, tujirejebishe

MkamaP

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2007
Posts
8,146
Reaction score
3,235
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.

Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.

Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.

Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.

Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
 
Ni busara na hekima kuyaacha yapite? So ukiwa kiongozi ukafanya madudu uachwe just tu ulikuwa kiongozi.

Yaani sheria kwako haifanyi kazi just because ya cheo?

Kuna haja gani ya kufuata sheria kama kundi flani la watanzania sheria haiwagusi wengine inawagusa?
 
ni busara na hekima kuyaacha yapite ?
so ukiwa kiongozi ukafanya madudu uachwe just tu ulikuwa kiongozi.
yaa sheria kwako haifanyi kazi just because ya cheo?

kuna haja gani ya kufuata sheria kama kundi flani la watanzania sheria haiwagusi wengine inawagusa?
Huyo ni mmoja wa wanufaika na ujambazi wa sabaya
 
Mkuu mawazo yako hayo ni yakipuuzi sana. Samahani kwa hilo.

Hivi kwa mantiki hiyo ni maovu mangapi yatakuwa yanafumbiwa macho? Je utawala wa sheria utakuwa na maana gani?

Hivi huoni tutakuwa tunarudi kwenye barbaric and primitive eras ambapo kila mtu aliamua kufanya atakavyo?

Mkuu mawazo yako hayafai hata mtoto wa chekechea atakucheka.

Sorry i am not sorry.
 
Yaani kiongozi kampiga mwanao misumari 9 mguuni na kumfanya mlemavu, kiongozi ameharibu uchumi wa eneo lake na kubambikiza kesi (bado serikali inapambnaa nazo) na kiongozi huyo amekiuka kiapo chake Cha uadilifu. Unasema aachwe? Asiwajibishwe?
Huyo mlemavu aendelee tu kuumia na familia yake iendelee kuteseka?

Ili iwe fundisho kwa wengine lazima Sheria dhidi yao ichukuliwe na wangine wajue.
 
Mkuu mawazo yako hayo ni yakipuuzi sana. Samahani kwa hilo.

Hivi kwa mantiki hiyo ni maovu mangapi yatakuwa yanafumbiwa macho? Je utawala wa sheria utakuwa na maana gani?

Hivi huoni tutakuwa tunarudi kwenye barbaric and primitive eras ambapo kila mtu aliamua kufanya atakavyo?

Mkuu mawazo yako hayafai hata mtoto wa chekechea atakucheka.

Sorry i am not sorry.
Huna hata haja ya kuwambaia samahani kwa alichoandika.
 
ni busara na hekima kuyaacha yapite ?
so ukiwa kiongozi ukafanya madudu uachwe just tu ulikuwa kiongozi.
yaa sheria kwako haifanyi kazi just because ya cheo?

kuna haja gani ya kufuata sheria kama kundi flani la watanzania sheria haiwagusi wengine inawagusa?
Huyo ni mshirika wa jambazi Sabaya
 
Kama wewe ni kiongozi. Narudia tena tujirekebishe.
 
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.

Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.

Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.

Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.

Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.
Nenda na wewe gerezani ukakae na jamaa yako
 
Umeongea jumla. Ungefunguka wachangiaji wangeweza kuwa huru. Weka nyama zaidi.
 
Kama tumetunga sheria, basi zitumike kwa wote.

Unataka tutengeneze taifa la kila kiongozi akiingia madarakani anafanya anachotaka.

Alichofanya sabaya ni uhalifu na jinai,
Anapaswa kushitakiwa kama raia wengine

Hio haikubaliki kamwe.
 
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.

Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.

Kumbuka uongozi siyo suala la kudumu itafikia wakati mtaachia hatamu na wanaweza kuingia tena ktk uongozi wengine watakao kutarget wewe binafsi na jamii yako.

Nawataenda mbali zaidi na kuondoa kinga ya kutoshitakiwa kwa kiongozi. Na kwa mtindo huo mnatengeneza siasa za kuanza kupiga kura kwa ukabila na ukanda ili kuja kukomoa watu fulani. Viongozi kuweni makini.

Nawahusia kwa sauti ni kitoka nyikani.

Una maana wahanga na waathirika wa moja kwa moja kwa dhuluma zinazofanywa na viongozi nao unawashauri wakubaliane tu hali zao kwa kuwa waliyofanyiwa yalikwisha pita?

Hautakuwa mwenye ubinafsi uliopitiliza?
 
Back
Top Bottom